maana

Maana Patel (born 18 March 2000) is an Indian backstroke swimmer from Ahmedabad, Gujarat.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania KERO TCRA mpo kwa ajili kitu gani maana huduma za mawasiliano ni makanjanja kiutendaji

    Sio vizuri kutaja kampuni ila hizi kampuni za mitandao zipo chini ya usimamizi wa TCRA. Technology kila siku inabadilika na maitaji yanazidi kuwa tofauti. Kampuni nyingi za mawasiliano udanganya kuwa huduma hizo wameshaweka ila ukichunguza kama wanabadilisha jina ila kifaa ni kile kile. Leo...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Anaaminika Sana Kwa Watu walio Mzunguka Ikulu na Kwa Wananchi na ndio Maana hakuna Uvujaji wa Siri Kwenda Kwa Wanaharakati Na wasaliti

    Ndugu zangu Watanzania, Hakuna kipindi na wakati wanaharakati,Maadui zetu na wasaliti wa Taifa letu wanahangaika kupata habari za kweli kutoka Ikulu kama kipindi hiki. Wanahaha sana kutafuta habari ili wachapishe kwenye kurasa zao za mitandao ili kuleta taharuki na uchonganishi. Ni Katika...
  3. JamiiForums Tanzania Wazungu wanakubari makosa na kujifunza ndio maana wanazidi kutumia uwezo wetu kwa serikali mbovu za afrika kutokubari makosa

    Ni jinsi gani Africa imekuwa sehemu ya majaribio ya kila aina bila wao kujifahamu. Mzungu anaweza kukosea ila anaweza kukuacha na kujifunza alichokosea. USA kutimiza miaka 250 mpaka taifa kufika pale ila walijifunza makosa na mpaka sasa ni taifa kubwa. Afrika ijawahi kujifunza makosa ndio...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi mjawahi kufahamu teknolojia za urusi ni complicated ukilinganisha na Ulaya na USA,Japan, China ndio maana zimefanikiwa kukubarika

    Leo nilikuwa na rubani tukipata bia nyumbani. Ananiambia hakuna mtu mwenye akili timamu ukaweza kumpa ndege za urusi ambazo zimejaa saa kila kona kiufupi ni vipima vyilivyo kwenye mfumo. Nikabidi niangalie ndege na teknolojia kupitia Google.Ni kweli kabisa yani ndege zao mpaka marubani...
  5. JamiiForums Tanzania Binadamu wana tatizo moja ndio maana Yesu alikataa kuwapa nafasi japo walijifunza mengi.

    Nyerere kuna nukuu yake alisema " Yesu kuna mda hakutoa majibu ya maswali sababu Wanafunzi wake walikuwa kama marofa" Neno Rofa tumeliona mfano hapo bungeni angalia walivyokuwa wakimsifu magufuri baada ya kufa hata hawa elewi wanaanza kusifia samia. Kesho hakija mtu mwengine hata kwa mapinduzi...
  6. JamiiForums Tanzania Kila kitu kinachotokea huwa kina maana yake!..(not a joke)

    Kila kitu ukionacho pengine ukakipuuza huwa na maana yake halisi.
  7. JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania wanadai Waandamanaji sasa Wanapanga kuua Viongozi, wameshaanza kuwakamata

    Sasa Waandamanaji wamegeuka wauaji hata kabla ya maandamano. Kwamba Jeshi limeshaanza kuwakamata Wanaofanya mipango hiyo ya kuua Viongozi wa Serikali. Jeshi la Polisi Tanzania limesema linaendelea kufuatilia kwa karibu viashiria vya baadhi ya watu wanaodaiwa kuhamasisha vurugu na kupanga...
  8. JamiiForums Tanzania Uongozi: Klabu ya Azam kwetu ni hasara sana. Haina faida yoyote ndo maana ni bora tujitoe tu

    "Pesa nyingi tunawekeza Azam. Nyingi sana lakini hamna la maana. Mashabiki wa Azam ni mashabiki wa Simba na Yanga. Huwa wanakuja kwetu kwa Mkopo na pia wanajua wanalipwa hawana moyo wa upendo kwa Azam. Kiukweli hakuna faida kwa hii team. Tumefanya uwekezaji mkubwa sana kwa team lakini ndo...
  9. JamiiForums Tanzania Wakati wa utawala wa hayati JPM usalama wa taifa ilikuwa idara makini. Taarifa zilitoka kwa wananchi. Ndio maana hayati JPM alifanya kazi kwa ufanisi

    Utawala wa hayati JPM ulifanya kazi kwa ufanisi na uliweza kuwaridhisha wananchi kuwa upo makini na ulijali maslahi ya wananchi. Idara ya usalama taifa ilikuwa karibu na wananchi. Ndio maana hata kama ni kero ndogo namna gani rais alikuwa na taarifa nayo kwa undani. Kero za wananchi...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Hii nchi ina majeshi mangapi? Jeshi la Shehe Mwaipopo lipo kwa mujibu wa Katiba ipi?

    Ninavyoelewa hii nchi ina majeshi rasmi na Yana majukumu Kwan mujibu wa katiba JWTZ Jeshi la polisi Jeshi la magereza Jeshi la uhamiaji Na Maaskari game Kikosi Cha kutuliza fujo/ghasia ni FFU lipo ndani ya Jeshi la polisi Hichi kikosi Cha mwaipopo lipo Kwan mujibu wa Sheria ipi? Na...
  11. JamiiForums Tanzania Walimu wa afrika wamezima ndoto za wanafunzi wengi ndio maana afrika kuendelea ngumu.

    Leo mjinga ndio anakuwa na cheo na kila kitu. Kwa nini dotto magari kafikia kuziaki wenye elimu wakati anachokitumia kimetengenezwa na wenye elimu. Tanzania kama mzazi kumbatia mawazo ya mtoto wako na ndoto zake. Walimu wengi wameharibu ndoto za watoto hata mliopo hapa JF mnaweza kutoa...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi nyuzi za maana humu jeiefu ni ZIPI?

    Kwanza kabisa nakubali kwamba nikweli mimi mwehu ndama ubongo wangu umecheza mahala fulani..Na nyuzi zangu nyingi humu jukwaani nikweli zinaashiria upungufu wangu wa akili sababu bado nakula majani. Lakini kumekua na wimbi kubwa la wenye hekima na akili tele humu jeiefu kuzisema Kila nyuzi...
  13. JamiiForums Tanzania Sijwahi kuamini kama JF kuna mwanamke ndo maana nakuwaga na machale sizamagi PM

    Yaan hii iko ndani ya akili yangu kwamba wengi kama si wote wanaotumia jukwaa hili wenye Majina ya Kike ni Njemba za kiume Akili inanituma hivo Kuanzina miandiko, exposure na mitego yao Unajua huyu ni Mwanaume , ila mwanamke jina tu 🙌🏼
  14. JamiiForums Tanzania Nawaonea sana huruma vijana na wanaotaka kuanza biashara maana, sehemu nzuri za biashara zimeshaisha

    Kwa miaka ya sasa hivi million 10 sioni kama ni mtaji tosha katika biashara, hasa hizi biashara za kukaa kusubiri wateja, kwasababu frame za biashara (mahali palipochangamka) ni kama zimeisha na ukipata basi Kodi itakua ni kubwa, au utahitajika kumuondoa mtu, ulipe wanaita kiremba, kwahiyo mtaji...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi duniani kuna bahati? Nini maana ya bahati?

    Nimewasikia watu Wakisema dah huyu jamaa ana bati sana, hii ni mara baada ya kufanikiwa katika jambo fulani. Hivi ni kweli watu wana bahati au ni kwa sababu ya kupambana
  16. JamiiForums Tanzania Labda BAKITA itufafanulie upya maana ya Taarifa binafsi

    Waziri Katambi ameeleza kwamba NIDA sio taarifa binafsi, Umri sio taarifa binafsi, namba ya simu sio taarifa binafsi Huyu ni waziri mkubwa ndani ya baraza la mawari: Sina hakika sana na level ya elimu yake : lakini naishauri BAKITA kutoa tafsiri rasmi ya nini kinachoangukia ndani ya neno...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Sheikh anayetaka kutahiri watu bila ganzi kumbe ni mhuni, mwizi, tapeli. Ina maana CCM inawasapoti majambazi?

    Huyu anayejiita sheikh Mwaipopo alikamatwa akitapeli Kenya, akapelekwa mahakamani kwa kutapeli KES 1.3 Mil, hii ni sawa na TZS 26 Mil. Huyo Sheikh Ubwabwa alivyokamatwa akatuma salaam kwa waumini wa kiislaam waliopo Tanzania na Oman kuwa ameshtakiwa Kenya, na anashikiliwa kituo cha polisi cha...
  18. JamiiForums Tanzania Nini maana ya mstari huu Isaya 4 mstari 1

    Kitabu cha Isaya Sura ya 4 - Biblia Takatifu [Suahili Union Version] *Isaya 4:1 Na katika siku ile wanawake saba watamshika mtu mmoja, wakisema, Tutakula chakula chetu wenyewe, na kuvaa mavazi yetu wenyewe; tuitwe tu kwa jina lako tu; utuondolee aibu yetu. Twende kazi
  19. JamiiForums Tanzania Nani wako nyuma ya hizi ID mpya hapa JF maana zinapost non-sense za kiwango cha juu sana

    Kila siku kuna ingizo jipya Nani yuko nyuma ya hizi ID au ni mpango maalum wa kupoteza maboya decoy NB : Jf is threat to the throne
  20. JamiiForums Tanzania kuna wabunge wanashangaza sana ana kwambia tumalize Gen z ndio kina sababisha uvunjifu wa amani.Hivi ana elewa ilo neno maana mtoto raisi yupo

    Bungeni kuna vituko sana yani ni vilaza wa kambare matopeni. Unaposema Gen Z ni kuingamiza hata uwelewi kuna mtoto wa raisi wako na mwanao. Ulijua ni chama kipya.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…