maana

Maana Patel (born 18 March 2000) is an Indian backstroke swimmer from Ahmedabad, Gujarat.

View More On Wikipedia.org
  1. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Hakuna mtu aliyeko tayari kuiona Tanzania ikienda pabaya, Ila kila mmoja yupo tayari kuipigisha hatua Tanzania kupitia kura yake. Ndio maana OKTOBATIK

    Hakuna mtu aliyeko tayari kuiona Tanzania ikienda pabaya, Ila kila mmoja yupo tayari kuipigisha hatua Tanzania kupitia kura yake. Ndio maana OKTOBA TUNATIKI ✅✅
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wajuzi wa lugha, naomba kujuzwa maana ya neno "Ponjoro"

    Kama kichwa kinavyosema, naombeni mnijuze maana au tafsiri ya neno hili kwani nimelisikia siku za karibuni na bado sijapata kujua lina maana gani.
  3. Royal Son

    JamiiForums Tanzania Ina maana tusiwakopeshe wazazi/walezi tazama hii video

    Video hapa chini Video hii inaonyesha kijana aliyemkopesha mama yake kiasi cha laki 5 na alipoenda kumdai, mama yake kiasi hicho ili arejeshewe, basi mama yake alianza kukumbusha mambo yake yote alivyokuwa akimuhudumia akiwa mdogo hadi kukua kwake. Kwahiyo hizi ndiyo tamaduni za wazazi wa...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wakili: Akina nyundo wanaona hawajatendewa haki ndio maana wamekata rufaa

    Wakili Meshack Ngamando, anayewatetea warufani wanne waliohukumiwa kifungo cha maisha jela, amefafanua kuwa rufaa yao inayoendelea katika Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma haitajumuisha ushahidi mpya. Badala yake, Ngamando amesema wao kama mawakili watetezi watajikita katika kueleza mapungufu...
  5. FYATU

    JamiiForums Tanzania Hata baada ya hili sakata la "hatuchezi tunacheza" tusitarajie jipya la maana labda kama hiyo bodi itatoka mbinguni

    Ukiwasikiliza hata wanaotoa maoni ya kushauri nini kifanyike utawasikia wakisema Yanga ni kubwa Simba ni kubwa.Hapa tayari ndio mzizi mkuu wa tatizo. Kama Watu wana hofu kuwa Yanga wakipokwa pointi patachimbika ni nini litaleta utofauti huko siku za usoni iwapo moja ya timu hizi itafikia kupewa...
  6. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Ee Mungu Baba Wasamehe maana hawajui watendalo! japo sasa wako moto sana! baada ya uchaguzi, sio kwisha habari yao?Sio watalia sana na kusaga meno?

    Wanabodi Leo ni siku ya Jumapili,najitahidi siku za Jumapili,niwe naleta mada za holistic approach Huu ni uzi wa swali tuu, nimeona jinsi washabiki wa NRNE walivyo chachamaa kwenye mitandao ya kijamii,utadhani wametiwa ndimu!,mtu yoyote ukiposti chochote,wanakuja na NRNE sio tuu za...
  7. Annie X6

    JamiiForums Tanzania Nilitembea shule moja ya sekondari. Walimu wengine wanajiona wa maana kuliko wenzao.

    Milikuwa na appointment na mtu hapo shule. Nikapewa kitu na nikiwa nasubiri akatokea mwalimu wa ratiba. Mwalimu wa ratiba aliongozana na rundo la walimu wengine wakike. Walikuandama yule mbaba wa watu. Wanamuuliza maswali, ukiona wapi somo la hesabu likawekwa mwisho, akaja mwingine wa English...
  8. Kasiano Muyenzi

    JamiiForums Tanzania Nini kirefu cha CHAUMMA?

    Habari za uzima uzima wapendwa Leo nipo na swali kama linavyosomeka hapo juu mie sio mfuatiliaji mzuri wa hivi vyama vya siasa ambavyo havieleweki vizuri, sasa kwa siku za hivi karibuni kumekuwepo na mgombea urais kwa tiketi ya CHAUMA ambaye hata chaguzi zilizopita aliwahi kushiriki huyu...
  9. Setfree

    JamiiForums Tanzania Ijue maana halisi ya neno "Kanisa"

    Ukipita huku na kule utaona vibao vimeandikwa: Kanisa la Anglikana, Kanisa Katoliki, Kanisa la Baptist, Kanisa la EAGT, Kanisa la Pentekoste, Kanisa la SDA n.k. Je, hiyo ndiyo maana halisi ya neno “Kanisa” kama ilivyokusudiwa katika Biblia? Je, Kanisa ni jengo au taasisi? Ili kuujua ukweli, ni...
  10. Friji la mtumba

    JamiiForums Tanzania Kama Mungu hayupo, maisha yana maana gani? Na kama yupo, kwanini Dunia inateseka hivi?

    Wapo wanaoamini kuwa Mungu yupo – Muumba wa kila kitu, mwenye uwezo wa kubadilisha chochote. Lakini wapo pia wanaoamini hakuna Mungu, na maisha haya ni matokeo ya mabadiliko ya asili, bahati, na akili ya binadamu. Swali linakuja: Kama Mungu yupo kweli, kwa nini kuna mateso, vita, magonjwa...
  11. Background Check

    JamiiForums Tanzania Tupia katuni au mchoro wenye maana pana

    Weka cartoon au mchoro wenye maudhui mapana katika jamii. Ukiweza kufafanua itapendeza sana.
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tajiri Mo Dewji yule 'Scout' wako wa Mchongo mpaka sasa ameshakuletea majina ya Wachezaji wangapi wa maana kwa Simba SC yetu ya 2025/2026?

    Kwakuwa mwaka jana nilikuambia tutafutane ili nikufanyie hiyo Kazi ukawaamini Wanafiki waliokuzunguka sasa GENTAMYCINE nimeshapata Wachezaji wa maana Watano kutoka Congo DR 2, Tanzania 1, Uganda 2 ila kwa Hasira wote nawapeleka Yanga na Azam ili nipate 10% yangu.
  13. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Maana ya Curaçao iGaming License

    Katika muktadha wa betting (kamari mtandaoni), neno "Curaçao" linamaanisha leseni ya uendeshaji wa kamari mtandaoni inayotolewa na serikali ya Curaçao, ambayo ni eneo la ng’ambo la Uholanzi lililoko katika Karibiani. Maana na Umuhimu: Curaçao eGaming License ni moja ya leseni maarufu zaidi...
  14. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo maana ya neno Ponjoro

    Kwanza nawasalimu nyote kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Pili nikiwa kama msomi wa vyuo mbalimbali ndani na nje ya nchi ya Tanzania, nimepokea na kukubali jina la Ponjoro wa Kinondoni. Maana ya Ponjoro ni Chotara au Shombe shombe. Weka mkeka wako mpe ushindi Pyramid namaanisha...
  15. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Gaza ni ngumu kuiona nuru kwa maana wamezungukwa na watu wenye nguvu wenye kuwataka kuwaona wakiendelea kutaabika.

    Ukiwa mwepesi wa mihemuko na mbusu pete ya msimamo wa itikadi kali jibu lako litakuwa ni USA na ISRAEL ila kiukweli maudui wakuu wa Gaza ni: Qatar Iran Yemen Jordan Maana hawa ndio wanaofadika na misaada wanayopewa palestina huku wakitaka kuonesha dunia tabu ya palestina kwa kumchokoza...
  16. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Audio: Pata tafasiri halisi na Maana ya Neno "Gwajimanization"

    GT Sukikiza hii hapa mpaka mwisho..Mkuu.wa Nchi awe anachunga sana kauli.zake kwa umakini Mkubwa.
  17. Dialogist

    JamiiForums Tanzania Kama Hili Ndio Neno Kalitamka Mh. Rais, Basi Hii Ndio Maana Yake...

    Majdhub ni taahira
  18. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kauli mbiu mpya ya CCM ina maana gani?

    Maana ya kazi nimeelewa , ila UTU ndio sijaelewa.
  19. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Naomba mnifundishe kiswahili cha Kenya maana nateseka sana huku, natongoza nakataliwa

    Habari gani wana JF. Wakuu nawakaribisha wale wote wanaojua kiswahili cha Kenya hasa misamiati wanayotumia wanapoongea, misemo yao pamoja na ule mchanganyiko wao wa maneno ya kiingereza na kiswahili (code switching &code mixing). Nasema hivi kwa sababu sasa hivi nikitongoza wanawake wa Kenya...
  20. jannelle

    JamiiForums Tanzania Hivi MBUSUSU ni kitu gani? Maana naona inatajwa kila kona humu ndani🤔

    Kila nikisoma maandiko humu naona neno "MBUSUSU" halikosekani🙄 Mfano: kuchakata mbususu, kula mbususu nk.. Ni kinini hicho, maana Tanzania kwa Rejesta/ maneno yasiyo rasmi mnajiweza... Naomba nijue isije siku nikalitumia sehemu isiyofaa.. NB: kuna mtu inbox aliniambia sijui kuchakata mbususu...
Back
Top Bottom