Tatizo kubwa CCM haijiamini kama Chama tena! ndiyo maana wanatumia dola . Yaani wameshidwa kushindana kwa hoja za maendeleo na makada na viongozi wengi hawana vipaji vya kushinda kwa hoja. Kingine wamempa nguvu sana mwenyekiti kiasi kwamba sasa wanawekwa machawa na ndugu watupu na kwasababu...
Mamlaka husika ishughulikie maana bili ya maji inakuja tunalipa lakini huduma ya maji ni ya kuvizia. Maji yanatoka dakika kumi mpaka tano yanakata.
Na mamlaka husika zinalijua hili, tunaomba DAWASA walifanyie kazi tumechoka.
Anonymous (fdc6)
Thread
bili ya maji
changamoto
changamoto ya maji
huduma
huduma ya maji
kanisa
maana
maji
mamlaka
mtaa
ni ya
pugu
CHUKI NI TUNDA LA UCHAWI
Awali ya yote leo sikujisikia kabisa kuandika kitu chochote ila nimeona ngoja niandike. Sio mtu wa kuandika na sio muandikaji mzuri. Ila tuvumiliane.
Zingatia mambo yafuatayo :
a. Chuki isiyo na sababu ni bure kabisa ni sawa kufukuza upepo.
b. Ili uchukie lazima uwe...
Hamjambo wote!
1. Mapema wiki hizi kumekuwa na ongezeko la mabasi ya Mwendokasi Ruti ya Kimara Mbezi.
2. Mabasi ni mapya na mazuri.
3. Kiyoyozi na WiFi kama zote. Password utajua pakuipata.
4. Serikali kwa hilo ipongezwe kwa sababu kama yakiwa hayapo watu wanalalamika na kukosoa. Basi yakiwepo...
Habari wanajamii,
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa early 30’s, Mkristo, ambaye kwa sasa sina mtoto na sijawahi kuwa kwenye ndoa. Nafanya kazi kama muajiriwa katika sekta binafsi.
Kwa ufupi kuhusu mimi:
Urefu: sentimita 185
Muonekano: Mwembamba, mweusi
Mtindo wa maisha: Baada ya majukumu ya siku...
Kuna tabia ya kukata umeme ovyo kila mara kulikoni sehemu zingine tunaomba tanesco wachukue hatua maana kukatika ovyo kwa umeme imekua kero ya muda mrefu
Anonymous
Thread
halmashauri
hatua
kero
kero ya umeme
kila mara
kukata
kukatika
maana
manyoni
mara
muda
ovyo
sehemu
tabia
tanesco
umeme
wilaya
Kikawaida kuna rangi tatu za taa kwenye dashboard ya gari yako. Rangi hizi standard : red, orange, na green. Zingatia kwamba green wakati mwingine huwa ni blue, inategemea na aina ya gari uliyonayo ila haibadilishi maana halisi ya ka,zi yake ni kama tu vile huwa magari mengine symbol ya...
Miaka mingi tulikuwa tukihabarisha kwamba kila mtu ana mitambo ya kujilinda,wapo waliotolea mfano nchi ya ahadi hata ukitupa jiwe haliwezi kufika kwenye ardhi yao,yaan linapanguliwa juu kwa juu.
Huku baba wa dunia akisema yeye ndio kiboko wa mitambo ya kudungulia takataka zote zinazoelekezwa...
Mwanzo 2:24
[24]Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja.
Therefore shall a man leave his father and his mother, and shall cleave unto his wife: and they shall be one flesh.
Nimeweke na tafsiri ya kiingereza ili ilete maana yenye...
Nimebaini kuwa kuna kundi kubwa la watu wanaoegemea upande wa serikali ya Iran, huku wakipuuza au kutozingatia kwa kina matakwa ya sehemu kubwa ya raia wa Iran wenyewe.
Serikali imenyanyasa sana wairan ikiwemo tukio la kikatili la kuzima internet na kuua wairan zaidi ya elf 40, huku baadhi ya...
Hii ni argument ambayo itakubidi upate experience kubwa ya kuitazama sana siasa kwa jicho la tatu, ndiyo utagundua kwamba ni argument ambayo ni ukweli kwa asilimia 99%.
Mwaka 2010 nilipoenda pale UDSM, siasa za serikali ya wanafunzi na wanaharakati zilikuwa zinatawaliwa sana na vijana wa...
Sababu nambari 1 kwanini nimeamua kuwa upande wa Samia hata kama ana ubaya ni Watanzania kumwabudu Jiwe. Jiwe mtu mwovu sana .
Yote kwa yote katika kipindi cha utawala wake wananchi waliishi maisha magumu mno ila wananchi wenyewe wapo kama kuku, dk mbili mbele wameshasahau..
Sababu ya pili...
Naona hata yeye ameshajua kuwa ana wakati mgumu.
Juzi amesikiika akiongea kwa unyonge kuwa mimi nitaondoka na watakuja wengine.
Hakuna haja ya kutumia nguvu na kumpeleka Icc kama Rodrigo Durtete mumchukue taratibu msije mkatuletea matatizo mengine
Katika mazingira yoyote ya kazi au jamii, maendeleo ya kweli huanza pale tunapojenga utamaduni wa kuambizana ukweli kwa nia njema na kwa heshima.
Ni muhimu kuelewa kwamba uchawa uliopitiliza haujengi, bali hudhoofisha misingi ya uongozi na kuua ubunifu pamoja na uwajibikaji.
Pale ambapo watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.