Ulimuelezaje dini ya Kiislamu wakati wewe sio Muislamu?Mimi baba yangu ni mkriso , binafsi nimekulia kwenye dini ya ukristo , hasa Lutheran na katoliki .
Mama yangu ni msomali mwenye asili ya kipalestina , kabadili dini na kuwa Mkristo.
Binti yangu alipenda ajue dini zote , kwasababu mimi ni msomi na mchunguzi nilimweleza dini mbili kinaga ubaga bila kubagua bila kubagaa, ili achague ila akachauga uislamu , watu wa dini tiririkeni halafu mbaya zaidi mimi ni mkriso halali kabisa 😜
Kuna kipindi nadhani huwa naamini ama nafanya vilivyo tofauti na imani yangu.. Labda ni kwakuwa nimezisoma sana dini lakini nikakosa kile nilichokitaka ndani ya hizo diniMimi baba yangu ni mkriso , binafsi nimekulia kwenye dini ya ukristo , hasa Lutheran na katoliki .
Mama yangu ni msomali mwenye asili ya kipalestina , kabadili dini na kuwa Mkristo.
Binti yangu alipenda ajue dini zote , kwasababu mimi ni msomi na mchunguzi nilimweleza dini mbili kinaga ubaga bila kubagua bila kubagaa, ili achague ila akachauga uislamu , watu wa dini tiririkeni halafu mbaya zaidi mimi ni mkriso halali kabisa 😜
Nakukhbali bwasheeKuna kipindi nadhani huwa naamini ama nafanya vilivyo tofauti na imani yangu.. Labda ni kwakuwa nimezisoma sana dini lakini nikakosa kile nilichokitaka ndani ya hizo diniView attachment 3618577
Mimi baba yangu ni mkriso , binafsi nimekulia kwenye dini ya ukristo , hasa Lutheran na katoliki .
Mama yangu ni msomali mwenye asili ya kipalestina , kabadili dini na kuwa Mkristo.
Binti yangu alipenda ajue dini zote , kwasababu mimi ni msomi na mchunguzi nilimweleza dini mbili kinaga ubaga bila kubagua bila kubagaa, ili achague ila akachauga uislamu , watu wa dini tiririkeni halafu mbaya zaidi mimi ni mkriso halali kabisa 😜
Mpe hongera za dhati binti yako bwashee. Kachagua chaguo lililo sahihi kabisa.Mimi baba yangu ni mkristo
, binafsi nimekulia kwenye dini ya ukristo, hasa Lutheran na katoliki
Mama yangu ni msomali mwenye asili ya kipalestina , kabadili dini na kuwa Mkristo.
Binti yangu alipenda ajue dini zote, kwasababu mimi ni msomi na mchunguzi nilimweleza dini mbili kinaga ubaga bila kubagua bila kubagaa, ili achague ila akachauga uislamu , watu wa dini tiririkeni halafu mbaya zaidi mimi ni mkriso halali kabisa 😜
Nilimweleza kila kitu kuhusu ukristo na ulislamuAliyetakiwa kumueleza na kumelewesha Dini mwanao ni mchungaji au Sheikh.
Ungempeleka kote na asikilize na aamue. Tena ungemuacha hadi afikishe miaka 18 . Na ndio achague.
Watu wote tunarithi dini au wengne wanaamua wawe dini gan.
All in all. Uwanja wa kuchagua ni mdogo. Maana ni A au B.
Ilitakiwa kuwe na machaguo mengi.
Ila mwisho wa Siku. Hakuna ambaye amekosea au amepatia.
Dini ni mila na tamaduni tu ya kutuelekeza namna gan bora ya kuishi hapa duniani.
Ulimueleza mtoto mdogo kila kitu unachojua kuhusu dini mbili.Nilimweleza kila kitu kuhusu ukristo na ulislamu
Mh!Katoto kangu kana akili kuliko nyumbu wengi humu kwanini nisi kasikilize?
Ndio maana watu wakimpopoa mawe yule mvaa ushungi unajawa na povu kwa sababu ni kobasi mwenzakoUkweli wangu ,mimi wazazi wangu wote ni waislamu ila hawakusoma dini ,binafsi nilienda kusoma dini kwa madrasa za bure tena zilikuwa za ansaar maarufu kama "darsa" .Bahati nzuri nimesoma mpaka Hizb ut tahrir walikuwa na tawi kenya mpaka kuja Tz .
For sure mimi nimesoma Qur an za kiswahili then nikasoma ya kiarabu , kuhusu dini mimi nimechagua kuishi kama Muislamu
. Kiufupi ,maisha ya kiislamu nayapenda zaidi yake kwa sababu ni ule usawa ...Baba yangu mzazi mwenyewe ananiita shekhe ila yeye mwenyewe hajui dini nimesomea wapi 😅😅.
Mimi naamini Mungu yupo ,na hata juzi mliona balaa la Tetemeko la ardhi pale Venezuela ,sio adhabu bali ni kwamba sisi binadamu hatuna ujanja.
Vile vile, siogopi kifo kwa sababu kifo ni mawaidha tosha ,katika kifo ukiacha unafiki na kufikiria kwa undani utajua kuna mengi ya kujifunza kuliko kuogopo kifo.
Kadri ninavyokuwa basi ndivyo nazidi kuamini zaidi uwepo wa Mungu .Siamini haki duniani ila naamini upo usawa baada ya duniani.