maamuzi

  1. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Maamuzi yanapaswa yafanyike haraka, kuvuta muda hasara itakuwa kubwa na itatuchukua muda mrefu ku-recover.

    Kwa sasa hakuna kinachoendelea nchini, viwanja vya ndege vimefungwa, bandari imefungwa, mtaani watu biashara zimesimama, huduma za ki bank nazo zimesitishwa (kwa sasa huwezi kufanya muamala wowote iwe kwa simu au bank). Kufika kesho maamuzi yanatakiwa yawe yamefanyika na nchi irudi kwenye...
  2. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Fanya maamuzi sahihi kuhusu upande utakaokuwa tarehe 29

    Pande ni mbili tu. Uwe mpiga kura au mwandamanaji haramu. Uamuzi ni wako. Ukiwa mpiga kura utaenda kituoni na kupiga kura kisha kurudi kwako kwa amani. Ila ukiwa mwandamanaji haramu utakutana na polisi wakiwa tayari kukuzuia kufanya huo upuuzi. Waandamanaji haramu wenye bahati wanaweza rudi...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Maamuzi ya kutoweka kwa Polepole kutolewa Oktoba 24, 2025

    Kesi ya jinai namba 24514 ya mwaka 2025 iliyofunguliwa na aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania kwenye nchi za Malawi na Cuba Humphrey Polepole dhidi ya Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) na wenzake wanane imeendelea tena leo, Alhamisi Oktoba 16.2025, Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar...
  4. Kishoka1

    JamiiForums Tanzania Napitia wakati mgumu mno kufanya maamuzi ya ujenzi

    Ndugu wana Jf mimi ni kijana hizi nyumba za kupqnga zimenichosha, kutwa kelele za kugombezwa na mama mwenye nyumba mbele ya wanangu wawili ni fedheha. Nimejipigapiga nimeuza maeneo ya urithi ili angalau nijistili na familia yangu Sasa changamoto mimi ni mgeni wa masuala ya ujenzi..nimeleta uzi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kibinadamu ilinibidi nilimrudishe binti wa dukani baada ya kujifungua lakini kibiashara nahisi nilikosea heri ningempa mtaji

    Katika moja ya duka kuna binti nilimweka alikuwa na uwezo wake wa kipekee, nilitokea kumkubali sana sio tu kwenye mauzo lakini hata kwenye kujitoa, uaminifu, kunipa ideas, kuweza kuvutia wateja, n.k. Akiwa na mimba ya miezi 7 nilimwacha aende kupumzika kwao huku nikiendelea kumlipa, niliweka...
  6. 100 others

    JamiiForums Tanzania Nani Angeamini Huyu Jamaa Alivyo Mpole Angefanya Maamuzi Kama Yale?

    Nani Angeamini Huyu Jamaa Alivyo Mpole Angefanya Maamuzi Kama Yale?
  7. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Ritz, Hawa Mayahudi mpaka sasa wangapi wameshafungwa kwa kufuata yale maamuzi ya SA?

    Once a Kobaz always a Kobaz. Nlikuwa namsoma Ritz akishaambiwa maneno na sheikh ubwabwa anakuja anzisha uzi JF na tatizo la Ritz lugha ya Kibeberu pia haifahamu. Ya kisunna pia haifahamu amekariri tu mistari ya Quran. Alikuwa aanzisha nyuzi daily, Netanyau kauawa, Israel wamehukumiwa kufungwa...
  8. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Wote tusome hapa kama wazalendo wa nchi yetu na tutoe maamuzi

    Nchi inatafunwa na wajanja hii huku wajinga wakipewa baiskeli aisee watu wanapiga mabilioni tu ndio maana wanahubiri amani huku neno haki hawalitamki
  9. Getrude Mollel

    JamiiForums Tanzania Maamuzi ya CHADEMA Kuandika Barua UN, US, EU, AU, EAC ni sawa na kupaka rangi upepo.

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza mpango wa kuandika barua kwa mashirika ya kimataifa Umoja wa Mataifa (UN), Umoja wa Ulaya (EU), Marekani (US), Umoja wa Afrika (AU) na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kikilalamikia mifumo ya uchaguzi. Kulingana na Makamu Mwenyekiti wake...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Watanzania mkiambiwa maamuzi ya Ibrahim Traor'e ndiyo suluhisho la Afrika mnsenma ni udikteta, mnalalamika nini?

    Suluhisho la ufisadi ndani ya Tanzania na Afrika nzima ni mapinduzi ya kijeshi hakuna mwanasiasa au msomi wa Afrika aliye mzalendo kwa taifa lake wote ni mafisadi na wezi wakubwa bila kutaifisha mali na fedha walizoiba wataendelea kuwa juu siku zote.
  11. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Je, taarifa za wagombea unazoziona mtandaoni huwa unaziamini au unazihakiki kwanza kabla ya kufanya maamuzi?

    Katika kipindi cha uchaguzi mkuu, taarifa kuhusu wagombea husambaa kwa kasi kupitia mitandao ya kijamii. Hata hivyo, si taarifa zote ni sahihi; nyingine huenezwa bila uhakika na mara nyingine unaweza kukutana na habari zinazopingana kuhusu mgombea mmoja. Hali hii huwafanya wananchi...
  12. Mboju

    JamiiForums Tanzania JamiiForums imenifanya tuamue maamuzi haya mimi na wife

    Wakuu habari za asubuhi, jana nimefungua uzi kuelezea sisi tusio kuwa nacho maisha tunayopitia mpaka kukosa chakula na kuishia kula mlo 1 tu kwa siku nawenyewe kwa mbinde Wapo walioguswa na kutoa ushauri mzuri nini cha kufanya pia wapo walio kejeli ( hawakosekanagi hawa ) pia wapo walioponda...
  13. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania GE2025 2020 wajumbe wa CCM hawakuheshimiwa kwa maamuzi yao wakakaa kimya. Leo Samia ameiga ya 2020 kwanini imekuwa nongwa?

    Ndio maana Mimi kila siku nasema kuwa Watanzania wana mtindio wa ubongo. Mtu mwenye mtindio wa ubongo akili yake haiko straight. Mtu mwenye mtindio wa ubongo hapaswi kuaminika, anasahau hovyo. Brother wangu 2015 kwenye kura za maoni CCM kwa ngazi ya udiwani alikuwa nafasi ya tatu lakini kwa...
  14. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Chadema na wafuasi wake Wanamisimamo ya kitoto

    Chadema inaongozwa na misimamo ya watu vivuli, nashangaa kuona Heche anaungana na polepole hahahaaaaa Jamani kwahyo hamjiamini bila wao? Kwahyo misimamo yenu Mnataka ipushiwe na waasi wa CCM + watukanaji mitandaoni Sasa chadema ni chama au ni genge la wahuni? Hivi inakuwaje chadema...
  15. Fanfa

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Tundu Lissu gomea hiyo kesi ya mchongo ili waendelee na maamuzi yao ya mchongo

    Tundu Lissu nakushauri ugomee hiyo kesi ya mchongo yenye mashahidi wa mchongo. Fanya yafuatayo: 1. Kataa usijitetee, hata kama watakupeleka kizimbani kaa kimya. 2. Waelekeze mawakili wako wasikutetetee hiyo kesi. 3. Waache mawakili wa serikali na Jaji waamue wanachotaka. Fanya mambo haya matatu...
  16. Bila bila

    JamiiForums Tanzania Wanayanga, msisuse timu yenu kwa maamuzi ya kihuni ya Mtu mmoja.

    Jana usiku pale Mlimani City imedhihirika Eng Hersi anataka kuitumia Yanga kwa manufaa yake kwa gharama yoyote hata kama ni kuiingiza timu matatizo ya kikanuni. Hakuna kikao cha timu kilichokaa kwa niaba ya timu ya Yanga na kufikia maamuzi ya kutoa milioni 100 wakati wanachama wanahimizana...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kama mwanamke wako anamwita mchungaji wa kilokole "Daddy" kaa nae mbali, huwezi kumshauri wala kueleweka, ameshaamua nani anamwongoza

    Siku hizi imekuwa kawaida kabisa kuona wanawake wa kilokole wakipost picha za wachungaji wao kwenye status huku wakisema “DADDY” – yaani “Baba yangu.” Hawa wachungaji ni wale wa kilokole wanaosifika kwa miujiza ya kustaajabisha kama kuuza mafuta ya upako, keski za upako, kujaza gesi ya mtungi...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Taifa Stars Hemed Morocco iwe mwanzo na mwisho Kujaribisha Wachezaji kama PIPINO JR katika Mechi muhimu na za Maamuzi

    Mimi GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE na huu Uzee wangu wote nikipasha kisawasawa kwa Wiki Mbili tu ukinipambanisha na huyu Mchezaji PIPINO JR aliyeniboa sana Juzi namchukulia namba na bado nazima viuri sana Dimba la Juu. Mpaka mnaona tunachambua Mpira na hadu kuwa Washindi wa Jukwaa la Michezo hapa...
  19. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Walioonja shubiri ya maamuzi mabaya ya Hayati Ndugai, kama una clip pandisha hapa

    Siyo nia mbaya bali kwa kuwakumbusha wanadamu kuwa "tuishi maisha humble" kwa kuwa hatujui siku wala saa ya kutwaliwa. Tuwataje waliopitia maamuzi mabovu ya Job NDUGAI alipokuwa Spika wa Bunge;: 1. Chilongani alipigwa fimbo akazimia kwenye kura za maoni za CCM mwaka 2015 2. John Mnyika...
  20. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania TUNAO WASOMI, HATUNA TAIFA — Tanzania inateketeza hazina ya kitaaluma kwa maamuzi ya kipumbavu ya kisera"

    Tanzania ina wasomi zaidi ya milioni 1.5, lakini takriban 700,000 wapo mitaani wakihangaika, wakiwa ni victims wa mfumo usiothamini maarifa (anti-intellectual governance structure). Hii si ajali ya kihistoria, ni deliberate neglect. Ni uhalifu wa kitaifa dhidi ya akili za watu wake. Kwa mujibu...
Back
Top Bottom