Zanzibar 2020 Maalim Seif waambie ukweli, unataka kuwa Rais? Adui wa Mzanzibari ni Mzanzibari

Giltami

JF-Expert Member
Feb 23, 2017
892
1,232
Maalim&magufuli.jpg
lipumba&magufuli.jpeg

AGREEMENT & CONTRACT
Ushawahi kukutana au kufanya kazi na mtu akakwambia ikitokea ukaharibu basi na mimi nimeharibikiwa na tutaangamia wote.

Uchunguzi wa jambo lolote ni sanaa na sayansi kama utalifanya pasipo kuwa na majibu kichwani ila ukawa na maswali yasiyo na majibu utapata majibu ila yanaweza kukuumiza sana na kukuvunja moyo.

Maarif seif ni nani
Makamu wa rais mstaafu?
Mwanachama wa CUF mstaafu?
Mwanachama mpya wa ACT?
Mgombea urais Zanzibar?
Mwanachama mstaafu wa CCM?
Kwanini alitoka CCM?

Maalif anajua mengi kwa uzoefu wake lakini huwa hayasemi hii hatua ya kulinda kauli zao hutumiwa sana na watu wanaoficha uhalisia wao kuepuka kuharibu upande mmoja.

Ndoto yangu inaniambia tofauti ya Lipumba na Maalim ni sawa na sato na sangara ila wote ni samaki.

Mpinzani Maalif ni afadhali kwa CCM kuliko yeyote asiyejua historia na aliyoyapitia.

Usitafute pesa hutoipata, tafuta plan pesa itakufata.

ITAENDELEA
 
Mwaka huu mmeshikwa vilivyo. Nini cha kufanya nini cha kuacha hakuna mmoja wenu ajuaye. Udhalimu una mwisho!

Kelele zote hizi, watu wanataka haki, uhuru na maendeleo.

Adui wa Wazanzibari na Watanzania wote ni mmoja. Huyo huyo aliyewaibia hayo na anayeendelea kuwaibia hayo ndiye aliye adui wao.

Mwaka huu kama mnadhani kuna kuwaachia Fisi kulinda bucha tusubirie kuona.
 
Mwaka huu mmeshikwa vilivyo. Nini cha kufanya nini cha kuacha hakuna mmoja wenu ajuaye. Udhalimu una mwisho!

Kelele zote hizi, watu wanataka haki, uhuru na maendeleo.

Adui wa Wazanzibari na Watanzania wote ni mmoja. Huyo huyo aliyewaibia hayo na anayeendelea kuwaibia hayo ndiye aliye adui wao..
Punguza hasira, hisia, tazama picha na soma nilichoandika hizo picha sio mapambo.
 
AGREEMENT & CONTRACT
Ushawahi kukutana au kufanya kazi na mtu akakwambia ikitokea ukaharibu basi na mimi nimeharibikiwa na tutaangamia wote.

Uchunguzi wa jambo lolote ni sanaa na sayansi kama utalifanya pasipo kuwa na majibu kichwani ila ukawa na maswali yasiyo na majibu utapata majibu ila yanaweza kukuumiza sana na kukuvunja moyo.

Maarif seif ni nani
Makamu wa rais mstaafu?
Mwanachama wa CUF mstaafu?
Mwanachama mpya wa ACT?
Mgombea urais Zanzibar?
Mwanachama mstaafu wa CCM?
Kwanini alitoka CCM?

Maalif anajua mengi kwa uzoefu wake lakini huwa hayasemi hii hatua ya kulinda kauli zao hutumiwa sana na watu wanaoficha uhalisia wao kuepuka kuharibu upande mmoja.

Ndoto yangu inaniambia tofauti ya Lipumba na Maalim ni sawa na sato na sangara ila wote ni samaki.

Mpinzani Maalif ni afadhali kwa CCM kuliko yeyote asiyejua historia na aliyoyapitia.

Usitafute pesa hutoipata, tafuta plan pesa itakufata.

ITAENDELEA
Mimi nataka kujua.. Hivi mtoa mada unaakili kweli!!? au umeshikiwa!
 
Nimependa uandishi wako.....though theme yake umeiifisha sana..hivyo kuelewa itahitaji mtu mwenye uwezo wa aina yako....matokeo yake hii thread itakosa wachangiaji...ikitokea wamechangia michango mingi itakua meangless.

Back
Top Bottom