Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki maadhimisho ya miaka 10 ya kuanzishwa kwa Chuo cha Ulinzi cha Taifa (NDC), leo tarehe 08 Septemba, 2022 jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa majeshi ya ulinzi (CDF) Jacob John Nkunda amesema dhamira ya kuanzisha chuo cha Taifa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki kilele cha maadhimisho ya Siku ya Kizimkazi (Kizimkazi Day) leo tarehe 03 Septemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki kilele cha maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima (Nanenane)uwanja wa John Mwakangale Mkoani Mbeya leo tarehe 08 Agosti, 2022
Aliyoyasema waziri wa kilimo Hussein Bashe
Waziri Bashe asema Serikali itaanza kutoa zawadi kwa...
"Waziri wa Kilimo Hussein Bashe, ametangaza rasmi kurejea kwa Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima, Wafugaji na Wavuvi maarufu kama Nane Nane kwa mwaka 2022.
Waziri Bashe amesema baada ya timu ya Wizara kupitia na kubuni namna bora kulingana na mazingira ya sasa ya namna bora ya kuendesha...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) ameongoza maadhimisho ya miaka ya 95 ya Jeshi la Ukombozi la Watu wa China (Chinese People’s Liberation Army) tangu kuanzishwa kwake mwaka 1927, maadhimisho haya yamefanyika kwenye Ubalozi wa China hapa Nchini...
======
Maxence Melo: PESA ZA UVIKO SIO BWERERE, TAKUKURU IPO MACHO
Tanzania imeelezwa kuwa ni miongoni mwa Nchi zinazofanya vizuri katika mapambano dhidi ya rushwa licha ya changamoto kadhaa, ambapo ushauri umetolewa pesa za UVIKO-19 zinazotolewa na Serikali zikitakiwa kutumiwa vizuri kwa...
RAIS SAMIA SULUHU HASSAN
Nataraji baada ya kazi ngumu kwa wale wageni mliotoka nje ya mipaka yetu mtakuwa na muda wa kuzunguka na kuiona vema Tanzania.
Waheshimiwa Maaskofu, Wajumbe wa kutano huu, Mabibi na Mabwana nimejulishwa kuwa mnakutana hapa Dar es Salaam – jiji letu la kibiashara...
MAADHIMISHO YA KWANZA YA SIKU YA KISWAHILI DUNIANI 07/07/2022: MUSTAKABALI WA TANZANIA NA KISWAHILI NI UPI?
(Muhtasari wa masuala muhimu niliyohojiwa katika kipindi cha Stimela cha TBC FM tarehe 07/07/2022 saa 10:00 -11:00 jioni)
1.0 UTANGULIZI
Tarehe 23/11/2021 ndio siku ambayo Shirikika la...
Kiswahili kimekuwa na kinatambulika kimataifa. Kuadhimisha siku hii tunatoa ofa ya vitabu viwili vilivyofasiriwa kwa kiswahili. Tuone whatsapp(0715278384). Sema umetoka JF.
Mwaka jana mnamo mwezi Novemba, Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) liliipa heshima lugha ya Kiswahili kwa kutangaza rasmi kwamba kila ifikapo tarehe 7 Julai ya kila mwaka itakuwa ni siku ya Kiswahili duniani.
Heshima hii ya kipekee ikafanya Kiswahili kuwa lugha...
Waziri wa Ulinzi na JKT, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) ameshiriki Maadhimisho ya Miaka 41 ya Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Kujenga Taifa (SUMAJKT) yaliyofanyika katika Viwanja vya Maonyesho ya Sabasaba Temeke, Jijini Dar es Salaam.
Maadhimisho ya Miaka 41 ya SUMAJKT yanaenda...
Rais Samia Suluhu Hassan akishiriki kwenye Sherehe ya Miaka 25 tangu kuanzishwa kwa Mfuko wa Fursa sawa kwa wote (Silver Jubilee of Equal Opportunities for All Trust Fund - EOTF ) katika Ukumbi wa JNICC - Dar es Salaam leo tarehe 27 Juni, 2022.
Rais Samia ameanza kuzungumza, ameanza kwa...
Wadau wa haki Nchini Tanzania wanakaribishwa kujitokeza kwa wingi kuungana na Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anayetarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 10 ya Haki za Binadamu, leo Mei 13, 2022 kwenye Ukumbi wa PSSSF Jijini Dar es Salaam
Shughuli hiyo inatarajiwa pia...
Ukraine imeishutumu Urusi kwa kupanga kufanya gwaride la kijeshi la 'Siku ya (mashujaa) katika mji uliotekwa wa Mariupol tarehe 9 Mei kusherehekea ushindi dhidi ya Wanazi katika vita vya pili vya dunia, AFP inaripoti.
Idara ya upelelezi ya kijeshi ya Ukraine ilisema afisa kutoka utawala wa rais...
Kuelekea Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari (Mei 03, 2022), Maadhimisho hapa Nchini yameanza rasmi leo Mei 01, 2022 Jijini Arusha
Kaulimbiu ya Siku hii kwa Mwaka 2022 inasema "Uandishi wa Habari na Changamoto za Kidijiti"
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema changamoto zipo katika...
Tanzania inaungana na mataifa mengine katika kuazimisha siku hii ambayo itakuwa ni mara ya pili kwa Rais Samia Hassan kuwahutubia wafanyakazi baada ya kushika wadhifa huo.
Rais Samia atakuwa mgeni rasmi katika maadhimisho haya huku wafanyakazi akisubiri kwa hamu hotuba yake kutokana na ahadi...
Katika kuadhimisha Miaka 58 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Rais Samia Suluhu Hassan amewasamehe wafungwa wapatao 3,826 kwa masharti mbalimbali
Msamaha huo utahusisha Wafungwa wanaotumikia adhabu kwa makosa ya usafirishaji wa Dawa za Kulevya ambao wamekaa gerezani kuanzia miaka 20 na...
Leo ni maadhimisho ya miaka 58 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar na sherehe zimeshaanza kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete mjini Dodoma na anaeongoza ni makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango.
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu na Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi hawajahudhuria sherehe za leo...
Habari wanajukwaa,
Ikiwa ni mara ya kwanza kwa WUTz kufanyika Njombe, na nikiwa ni mmoja wa waratibu wa jukwaa hili la WUTz Kanda ya Njombe nimeona ni vyema nikilileta suala hili hapa JF. Kwanza ni kwasababu ninaamini kuna wadau wengi wenye uzoefu na fikra tunduizi za kutosha zinazoweza...
Wanajamvi
Habari za mihangaiko na poleni.
Moja kwa moja kwenye mada. Sanaa ya muziki ina nguvu kubwa sana, inapenya mioyoni na inaathiri hisia moja kwa moja.
Kwa kulitambua hili, nawaalika wenye uwezo wa kutunga mashairi yenye maudhui ya kuboresha stahiki za wafanyakazi kuelekea mei mosi hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.