loliondo

  1. Kinyungu

    JamiiForums Tanzania Akipatikana Rais toka Tanganyika akodishe/Auze Tumbatu, Mji Mkongwe au Kizimkazi kwa mkataba kama wa Loliondo au Ngorongoro

    Wakuu inauma sana kile kinachoendelea Loliondo na Ngorongoro. Kule ukienda ni kama upo nchi ya kigeni. Hebu vuta picha ya pale kijijini kwako kwenye asili yenu...ghafla wanakuja watu wanawambia mnatakiwa mhame mwende kwenye eneo jipya msilowahi kulifahamu kabla tena mhame kwa lazima. Mkibisha...
  2. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Tanzania inatakiwa kuvunja Mkataba wa Loliondo!

    HIli suala la Mkataba wa Loliondo halijaongelewa tu na wananchi au na wamasai tu, kuna tuhuma nyingi, zingine hatujui kama ni za kweli au za uongo. mara tuambiwe ukiwa pale Loliondo network ya simu ni ya uarabuni sio ya kibongo, mara tuambiwe kuna uwanja wa ndege kule madege huwa yanatua na...
  3. Ileje

    JamiiForums Tanzania Tanzania tumenufaika nini kwa uwekezaji huko Loliondo na Ngorongoro?

    Nimekuwa nikijiuliza: Tanzania kama Taifa huru tunanufaika nini na uwekezaji unaofanyika Loliondo na Ngorongoro? Najiuliza swali hili kutokana na mateso na manyanyaso ambayo inaelezwa wenzetu Wamasai wanapata kutoka kwa vyombo vyetu vya dola vikiwemo Polisi, JWTZ na Askari wa TANAPA. Inaelezwa...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania EWURA yawakamata walanguzi wa mafuta ya Petroli Loliondo

    Timu ya Wakaguzi EWURA ikishirikiana na vyombo vingine vya Usalama imewakamata walanguzi wa mafuta ya petroli wakihifadhi na kuuza mafuta hayo kwenye madumu ya lita 20 na 200. Aidha waliokomatwa kwa kukutwa wakiuza mafuta Loliondo ni: 1. Wilson Bussein Balagiswa Lita:411 2. John Emanuel...
  5. Bubu Msemaovyo

    JamiiForums Tanzania Baada ya DP World, tukumbuke kipande cha Loliondo

    Nimetafakari sana haya nauzo ya ardhi za Tanganyika, Hapo mwanzo kulikuwako Tanganyika ikatawaliwa na Julius K Nyerere akang'atuka akamrithisha Ally Hassan Mwinyi nchi ikiwa haina tobo wala kiraka. Ikawa jioni ikawa asubuhi Mwinyi akawa madarakani. Mwinyi akatawala akiwa ni mtoa ruksa, tukawa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Kama hatutasikilizwa kama walivyoziba masikio kwenye sakata la Loliondo na Ngorongoro tunafanyaje?

    Hawa wana tabia ya 'kushupaza shingo' kuwa wacha wapige kelele watanyamaza. Tukifika hapo tunafanyaje Watanganyika? Hili ni muhimu kulijadili sasa vile vile. Mahakama nina wasi wasi nazo kama bado Juma Ibrahim bado yuko ofisini mpaka leo kwa kuvunja katiba wazi wazi!
  7. H

    JamiiForums Tanzania Sintofahamu zote hizi tuangalie tulipojikwaa ili tusonge mbele kuokoa taifa letu.

    si kila mtu anaweza kuwa kiongozi, na wote hatuwezi kuwa viongozi lakini kiongozi mzuri ni yule mwenye haiba ya (stewarship) kutunza rasilimali za watu wake, lakini pia kukubali kukosolewa na kuwa tayari kutumia karama za wengine na kuchanganya na zake ili aweze kusaidia watu anaowaongoza...
  8. Mmawia

    JamiiForums Tanzania Mfalme wa Dubai, Mohammed Maktoum mwaka 2018 alitua na ndege Loliondo na KIA kwa shughuli gani? Kwanini aliambatana na Abdulrahman Kinana?

    Kwa wenye ujuzi wa haya mambo ya madege makubwa tunomba ufafanuzi. Kwenye hii clip kuna dege kubwa linasemekana lina uwezo wa kutua popote. Msaada jamani ili tupate ufahamu. --- Abdulrahman Kinana, akiwa Waziri wa Ulinzi mwaka 1993 alimsindikiza Sheikh Mohammed kama mwakilishi wa serikali ya...
  9. Mnada wa Mhunze

    JamiiForums Tanzania Katibu TEC: Loliondo Watanzania wanateseka hadi sasa

    Katibu wa Balaza/ Baraza la Maaskofu Wakatoliki Tanzania amesema kupitia viongozi wasiowaaminifu wamewafanya wananchi wa Loliondo waishi maisha magumu kama wakimbizi ndani ya nchi yao, jambo ambalo halipaswi kurudiwa kutendwa na viongozi. Padre Kitima ameonya huenda mkataba huu wa bandari nao...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Job Ndugai alisema itauzwa. Tusibiri kinachofuata baada ya bandari na Loliondo

    Spika aliyelazimishwa kustaafu kwa kusema ukweli au kutabiri yajayo akalazimishwa kustaafu chini ya mtutu wa Bunduki. Haya bandari tushauza. Ngoja tukauze na shamba letu la Bagamoyo
  11. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania tusiishie bandari tu, huu ni muda wa kuidai na Loliondo pia

    Watanzania wenzangu, tumedharauliwa kiasi cha kutosha, tumeonewa kiasi cha kutosha, na watanzania wenzetu huko Loliondo wamenyanyaswa kiasi cha kutosha. Vijipesa vya mwarabu vimewatia upofu watawala wa CCM mpaka imefikia hatua wako radhi kufukuza wananchi katika maeneo yao ili kuipa familia za...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Mlifikiri yataishia kwa Wamasai wa Loliondo tu?

    Walipoondolewa Wamasai kule Loliondo, kuna watu walitetea sana maamuzi yale wakidhani maamuzi kama yale yataishiwa kwa Wamasai tu, hawakujua yale maamuzi yalikuwa yanaweka precedence mbaya kwa siku zijazo. Leo tunavuna tulichopanda halafu tunalialia! Tumelaniwa!
  13. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Kwanini Viongozi kutokea Zanzibar wanapenda kuuza ardhi ya Tanganyika?

    Heshima kwenu wanajamvi, Kumekuwa na sintofahamu kila mara kiongozi mkuu wa nchi (Rais wa JMT) akitokea nchi ya Zanzibar jambo la kwanza ni kuuza ardhi ya Tanganyika. Rais wa awamu ya pili Mzee Ally Hassan Mwinyi aliuza ardhi ya wamaasai huko Loliondo kwa waaarabu wa Dubai UAE. Rais Samia...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ripoti Amnesty International: Serikali ilitumia nguvu kubwa kuwaondoa Wamasai Loliondo

    Shirika la kutetea haki za Binadamu la Amnesty International limelaani mamlaka nchini Tanzania kwa kuwaondoa kwa nguvu watu wa jamii ya kiasili ya Kimasai kutoka katika ardhi ya mababu zao ya Ngorongoro. Shirika hilo la kutetea haki za binadamu limesema Juni 2022, vikosi vya ulinzi na usalama...
  15. britanicca

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kukemea Ushoga tukemee hata Imani Potofu zote za Magharibi, nazo ni Mbaya Kama Ushoga, naongelea manabii wa uongo kina Zumaridi/Babu Loliondo

    Mambo mengi ya kukemea… Naanza na kumpongeza KAGAME 1. Ufungui Dini Hovyo hovyo nchini kwake kwa Mgongo wa uhuru wa kuabudu lazima tuwaratibu hawa watu! 2. Kakataza Azana za Asubuhi ni Kelele anasema mwamba kupiga Kelele mijini imepitwa na wakati, mnapigia watu Kelele mitaani, akawasihi...
  16. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Mtindo wa uwekezaji wa Waarabu ndio kama tunavyoona Loliondo

    Awamu hii ya mama tunaona juhudi kubwa kuvutia uwekezaji kutoka nchi tajiri za Mashariki ya Kati. Wakati tunahangaika kuvutia Waarabu kuwekeza inafaa kuelewa desturi yao wakiwekeza kwako. Wao kwa maoni yangu wakiwekeza nchini kwako hawatofautishi na kununua sehemu waliyowekeza. Pia huwa...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali kufuta vijiji vyote vilivyo ndani ya Mipaka ya Pori Tengefu Loliondo

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa tangazo la kufuta vijiji vyote vinavyopatikana ndani ya mipaka ya pori tengefu Loliondo ili kupisha hatua ya kupima upya maeneo hayo yatakayopangiwa matumizi mengine. Hatua hii iliyotangazwa na Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro inaongeza wasiwasi wa...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Jebra Kambole: Tutakata Rufaa kesi ya kuondolewa wafugaji Loliondo

    Akitoa ufafanuzi wa uamuzi uliotolewa na EACJ, Wakili Jebra Kambole amesema kesi hiyo ni ya “Uvamizi wa Serikali” unaodaiwa kufanywa mwaka 2017 na haihusiani na ‘Mateso ya Wamasai’ ya Juni 2022 ambayo ameeleza kuwa kesi yake GN 421 ya mwaka 2022 bado ipo Mahakamani. Kambole amesema wameona...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Afrika Mashariki yatupilia mbali kesi ya Wamasai kuondolewa Loliondo

    Mahakama ya Afrika Mashariki imetupilia mbali ombi la jamii ya wamasai katika kesi inayohusu mgogoro wa ardhi kati yao na serikali ya Tanzania. Ardhi iko katika Serengeti maarufu. Walalamikaji wa Wamaasai walitaka Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki (EACJ) iizuie serikali ya Tanzania kuwaondoa...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Washtakiwa watatu kesi ya mauaji ya askari Loliondo waachiwa huru

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imewafutia kesi na kuwaachia huru washtakiwa watatu kati ya 27 waliokuwa wanakabiliwa na makosa mawili likiwamo la mauaji ya askari katika eneo la Loliondo wilayani Ngorongoro. Washtakiwa hao wameachiwa huru baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP), kueleza...
Back
Top Bottom