loliondo

  1. JF Member

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wamesitisha Kuhamisha Ngoronogoro na Loliondo

    Kwa habari za chini ya kapeti kabisa ni kwamba waliandaa budget ya Miliini 700 Kuhamisha watu Ngongoro na Loliondo. Pesa nyingi imeshatumika tayari na zoezi limesitishwa na human rights. Kama ni kweli haya maamuzi yameleta hasara kubwa sana. Huyo muwekezaji wa kiarabu atakubari kweli? Au nae...
  2. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Polisi nchini Kenya yapiga marufuku Maandano ya kupinga kuondolewa kwa wamasai wa Loliondo

  3. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Ngorongoro, Loliondo faida kwa kizazi kijacho

    Kuondoka kwa hiari wafugaji wa jamii ya Kimasai kwenye Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro ni faida kubwa zaidi ya hasara kwa usalama wa mazingira yetu ambayo kila kukicha yanakosa uendelevu. Watanzania tuna kila sababu ya kulitunza eneo hilo kwa faida ya kizazi cha sasa na cha baadae kwani thamani...
  4. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Yanayoendelea Loliondo sasa faini ni milioni 10 hadi milioni 50

    Wananchi waliambiwa ni beacons tu zinawekwa hakutakuwa na kuondolewa wala kusumbuliwa wasichunge na wengine tukaamini huenda ni mipaka tu inawekwa , ila kwa sasa mifugo kwa mamia inakamatwa na watu kulipa pesa nyingi sana kuzikomboa.
  5. W

    JamiiForums Tanzania Ni Muhimu Kuilinda Ngorongoro na Eneo Tengefu la Loliondo - Wakili Mkuu wa Serikali Gabriel Malata

  6. W

    JamiiForums Tanzania Loliondo, Ngorongoro, Hayaruhusiwi kuendelezwa | Serikali na wananchi walikubaliana - Wakili Mkuu wa Serikali Gabriel Malata

  7. M

    JamiiForums Tanzania Tujihoji: Kwanini sakata la Loliondo huwa linaibuka tunapokuwa na marais wanaokuwa wanatokea Zanzibar? Je, ni sababu ya vinasaba vya Oman?

    Loliondogate. Hili sakakata liliibuka miaka ya 1992 na wakati huo alikuwa rais wa JMT ni mzee Ali Mwinyi. Tukaambiwa Waarabu wameshamnunua na kununua haki za wamasasai. Songombingo kibao zikatokea na baadhi ya watanzania wakapoteza maisha. Leo hii Rais wa Tanzania anatokea Zanzibar. Sakata la...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Video: Wamasai wakiondoka Loliondo

    Kwa wasioelewa mgogoro huko Ngorongoro na Loliondo. Ni hivi , Huko Loliondo ndio kuna mwarabu(OBC) anayetaka ardhi ya wananchi, nguvu na ubabe unatumika kuwaondoa watake wasitake. Eneo la Kilometa za mraba 1500 huko Loliondo ni eneo ambalo yule mwarabu wa OBC analitaka , na ndio figisufigisu...
  9. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Prof Shivji: Barua kwa Rais; Ardhi mali ya nani?

    Kwa heshima na taadhima pokea barua yangu nikikutumia kwa nia njema na katika kutekeleza wajibu wangu kama mwananchi na mwanazuoni kwa mujibu wa Ibara 26 ya Katiba “kuhakikisha hifadhi ya Katiba na sheria za nchi.” Awali ya yote nakutakia maisha marefu yenye afya njema na furaha tele ili...
  10. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Kwa hali hii ya uwingi wa majeshi huko Loliondo kwanini Serikali isitangaze hali ya hatari?!

    Hiyo picha ni Loliondo Waziri Mkuu akisikiliza wimbo wa hamasa ukiimbwa na vijana wa JKT. Hoja hapa ni huo umati wa vijana wa Vyombo vya Dola ambao wamepelekwa huko eti kwa kisingizio cha uwekaji wa beacon za mpaka wa eneo la hifadhi ya Pori tengefu.Inafikirisha sana! Kwa nini becoan zile...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Ubaya hauna kwao. Ya Loliondo ni zao la watanzania kutokemea ubaya

    Ubaya hauna kwao. Ubaya hauna macho. CCM Ina unasaba na ubaya. Kila mtu/kikundi ama chama wataonja ubaya wa CCM kwa wakati wake. Mifno ya vyama na watu waliyoonja ubaya wa CCM. -Ndugai, Membe, Sumaye, Lowasa, Lisu, Mbatia, e.t.c -CUF, NCCR, Chadema, Hivi sasa akina Halima Mdee wako bungeni...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ziarani Loliondo na Tanga, leo Juni 23, 2022

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, leo Juni 23, 2022 yupo katika ziara ya siku moja katika Mkoa wa Arusha na Tanga ambapo atashuhudia zoezi la awamu ya Pili ya wananchi takribani 117 kutoka kaya 27 wanaohama kwa hiari yao wenyewe kutoka katika eneo la hifadhi ya Ngorongoro kuelekea Kijiji cha Msomera...
  13. M

    JamiiForums Tanzania CCM haihitaji Katiba Mpya hata kidogo inahadaa umma ili kuusahaulisha na mambo ya Loliondo

    Kwanza naomba kuweka tahadhali kuwa upumbavu sio tusi bali ni hali ya kutokumia akili ili kug'amua na kufanya maamuzi sahihi. Mdee na wenzake wamepigwa chini kwenye ombi lao sasa ndio nini? Mnapiga mayowee kama vile hamna akili? Mnasahau kuwa katiba ya nchi inasiginwa kila siku? Very stupid...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Ngorongoro ang’ang’ania Loliondo wanaonewa

    Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Ole Shangai ameendelea kushikilia msimamo wake kuwa wakazi wa Loliondo wanaonewa, kuumizwa na kudhulumiwa haki zao wakati ardhi ni haki yao. Ole Shangai amerudia tena msimamo wake kuwa kuna wananchi wake ambao waliumizwa na lakini wakanyimwa PF3 na hivyo kuwafanya...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mbunge atuhumu Wabunge wenzake sakata la Loliondo na Ngorongoro adai wana maslahi yao binafsi

    Mbunge wa Viti Maalumu, Lucy Mayenga ametoa tuhuma kwa baadhi ya wabunge ambao kwa makusudi wanaipotosha Serikali na kuichonganisha na wananchi kuhusu sakata la Loliondo. Mayenga ametoa shutuma hizo leo Juni 22, 2022 wakati akichangia bajeti kuu ya Serikali, bungeni Jijini Dodoma. “Machafuko...
  16. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Tanzania Yatangaza Operesheni Maalum kuondoa Wahamiaji haramu eneo la Ngorongoro na Loliondo

    Hongera sana Rais wangu mahiri Samia Suluhu Hassan Huu ndo mwendo wa kwenda nao hawa wapuuzi wote wa Kenya. Lazima sasa wajue waliokuwa wanamuona kama The Sleeping Giant, ameamka rasmi Sasa tunawaonyesha kwa jinsi gani tunalinda maslahi mapana ya Tanzania --- Kamishna Jenerali wa Jeshi la...
  17. Midimay

    JamiiForums Tanzania Salome Makamba umejiweka uchi suala la Loliondo

    Mgogoro wa Loliondo ni tofauti na Mgogro uliopo ndani ya eneo la Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro. Salome Makamba yeye anaona ni moja. Hajui kutofautisha. Sendeka alichangia kuhusu mapori tengefu na mapori ya akiba lakini yeye akajaribu kumkosoa Sendeka au kumshambulia kwa kutumia mgogoro wa...
  18. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya OBC ikiwazuia wananchi wa Loliondo kupata maji na malisho

    Hii Habari ililipotiwa na gazeti la mwananchi mwaka 2017, haari ilikuwa na kichwa cha habari "Kigwangalla auwasha moto Loliondo" SUNDAY OCTOBER 29 2017 Akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Ololosokwani, Dk Kigwangalla alisema mgogoro wa Loliondo uliodumu kwa zaidi ya miaka 26 sasa utapatiwa...
  19. James Hadley Chase

    JamiiForums Tanzania Loliondo kazi inayohitaji mseto kimbinu

    VURUGU zinazotokana na maamuzi ya kuhama na kupisha utunzaji endelevu wa hifadhi ya Ngorongoro katika wilaya ya Loliondo mkoani Arusha ni mtihani mwingine wa kiutawala ambao sasa unausumbua uongozi wa taifa. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amefika huko mara kadhaa kusimamia mazungumzo na serikali...
  20. kavulata

    JamiiForums Tanzania Ngorongoro na Loliondo ni ushahidi mpya wa uwepo wa wanasiasa uchwara

    Uwepo wa wanasiasa uchwara Tanzania uligunduliwa kwa mara ya Rais William Benjamini Mkapa (RIP). Uchwara wa wanasiasa wetu haujali kuwa una elimu kiasi gani, kabila, dini wala jinsi ya mwanasiasa. Hivi zile sababu zilizosababisha ndugu zetu Wamasai wachanganywe na wanyamapori ziko mpaka leo...
Back
Top Bottom