loliondo

  1. technically

    JamiiForums Tanzania Babu wa Loliondo: Nileteeni wachache wenye Corona waone!

    Asema watu waende wapate kikombe amesema hakuna ugonjwa unaoshindikana kutibika kwa dawa zake alizooteshwa na Mungu. --- WAKATI Dunia ikiwa kwenye taharuki kubwa ya kupambana na maradhi ya ugonjwa wa Covid 19 unaosababishwa na virusi vya corona baada ya kuendelea kuua maelfu ya watu duniani...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Babu wa Loliondo Ambilikile Mwaisapile Taifa lote linakusikiliza , Toa neno mzee wetu

    Wewe Mzee ni miongoni mwa Tunu ya Taifa , una maono makali sana , sisi wajukuu zako tunakutegemea utoe mwongozo wa Sintofahamu iliyopo . Tunatanguliza Shukrani
  3. R

    JamiiForums Tanzania Nauli ya kutoka Loliondo kwenda Arusha imebadilika bila kutangazwa na SUMATRA

    Tangia mwezi Desemba nauli ya kutoka Loliondo kwenda Arusha ilipanda kutoka 20,000 hadi 25,000. Mabadiliko haya hayakutangazwa na SUMATRA. Miaka miwili iliyopita nauli ya kutoka Loliondo mto wa mbu kwa bus ilikuwa 17,500 ikaja kubadilika kimya kimya ikawa 20,000 na sasa ni 25,000. Naomba...
  4. Jembe Jembe

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi 10 wa Mfalme wa OBC, Loliondo wapanda kizimbani

    Wafanyakazi 10 raia wa kigeni wenye asili ya Asia wa kasri la mfalme wa Abu dhabi inayosimamiwa na Kampuni ya Ortelo Business Coparation(OBC) iliyopo eneo la Loliondo wilayani Ngorongoro,Mkoani hapa wamepandishwa kizimbani kwa kosa la kufanyakazi nchini kinyume cha sheria za ajira kwa wageni ...
  5. Mwanahabari Huru

    JamiiForums Tanzania Profesa Maghembe katumwa kuivuruga Loliondo?

    PROFESA Jumanne Maghembe, Waziri wa Maliasili na Utalii, ameendelea kutoa kauli zinazoidhalilisha Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Jeuri hiyo anaitoa wapi? Maghembe, kwa mfano, ametoa kauli dhidi ya raia wa Tanzania wanaoishi katika vijiji vilivyopo tarafa za Loliondo na Sale katika...
  6. HNIC

    JamiiForums Tanzania Wamaasai wa Loliondo: Waziri Lazaro Nyalandu analiongopea Taifa & Rais

    Taarifa ya Haraka kwa Vyombo vya Habari Kuhusu Mgogoro wa Ardhi Loliondo Sisi Viongozi wa Mila, Kisiasa, Wawakilishi wa Wanawake tumesikitishwa sana na Taarifa ya uongo aliyoitoa Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu juu ya ukweli wa Mgogoro wa Loliondo. Ifuatayo ni ufafanuzi wa...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Loliondo: Mwarabu wa Dubai anavyosakama Wamasai kupitia Serikali

    Mwarabu wa Dubai anavyong'ang'ania ardhi ya Wamasai Loliondo na anusukuma Serikali hadi serikali inapinda sheria ili kumpendeza na kumtimizia haja yake. Waziri wa Maliasili amefika Loliondo mara 3 na kila mara anasisitiza kuwa ni lazima serikali itaongea na mwarabu ili ardhi anayotumia sasa...
  8. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Hivi Loliondo iliyouzwa na Mwinyi kwa waarabu isharejeshwa?

    Kwa wanaokumbuka kashfa iliyotikisa nchi wakati wa utawala wa Ali Hassan Mwinyi ya Loliondo watakuwa na mengi ya kusema. Je yule mwarabu Brigedia Ali wa falme za kiarabu ndiye huyu huyu aliyesafirisha twiga hivi karibuni? Je, serikali ilisharejesha mbuga yetu au wamekuwa wakirithishana...
  9. Invisible

    JamiiForums Tanzania JF Exclusive: Wawindaji tuliowauzia wanyama na ardhi yetu tukichekelea!

    Sijui kama mnanisoma....! Vyombo vya Usalama kwa sasa ni Dhaifu Rais wa sasa ni Dhaifu Bunge Dhaifu kabisa! Watanzania ni Dhaifu. Nchi kama haina Amiri Jeshi Mkuu.
Back
Top Bottom