loliondo

  1. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Hatimaye dawa ya Kenya kukwamisha Maendeleo Tanzania imepatikana rasmi!

    Tangu Awamu wa 1 Kenya alijitanabaisha kama Silent enemy wa Tanzania na hii lilisababishwa na tofauti za kiitikadi/kiuchumi baina ya Mataifa haya mawili Ugomvi wa Kenya na Tanzania ulianza mara tu baada ya Tanzania kutangaza kufuata mrengo wa kijamaa hapo mwaka 1967 na kilichofuata baada ya...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Awamu ya 4 wafugaji (mostly wasukuma) waliondolewa bonde la Usangu na kupelekwa Lindi. Kwanini iwe nongwa kwa wamasai wa Loliondo?

    Kuna kelele nyingi sana kufuatia dhamira njema ya serikali ya kuwaondoa wamasai kwenye pori tengefu la Loliondo. Kwanini wamasai wa Loliondo wanataka wawe na special treatment nchi hii? Awamu ya 4 iliwaondoa wafugaji maeneo ya bonde la Usangu, Ihefu, na Ujiji lkn hakuna aliyepiga kelele. Why??
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki kutoa hukumu kupinga kuondolewa Wamasai Loliondo Juni 22, 2022

    Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki, Juni 22/06/2022inatarajia kutoa hukumu dhidi Mwanasheria Mkuu wa serikali ya Tanzania katika kesi ya mwaka 2017 iliyofunguliwa na vijiji vya Loliondo wakipinga kuondolewa katika maeneo yao. Hukumu hiyo itatolewa na jopo la majaji watatu wakiongozwa na...
  4. JOYOPAPASI

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu Kuhusu Loliondo

    UKWELI KUHUSU LOLIONDO Naa Joseph #Yona Mgogoro wa Loliondo umeshika kasi huku Catalyst mkubwa kwenye mgogoro ni wenzetu wa Kenya, Tanzania inaweka mpaka kwenye eneo la Km² 1,500 tu la Pori Tengefu, Km² 2,500 wanaachiwa ndugu zetu wafugaji waendelee na shughuli zao, Sababu ya Serikali kuchukua...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Choo cha kukaa hakimalizi haja; Wamasai wa Loliondo wapewe pesa wajenge nyumba zao wenyewe kulinda asili yao

    Kila mtu ana asili yake! Na maendeleo ya mtu ili yawe na maana lazima yaguse asili ya mtu! Ukimtoa masai umasaini aje aishi masaki, hii siyo maendekeo kwake bali ni kashfa na ni kumuua (kumharibu kiasilia na lazima siku atarudi alikotoka) Mtu aliyezoea kunjunga haja yake polini ukimjengea choo...
  6. Bibititi1

    JamiiForums Tanzania Utafutaji wa kura maeneo kame, Kenya unavyochochea mgogoro wa Loliondo

    Watanzania si wepesi kuingilia Uhuru wa nchi nyingine Huru zinazoizunguka naweza kusema hivyo haijawahi kutokea Tanzania ikawa kinara wa mambo ya nchi nyingine siku zote wanaishi maisha yao na shida zao. Ukimya huu wa Tanzania hata kwa Dunia ni nchi ambayo iliamua kutochagua upande wowote hata...
  7. Taifa Digital Forum

    JamiiForums Tanzania ITV: Anaripoti Aslaji Mvungi - Loliondo

    Wataalam na watafiti wa masuala ya Uhifadhi wamesema hatua zinazofanywa na Serikali kuhifadhi maeneo muhimu Kitaifa na Kimataifa ikiwemo ikolojia ya Serengeti na Ngorongoro ina tija kubwa kwa kizazi cha sasa na kijacho na ina maslahi mapana kwa wadau wote wa uhifadhi Duniani.
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Askofu Benson Bagonza: Darasa la Loliondo.

    Sakata la Ngorongoro/Loliondo ni darasa maalum kwa tasnia mtambuka. Waweza kuchagua mkondo gani wa darasa uingie kujifunza. 1. Habari/Media. Tulizoea tasnia hii ikirukia kuandika habari hata ikiwa na robo ya ukweli. Kwa kawaida, hawa jamaa kwa kukimbizana na ushindani, huwa wanapakua chakula...
  9. Taifa Digital Forum

    JamiiForums Tanzania Ambassador Hoyce Temu Speaking on Loliondo saga

  10. Q

    JamiiForums Tanzania UVCCM mbona hawatoi Tamko kuhusu viongozi wao wanaotuhumiwa kwa mauaji Loliondo

    Wapo madiwani wa CCM 9 na mwenyekiti wa CCM wa wilaya, mbona mko kimya.
  11. BigTall

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha mgogoro wa Loliondo

    Kwa zaidi ya miaka 30 sasa eneo la pori tengefu la Loliondo limekuwa na mgogoro ambao awali uliwahusisha wananchi na kampuni ya uwindaji ya Ortello Business Cooperation (OBC) na mwingine kati ya kampuni ya utalii ya Thomson Safaris na wananchi wa eneo la Sukenya. Kutokana na migogoro hiyo...
  12. Q

    JamiiForums Tanzania UN: We call on the Tanzanian Government to immediately halt plans for relocation of the people living in Loliondo

    Tanzania: UN experts warn of escalating violence amidst plans to forcibly evict Maasai from ancestral lands GENEVA (15 June 2022) – UN human rights experts* have expressed grave concerns about continuous encroachment on traditional Maasai lands and housing, accompanied by a lack of transparency...
  13. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania UN yatoa tamko sakata la Loliondo, yataka Tanzania kuondoa maafisa wa Polisi Ngorongoro

    Umoja wa mataifa (UN) umeitaka Tanzania kuondoa maafisa wake wa usalama Loliondo ili kukomesha ukiukwaji wa haki za binadamu na unyanyasaji unaodaiwa kufanyika katika eneo hilo ili kuruhusu waandishi wa habari, wanasheria, waangalizi wa haki za binadamu na asasi za kiraia kuingia Loliondo...
  14. Monica Mgeni

    JamiiForums Tanzania Mtizamo wa Mchoro wa Katuni kuhusu kinachojiri Loliondo

    Utaona wanyama baada ya kuwekewa Mipaka wanaona mwanga na matumaini makubwa.
  15. J

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro awaagiza Wananchi wa Loliondo kutowasikiliza wanasiasa na badala yake watekeleze wanavyoelekezwa na Serikali

    IGP Sirro ameagiza Wananchi wa Loliondo kutowasikiliza wanasiasa na badala yake watekeleze wanavhoelekezwa na serikali Sirro amesema hali ya usalama Ngorongoro ni shwari kabisa ----- PICHA: IGP Sirro akiongea na wakazi wa Tarafa Loliondo Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Simon Sirro amesema zoezi...
  16. Mmawia

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Oleshangai: Wananchi wapatao 31 wamejeruhiwa vibaya sana. Wanatibiwa nchini Kenya

    Mbunge wa Ngorongoro Emmanuel Oleshangai Naomba kuthibitisha kuwa wananchi wapatao 31 wamejeruhiwa vibaya sana kwenye zoezi la uwekaji wa beacons kwenye ardhi ya vijiji, Ngorongoro. Wananchi hao wanapatiwa huduma nchi ya jirani ya Kenya baada ya kunyimwa huduma zahanati ya Osero kata ya...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Loliondo Facts Check: Mshindani wako anapojigeuza mshauri mwema

    MSHINDANI WAKO ANAPOJIGEUZA MSHAURI MWEMA. LOLIONDO FACTS CHECK SIKU Ukiona Mshindani wako katika jambo mnalishindania anakusauri juu ya kufanikiwa kwako kwenye jambo hilo JITAFAKARI SANA Ushauri wake kweli utakuwezesha kumshinda na kulifukia lengo lako?. Namaanisha HIVII, Siku Yanga...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Maswali Tata Wamasai wa Loliondo kutibiwa Kenya

    MASWALI TATA WAMASAI WA LOLIONDO KUTIBIWA KENYA. Wakati kukiendelea na sintofahamu ya wanaharakati kutuhumiwa kutumika kushirikiana na viongozi wa eneo jirani linalopakana na Loliondo kuhamasisha vurugu kushambulia polisi waliokuwa wakilinda mpaka na kusimamia wanaoweka Beacons kiasi Cha...
  19. seedfarm

    JamiiForums Tanzania Inashangaza Kenya wanalalamika mambo ya Loliondo na wanahojiwa Aljazeera TV. Je, kuna mamluki Loliondo toka Kenya?

    Taarifa ya Aljazeera TV imeambatanishwa kuhusu Wakenya wa Nairobi kutetea Loliondo kuwa Wamasai wabaki, Wakenya wa Nairobi wamewekeza kitu gani huko Loliondo? Loliondo ni Tanzania wao Wakenya wanahojiwa na Aljazeera kuhusu sheria za ardhi Tanzania na wanapotosha kwa lengo gani? Propaganda...
  20. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Bila mkataba na kampuni ya uwindaji Ortello kuvunjwa hapatakua na amani Loliondo

    Kampuni ya ortello walipewa eneo la uwindaji loliondo mara ilipoingia awamu ya pili ya mzee ruksa. Baada ya kupewa eneo hilo kampuni hiyo ya UAE yenye wamiliki toka familia ya kifalme tabia yao ikawa kama wamepata koloni. Pamoja na kwamba wameweza kuepa kutajwa na vyombo vya habari kama zamani...
Back
Top Bottom