lockdown

A lockdown is an emergency protocol that usually prevents people or information from leaving an area. The protocol can usually only be initiated by someone in a position of authority. Lockdowns can also be used to protect people inside a facility or, for example, a computing system, from a threat or other external event. Of buildings, a drill lockdown usually means that doors leading outside are locked such that no person may enter or exit. A full lockdown usually means that people must stay where they are and may not enter or exit a building or rooms within said building. If people are in a hallway, they should go to the nearest safe, enclosed room.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Watanzania waliokwama kwa lockdown Afrika Kusini warejea nchini

    Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini Meja Jenerali (Mst) Gaudence Milanzi Jumatatu Mei 25, 2020 amesimamia zoezi la repatriation (usafirishaji) wa dharura) ya Watanzania pamoja na raia kadhaa wa nchi hiyo waliokwama kutokana na Lockdown na kusitishwa safari za ndege inayoendelea huko, kutoka...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Coronavirus lockdown: Kenyans given poisonous food relief

    ======= NAIROBI, Kenya May 25 – Several people were affected after consuming relief food distributed in Kikuyu Constituency on Sunday. The food, branded William Ruto Foundation and Kimani Ichung’wah, also had labels of “Stay Safe Ichung’wah, who is the area MP, has however, issued a statement...
  3. JamiiForums Tanzania Chadema wabunge kuji-lockdown bila wapiga kura ni kukimbia vita na usaliti, hawafai

    Kwenye Vita viongozi hutakiwa kuwa mstari wa mbele kupigana bega kwa bega wakishiriana na wapiga kura Wabunge wa chadema kwa hofu ya corona walikimbia wakaitelekeza kwa wapiga kura wao eti wanaogopa kufa kwa corona Wakaacha wapiga kura wao ambao hata hela ya barakoa hawana waendelee kupambana...
  4. JamiiForums Tanzania Je, na Wewe hapo ulipo ulikuwa unazijua hizi athari Kuu zitokanazo na 'Coronavirus' na 'Lockdown' Kijamii?Co

    Ni kwamba Coronavirus imegundulika kuwa 98% inawauwa sana Wanaume na kwa Wanawake ni kwa Kiwango cha chini. Hata hivyo imegundulika ya kwamba hizi Lockdown hazipendwi (hazitakiwi) kabisa na Wanawake kwakuwa wanasema uwepo wa Wanaume Majumbani 24/7 umesababisha Majanga, Matatizo na Mateso makubwa...
  5. JamiiForums Tanzania Against lockdown

  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Kenyatta: Hatuwezi kuendelea na lockdown

    - Rais alisema serikali imeafikia uamuzi wa kuwa haiwezi kuendelea kuwafungia watu - Alisema sasa itafikia wakati wa watu wenyewe kujilinda dhidi ya maambukizi ya coronavirus - Nchi jirani ya Tanzania ni mojawapo wa zile ambazo hazikufunga shughuli zake za kuchapa...
  7. JamiiForums Tanzania Asante Rais Magufuli: Polepole tunaanza kuelewa maana ya Lockdown

    Hii vita ya Covid19 ukiikurupukia bila kujua tunapelekwa wapi unaweza usimwelewe Rais wetu. Je? Wajua nini kilikuwa kinaendelea kwa nchi zilizo chini ya lockdown? Tafadhali pitia hizi video kwa umakini 1; 2: 3:
  8. JamiiForums Tanzania Kwa nia njema tu nawauliza CHADEMA na wengine mnaotaka lockdown: Kwanini msiwashawishi wanachama wenu wakae ndani hadi Corona iishe!?

    Mbowe na Zitto na wengineo mara zote wamekuwa wakitaka mamlaka za nchi ziitishe lockdown ya nchi nzima ili kuepuka uenezwaji wa janga la corona.Jambo jema. Lakini mimi nina wazo tofauti nataka kuwashauli kwa nini endapo serikali imegoma kuitisha lockdown wao wasiwashawishi wanachama wao wabakie...
  9. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Dr. Stella Nyanzi, Bajjo and several others arrested over food protest

    Leo katika kupitia pitia katika mitandao ya kijamii nimekuta kuna video inasambaa katika facebook ikionyesha mwanamke mmoja ambaye inasemekana ni muhadhiri katika chuo kimoja nchini Uganda akipambana na polisi huku akipinga agizo la lockdown kwa madai watu wanakufa na njaa. Polisi wametumia...
  10. JamiiForums Tanzania Utafiti wa kutisha, waliokaa Lockdown kwa mwezi mmoja au zaidi hatarini kufariki hata kwa bakteria na fangasi baada ya kutoka nje, kinga zashuka!

    Mengi yanazidi kuibuka kuhusu sakata la Covid 19. Wataalam wa afya wanasema, kinga ya mwanadamu ni kitu endelevu, hivyo kinajiimarisha na kujiboresha siku hadi siku kulingana na jinsi mazingira yanavyobadilika. Wanasema jinsi binadamu anavyochangamana na wenzake kwa kugusana na kushikana mara...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi ni nani anawadanganya watanzania kuwa lockdown haifanyi kazi? Hata kama tumeigomea, tuache kupotoshana!

    Naona kumekuwepo na hali ya upotoshaji nchini kuwa hatua za lockdown hazina manufaa! Hili naona kama ni upotoshaji ambao unasababishwa na ukweli kwamba viongozi wengi wameingiza siasa kwenye vita dhidi ya corona na matokeo yake ndo haya ya upotoshaji pamoja na mambo mengine. Mifano iko mingi...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Maana Halisi ya "Lockdown"...

    Wandugu, kuna misconception miongoni mwa Watanzania wengi niliokutana nao (na michango inayoletwa hapa) kuhusu lockdown (kuzuia watu wao kutoka majumbani kwao kwa kiwango fulani) ikiwa ni moja ya hatua za kupambana na COVID 19 pandemic. Nchi zote ambazo zimetangaza kuwa hadi sasa zimefanikiwa...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali iko sahihi kutoruhusu lockdown kila ugonjwa wa kuua ukija Kuna wanaokufa na kuna wanaobaki sembuse corona?

    Migonjwa ya kuua kibao imeshatokea kiwe kipindupindu,malaria ,degedege ,ukimwi no lakini hiyo.migonjwa inaua lakini kina inaowrsa kuua na wengine wanabaki imeshindwa kuua wote sembuse corona? Siku ya kifommtu Kama umeandikiwa kufa ikifika siku yako hata uvae barakoa kuikwepa corona isikuue...
  14. JamiiForums Tanzania Barakoa zitashindwa pia sawa na lockdown

    Lockdown imeshindwa duniani kote, Mataifa yote yameshindwa kuendelea nayo kutokana na madhara yake. Imeshindwa kwakuwa ni against nature, Mungu alivyoumba na anavyotaka tuwe is against lockdown. Uvaaji wa barakoa utashindwa, tena vibaya sana kutokana ni against nature na uumbaji. Hewa...
  15. JamiiForums Tanzania Baadhi ya nchi zilizoweka lockdown na kisha baada ya kuondoa, visa vya Corona vimeongezeka kwa kasi, inatufundisha nini juu ya busara za Rais wetu?

    Tumepata taarifa kupitia vyombo mbali mbali vya kimataifa juu ya nchi kadhaa zilizoweka total lockdown na baada ya uchumi kuyumba na njaa kuwa kali wakaamua kuondoa lockdown, kisha visa vya Corona vikashoot juu kwa kasi kwa mara nyingine tena, na sasa wanafikiria kurudisha tena lockdown. Nchi...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Matokeo ya Lockdown Kenya

  17. S

    JamiiForums Tanzania Nielewesheni; Magufuli alisema hatutafanya lockdown kwani nchi jirani zinategemea bandari zetu, nchi jirani zinazuia magari toka kwetu kuiingia kwao!

    Mara nyingine nashindwa kuelewa kama mie ndio mwenye tatizo la kuelewa mabo au ni wale ninaowasikiliza wenye tatizo hilo. Hap nyuma tuliambiwa kwamba hatutakuwa na lock down kwa ajili ya corona kwa kuwa nchi jirani zinatutegemea kuwafikishia bidhaa zao. Hata mifano ikatolewa ya Rwanda, Zambia...
  18. JamiiForums Tanzania Matajiri wa jiji la Geneva(Switzerland) waanza kugawa chakula na mahitaji muhimu bure kwa wahamiaji masikini na waliopoteza ajira

    Lockdown bado inaendelea hapa Uswisi japo serikali imedhibiti sana maambukizi mapya mpaka leo asubuhi kwa mujibu wa takwimu za serikali kuna jumla ya wagonjwa 43,000+ na waliokufa zaidi ya 19,000+ ni idadi ndogo sana kulinganisha na nchi zilizotuzunguka Matajiri wa hapa jijini GENEVA...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Lockdown imezua mambo: Jamaa aita polisi wamuokoe toka kwa mpenziye anayetaka tendo kila muda

    Hiki kipindi cha Karantini tunashudia mengi jamani. Huko Italia kuna mwanaume mwenye asili ya Afrika amepiga simu polisi kuomba msaada wa kuondolewa nyumbani ili amuepuke mpenzi wake mwenye uraibu wa ngono (sex addict) Unaambiwa mwanamke huyo amekuwa akitaka kufanya tendo kila mara kitu...
  20. JamiiForums Tanzania Miji mikubwa ya Chad yapigwa Lockdown kuanzia leo

    Serikali ya Chad imechukua hatua ya kudhibiti maambukizi ya Corona katika mji mkuu wa nchi hiyo Ndjamena na miji mingine mikubwa. Marufuku ya watu kutotembea katika miji hiyo inaanza kutumika leo Ijumaa Mei 8 Hatua hii inalenga kuzuia kuenea kwa virusi vya Corona katika miji mingine wakati nchi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…