Je, na Wewe hapo ulipo ulikuwa unazijua hizi athari Kuu zitokanazo na 'Coronavirus' na 'Lockdown' Kijamii?Co

Mzukulu

JF-Expert Member
Feb 14, 2020
1,401
2,631
Ni kwamba Coronavirus imegundulika kuwa 98% inawauwa sana Wanaume na kwa Wanawake ni kwa Kiwango cha chini. Hata hivyo imegundulika ya kwamba hizi Lockdown hazipendwi (hazitakiwi) kabisa na Wanawake kwakuwa wanasema uwepo wa Wanaume Majumbani 24/7 umesababisha Majanga, Matatizo na Mateso makubwa Kwao.

Baadhi ya Wanawake waliohojiwa kuhusu kama wanaunga mkono Lockdown (Curfew) iliyopo karibia katika Nchi nyingi zilizokumbwa na Janga hili la COVID-19 duniani wameonyesha Kutopendezwa nayo kabisa na kwamba kuna baadhi ya nchi Wanawake sasa wanajipanga Kuandama kwa Serikali zao ili wapumzike na Shuruba wazipatazo kwa Wanaume waliopo Majumbani.

"Naomba hata leo hii Lockdown iondolewe kwani Wanawake tunateseka mno kutokana na kwamba kuna Wanaume wengine wanatulazimisha Kufanya Mapenzi utadhani Kuku kwa kutaka mara kwa mara na pale ikitokea tu tukisema tumechoka basi hapo ni Kipigo kwa kwenda mbele hivyo ili kuepuka yote hayo inatubidi tuwape ili tu Kuwaridhisha japo huwa wanatuumiza sana " alisema.

"Mimi tokea hii Lockdown ianzishwe nadhani sehemu zangu za Siri ziko katika Mateso na Kipindi chake Kigumu cha Mpito kwani Mume wangu kwa kuwepo Kwake tu hapa Nyumbani anasema muda wote tuwe tunafanyana na nikimlaumu au kumwambia nimechoka ananiambia nisimlaumu Yeye bali nilaumu Serikali yetu na Yeye hana namna bali ni Kuniingilia tu akitaka " alisema.

Nilikuwa natamani sana Tanzania pia kungekuwa na hii Total/Partial Lockdown ili niwasikie Wanawake zetu kama nao wangelia!

Kwa habari zaidi ya hii taarifa tembelea citizentv.co.ke
 
Ukiwa huna chakula ndani na hela yenyewe ya kuunga unga sijui kama utakuwa na nguvu ya kudinya kila saa wakati kichwa kinawaka moto, hiyo inawezekana kwa wale ambao wako vzr

Sent using kidole gumba
 
Back
Top Bottom