live

Live! Live! Live! is a live album released by Bryan Adams through A&M Records in 1988. It was recorded live at the Rock Werchter festival on 3 July 1988 in Werchter, Belgium. One track, "Into the Fire", was recorded live in Tokyo. The album sold over 1 million copies.
The concert was taped while it "rained in torrents". At the end of It's Only Love, Adams comments to the audience, "I've got to tell you something. For you people to sit out in the rain, means you're one hell of an audience. I mean, to sit out in this..."

View More On Wikipedia.org
  1. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

    Salama wakuu, Michuano ya Euro 2020 inategemewa kuanza hapo Juni 11 takribani wiki tatu kutoka sasa. Michuano hii ilitakiwa ifanyike juni mwaka jana 2020 ila ilihairishwa kutokana na Corona. Hivyo Uefa ikaamua michuano hiyo ifanyike mwaka huu lakini iendelee na jina lilelile la Uefa Euro 2020...
  2. Ghazwat

    JamiiForums Tanzania FT: Simba SC Vs Yanga SC (0-1)| Simba yashindwa kutwaa Ubingwa wa Ligi kuu uwanja wa Benjamin Mkapa

    Naaaam..! Hujambo na Karibu kwenye Matangazo ya Habari za Michezo, Burudani na Uchambuzi. Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara kuendelea kupigwa leo Jumamosi ya July 3, 2021, ambapo mchezo unaobeba hisia za mashabiki wengi Tanzania na nje ya Tanzania kati ya Watani wa Jadi, Kariakoo Derby...
  3. Tindo

    JamiiForums Tanzania Paskali Mayalla, Abdul Nondo live star Tv wakijadili Katiba Mpya

    Wadau tuangalie mjadala huo muda huu kuona nini kitajadiliwa na hawa jamaa.
  4. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Katiba ya Kenya: Kesi zinaendeshwa live, huku itatuchukua miaka 200 kufika

    Tuseme ukweli Kenya wana moja ya Katiba Bora kabisa kwa mazingira ya Afrika. Yaani ukiangalia Mazingira ya Africa yalivyo basi hawa jamaa wana katiba nzuri sana aangalia Kesi ya BBI yao inaendeshwa live kabisa kila mtu anaweza fuatilia mjadala, huku hata kurecord tu hauruhusiwi kinacho uhusiwa...
  5. guru_observer

    JamiiForums Tanzania Live streaming bora kwa channel za Tanzania

    Kwa kitambo kirefu sikuwepo hapa jukwaani lakini nimerejea sasa na nitakuwepo hadi atakapopenda Mwenyezi, sasa nimewawekea application bora kwa streaming za channel za hapa nyumbani Tanzania. Ipate kutoka Google Play Store hapa Pure Entertainment - Apps on Google Play Kupata channel za nyumbani...
  6. Chinga One

    JamiiForums Tanzania BET Awards 2021 Los Angeles Marekani, Diamond aangukia Pua

    Kutoka jijini LA Marekani tunawaletea matangazo ya moja kwa moja kwenye utoaji wa tuzo za BET 2021, mAstaa kibao wametua jijini hapa tayari kwa hafla hii kubwa duniani,ambapo macho na maskio ya watanzania na waafrika kwa ujumla yapo kwenye kipengele kigumu kinachowakutanisha miamba ya Afrika...
  7. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga vs Mwadui (3-2) | VPL | Benjamin Mkapa

    Match kama ya leo itusaidie kupandisha wafungaji wetu wafikishe bao nyingi. Huyu kipa wa Mwadui tunamfahamu vizuri sana. Naomba tutumie nafasi hii kupata ushindi wa kishindo. =========== 21' Goaaal, Yanga wanauweka ubao sawa, Yanga 1-1 Mwadui 28' Yanga wanapata mpira wa adhabu ndogo nje...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Mijadala ya Bajeti Bungeni iko Live, Kumekucha kimya kimya?

    Mabibi na mabwana ITV wanaonekana live bungeni na mijadala ya bajeti inaendelea. Mambo sasa mwendo mdundo! Kulikoni? Itakuwa yale mambo yetu ya bunge live yamerejeshwa kimya kimya au ni kwa bajeti hii ya Mwigulu peke yake? Je, au ndiyo rasmi kuwa yale ya watu kufanya kazi badala ya kuangalia...
  9. kiwatengu

    JamiiForums Tanzania Michuano ya Euro 2020: Ufaransa yaichapa Ujeruman 1-0

    Usiku mzuri huu, Saa chache zijazo kitapigwa kipute cha haja. France Line Up!
  10. X-Agent

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Rais wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan na Vijana, Uwanja wa Nyamagana Mwanza

    Huu ni uzi huru (sio rasmi) Kumulika Ziara ya Rais wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan mkoani Mwanza ambapo ataongea na vijana wa Kanda ya ziwa kwa niaba ya vijana watanzania yote. Huu ni muendelezo wa Rais Samia kukutana na kuongea na Makundi Mbali mbali katika jamii. Ikumbukwa...
  11. SPINE

    JamiiForums Tanzania TCB inaonesha mubashara mechi kati ya TCB na Bunge FC ila katika ‘Quality’ mbaya

    Habari wadau, leo TBC wapo Live kuonyesha game yao dhidi ya Bunge FC. Kwa kweli ndio maana hawaonyeshi mechi za timu ya taifa maana ni aibu, camera zao ni za kiwango cha chini sana. Vigumu kuwatambua wachezaji, picha ina uweusi, hata kugundua mpira Uko wapi ni changamoto. Ni vyema kukubali kuwa...
  12. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Watu kama Ole Sabaya inabidi Kesi zao Mahakama iwe "LIVE"

    Ni wazi kuwa vitendo vya viongozi hawa dhidi ya raia vilikuwa ni vya kidhalimu sana. Nchi ilitikisika na kupata doa la Kimataifa hata baadhi ya misaada ikasitishwa! Ili Serikali ionekane haikuwatuma,kuwepo na mahakama huru na ya wazi. Kama ambavyo serikali ya Marekani ilijivua kidunia kuwa...
  13. kiwatengu

    JamiiForums Tanzania LIVE Updates: Rumble in Dar Season 2

    Wakuu, Tuko Next Door Arena. Kuna mapambano ya Ndondi yanaendelea hapa. Mpaka Sasa mapambano ya Raundi nne yameisha Mawili na Yote Tz tumepoteza. Lets Go. Pambano la Tatu sasa. Naona Mkongo anakipiga na Mtz hapa... Twende sawa. Hamis Palasunga anakipiga sasa. ==== RUMBLE IN DAR: MWAKINYO NA...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Tuliodhani tunahitaji Bunge live bila Wabunge live, tulipotea

    Wengi tulilia Bunge liwe live tukidhani tunahitaji Bunge bila wabunge walio live. Leo tuna Bunge bila wabunge, tuna Bunge live bila wabunge live Jambo linalopelekea bunge la bajeti kukosa mvuto na kuonekana kama sehemu yakulipana posho. Toka Bunge limeanza Hadi leo mtifuano wa hoja hakuna...
  15. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania South Africa's ex-president says he is ready for graft trial

    kesi ya Jacob Zuma hiyo South Africa's ex-president says he is ready for graft trial JOHANNESBURG (AP) — Former South African President Jacob Zuma says he is ready for his trial on charges of corruption, racketeering, and money laundering. Zuma appeared at the Pietermaritzburg High...
  16. Ethan Cruz

    JamiiForums Tanzania It's My Life then I live by My Rules...

    Hahaaaaa the brain is getting hold of the heart.... JE KUNA UMUHIMU WA KUPENDA NA KWANINI UNAPENDA
  17. S

    JamiiForums Tanzania BAWACHA kumvaa Ndugai kwa Kigodoro - Gear habib kurusha live

    Wanasema Ndugai amechokoza manyuki jike sasa ni neno kwa neno na kama haitoshi huwenda wakamvaa Ndugai hadi nyumbani kwakwe na ngoma ya kigodoro. Ndugai omba msamaha au wacha kujibizana na kupashana na wanawake. Imekuwa sasa ni kujibizana,Ndugai mambo ya wanawake huyawezi shauli lako !
  18. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Michongo Live

    Wakuu nisiwe mchoyo wa michongo mjini na vijijini. Leo nimewafungulia Uzi huu wa Michongo Live uzi huu nitatoa michongo mjini na vijijini ili wadau wapate kufaidika. Mchongo wa Leo Je, pengine umesoma mambo ya biashara au stationery, au pengine una uzoefu na mambo hayo? Basi fanya hivi. Fungua...
Back
Top Bottom