Hakimbiisaa 6 na nusu usiku wa manane.
marathon mita 42000 inaendelea.
nataka kufahamu kama kuna mkimbiaji kutoka Tanzania maana nimechungulia mpaka nimechoka simuoni.
Vipi tokeonimemuona wakuu. somebody MATANGA.
tufuatilie kuona kama atarudi na medali.
viva Tanzania viva!
Kawa wa 24. Number 1 n 2 Kenya na tatu USAVipi tokeo
Medali ya sodanimemuona wakuu. somebody MATANGA.
tufuatilie kuona kama atarudi na medali.
viva Tanzania viva!
Wewe utailetea Tanzania medali lini, jiulize kwanzaYupo Failuna Matanga ...ameshika number 24...Tanzania bado Safari ndefu...mtu pekee nayeamini anaweza Leta medali kesho Ni Gabriel Geay.tumwombee
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
mita ngapi Gabi?Yupo Failuna Matanga ...ameshika number 24...Tanzania bado Safari ndefu...mtu pekee nayeamini anaweza Leta medali kesho Ni Gabriel Geay.tumwombee
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nimeona ktk chati yaani sisi tu ndo tuna Zero award wenzetu wote wana at least bronze au silver walau moja au mbili!Yupo Failuna Matanga ...ameshika number 24...Tanzania bado Safari ndefu...mtu pekee nayeamini anaweza Leta medali kesho Ni Gabriel Geay.tumwombee
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
bado wengine hawajakimbia mkuu. tuzidishe kufukiza ubani.Nimeona ktk chati yaani sisi tu ndo tuna Zero award wenzetu wote wana at least bronze au silver walau moja au mbili!
Yeah, Alphonse simbusaa 6 na nusu usiku wa manane.
marathon mita 42000 inaendelea.
nataka kufahamu kama kuna mkimbiaji kutoka Tanzania maana nimechungulia mpaka nimechoka simuoni.
Hahaha Dr kongo walienda na kombe la dunia la miaka hyo na wachawi wa nchi nzima lakn walikula goli 7Hapa ndipo uchawi na ujuaji wa watanzania unapoishia ila mambo ya mapenzi, kuongeza uvuto kazini, kumrudisha mpenzi aliyepotea, nguvu za kiume hapo tuko vizuri.