live

Live! Live! Live! is a live album released by Bryan Adams through A&M Records in 1988. It was recorded live at the Rock Werchter festival on 3 July 1988 in Werchter, Belgium. One track, "Into the Fire", was recorded live in Tokyo. The album sold over 1 million copies.
The concert was taped while it "rained in torrents". At the end of It's Only Love, Adams comments to the audience, "I've got to tell you something. For you people to sit out in the rain, means you're one hell of an audience. I mean, to sit out in this..."

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania TIC itisheni mdahalo kuhusu hili suala la DP WORLD na uwe live kwenye televisheni zote nchini

    Itapendeza sana kama TIC wataitisha na kuendesha mdahalo kuhusu hili jambo la DP WORLD. Na mdahalo huo uwe live kwenye television zote nchini. Mdahalo huwo uwakutanishe watu wanaopinga mkataba wa DP WORLD na wale wanaounga mkono mkataba huo wa DP WORLD. Yaani kuwe na room ya makundi haya...
  2. G

    JamiiForums Tanzania LIVE LIGI KUU UNDER 20: AZAM 0 VS MTIBWA SUGAR 2

    Hili ni bonge la Game. Kama tutaendelea kuwekeza kwenye vijana, hakika hatuta ng'ang'ania magarasa akina sawadogo. Mtibwa wana timu nzuri sana. Kuna fowadi zaidi ya Baleke au Mayele anaitwa Makambo Jr. Hadi sasa dakika ya 16 Mtibwa anaongoza 2 bila ote yakifungwa na Makambo Jr. Azam kuna...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Hata wa serikalini hawaukubali mkataba wa DPW

    Akiongea na watanzania walioko Marekani, Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema suala la mktaba wa Tanzania na DPW ni suala ambalo hata watu wa serikalini hawalipendi. Akijibu swali la mmoja wa washiriki wa mkutano huo amesema amepata simu kutoka kwa watu wa usalama wa Taifa na serikali...
  4. JamiiForums Tanzania Live Updates NBC Playoff: Mbeya City Vs Mashujaa-Kigoma

    Leo ni mechi ya mwisho ya PlayOff kati ya Mashujaa na Mbeya City. Mechi ipo live hapa Mbeya 0-0 Mashujaa. Mbeya City ipo kwenye hatihati ya kushuka daraja baada ya kula kichapo cha 3-1 huko Kigoma. My Take Waha njoeni hapa mbishane
  5. R

    JamiiForums Tanzania Mbunge Subira amvaa Profesa Tibaijuka sakata la Bandari

    Mbunge wa Viti Maalumu, Subira Mgalu amemtaka Waziri wa zamani wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka kutopotosha umma kuhusu utaratibu uliofanyika bungeni kwenye kupitisha azimio la Bandari. Subira ameyasema hayo leo wakati akichangia mjadala wa kupitisha Bajeti Kuu ya...
  6. JamiiForums Tanzania Naombeni nyimbo za worship za live iwe ya Tanzania,south africa na nigeria

    Wakuu naombeni nyimbo za kuabudu za live ziwe za Tanzania, south africa, nigeria na congo kwa mbaali mfano hawa Neema gospel choir na wimbo wao wa wema umenivutia kidgo kutazama.
  7. JamiiForums Tanzania Kulikoni Watanzania kushambulia DP World?

    Sahivi kwenye page ya DP world ya Instagram hapatoshi, Watanzania wanaporomosha matusi hatari kwenye page za Waarabu. DP world kazi wanayo.
  8. JamiiForums Tanzania Simba yaachana na Vunja Bei, yasaini mkataba wa Tsh. Bilioni 4

    Nipo hapa Johari Rotana kama moja ya wahudhuriaji. Nipo hapa kuwaletea kinachojiri Ahmed yupo Live kutuambia nini kitakachojiri. Sundaland anatangazwa kama mzalishaji na msambazaji wa jezi za Simba Sc. Mkataba ni miaka miwili kwa thamani ya bilioni 2 kwa kila mwaka. SIMBA YAACHANA NA VUNJA...
  9. JamiiForums Tanzania IRINGA MJINI: Wafanyabiashara wagoma kufungua maduka na biashara zao kupinga uonevu wanaofanyiwa na Manispaa ya Iringa

    Leo tarehe 15.06.2023 wafanyabiashara wa Iringa mjini wamegoma kufungua biashara zao baada ya askari wa manispaa ya Iringa jana kuvunja na kuharibu biashara zao kwa kuvunja vibaraza vya maduka. Jambo hilo limeharibu mali zao wafanyabiashara na pia kufungwa kwa biashara kumesababisha kukosekana...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Bunge halitakuwa LIVE Juni 10 kupitia mkataba wa bandari

    Kuna tetesi kuwa wabunge wa CCM wametoa shinikizo kwa Spika, Dk. Tulia kuhakikisha kikao cha kesho cha kupitisha azimio la kuuza bandari zote za Tanzania bara kwa Mwarabu hakionyeshwi LIVE kwenye Tv ili kuwanusuru kwa wananchi ambao wako kwenye taharuki kubwa. Wabunge hao inasemekana...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Sekta binafsi ni muhimu katika kukuza uchumi wa nchi yetu

    Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifungua na kushiriki Mkutano wa 14 wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) katika Ukumbi wa Kikwete - Ikulu Dar es Salaam leo tarehe 09 Juni, 2023. Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan Kama...
  12. JamiiForums Tanzania Dkt. Mwakyembe Makavu live sessions

    Tujikumbukushe Mwakyembe alipokua anawapa Ngumbaru wenzetu makavu live kuhusu elimu yake ya PhD bila kupindisha. Dkt. tutakukumbuka daima
  13. JamiiForums Tanzania We live only once and life is passing moment.

    Hata Kama nasaa zao hazibebi mwonekano wao hiyo isiwe sababu ya kuyadharu maneno yao kwani mara nyingi ili uitambue njia vizuri ni busara kuwauliza wanaorudi na hata tukipata Muda Mwingi wa kuishi hatutoweza kuusimulia mwisho wetu Bali tutausimulia Mwanzo wetu ,Basi ukibarikiwa wabariki na...
  14. JamiiForums Tanzania FT: CAFCL: Mamelodi Sundowns 2-2 Wydad Casablanca | Live Updates | Mei 20, 2023

    Mchezo huu ni wa Nusu Fainali ya pili baina ya timu hizo katika Ligi ya Mabingwa Afrika, unapigwa Nchini Afrika Kusini baada ya awali kumalizika kwa suluhu ya 0-0 Nchini Morocco. Mchezo umeanza 20' Mamelodi Sundowns wanafanya mashambulizi kadhaa, wageni nao wanajibu lakini bado hakuna umakini...
  15. JamiiForums Tanzania FT: CAFCC: USM ALGER 2 VS 0 ASEC MIMOSA | 17/05/2023

    Baada ya Yanga kutinga fainali sasa ni mechi ya kuangalia nani anaenda kukutana na Yanga kwenye fainali Mchezo ni saa 4 usiku (EAT) Vikosi kwa timu zote mbili
  16. JamiiForums Tanzania FT: CAFCL: Wydad AC 0 Vs 0 Mamelodi | Stade Mohammed V | Mei 13, 2023

    Mechi imeanza hapa muhamed 05 huku Wydad wakizidisha zaidi mashambulizi
  17. JamiiForums Tanzania FT: Singida BS 0 - 2 Yanga S.C | NBC Premier League | Liti Stadium| 04.05.2023

    Mabingwa watetezi wa ligi kuu nchini Tanzania Young Africans Leo wanajitupa dimbani kumenyana na Singida Big Stars katika mchezo wa wa ligi ya NBC.. Ikumbukwe katika mchezo wa awali Yanga waliibuka na ushindi wa magoli 4-1 Je nani ataibuka mshindi? 00" Mpira umeanza 03" Mzize anapiga shuti...
  18. JamiiForums Tanzania LIVE: Utoaji wa Tuzo za Muziki Tanzania (TMA 2022/23)

    Msanii wa Muziki wa Asili Elizabeth Malinganya ndiye ambaye ameibuka kinara kwemye kinyang’anyiro cha Tuzo ya Msanii Bora wa Kike Muziki wa Asili. Mshindi wa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Kike wa Muziki na Dansi (Best Female Dancer of the Year) ni @angelnyigu • Mshindi wa Tuzo ya Mchezaji Bora wa...
  19. JamiiForums Tanzania Nina miaka 26 sijawahi kuona maiti live uso kwa uso

    Yaani mimi huwa natazama tu kwambali sio kwamba ni uoga, hapana, yaani hata ikitokea msiba watu aanaaga mimi huwa sishiriki kabisa kuaga nakaa zangu kando. Sasa sijajua siku itakapo nitokea hali ya kuona maiti usoni kitanipata nini, sijawahi, sijawahi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…