lisu

The Lisu people (Lisu: ꓡꓲ‐ꓢꓴ ꓫꓵꓽ; Burmese: လီဆူလူမျိုး, [lìsʰù]; Chinese: 傈僳族; pinyin: Lìsù zú; Thai: ลีสู่) are a Tibeto-Burman ethnic group who inhabit mountainous regions of Myanmar (Burma), southwest China, Thailand, and the Indian state of Arunachal Pradesh.
About 730,000 Lisu live in Lijiang, Baoshan, Nujiang, Diqing and Dehong prefectures in Yunnan Province and Sichuan Province, China. The Lisu form one of the 56 ethnic groups officially recognized by China. In Myanmar, the Lisu are recognized as one of 135 ethnic groups and an estimated population of 600,000. Lisu live in the north of the country; Kachin State (Putao, Myitkyina, Danai, Waingmaw, Bhamo), Shan State, (Momeik), (Namhsan, Lashio, Hopang, and Kokang) and southern Shan State (Namsang, Loilem, Mongton) and, Sagaing Division (Katha and Khamti), Mandalay Division (Mogok and Pyin Oo Lwin). Approximately 55,000 live in Thailand, where they are one of the six main hill tribes. They mainly inhabit remote mountainous areas.The Lisu tribe consists of more than 58 different clans. Each family clan has its own name or surname. The biggest family clans well known among the tribe clans are Laemae pha, Bya pha, Thorne pha, Ngwa Pha(Ngwazah), Naw pha, Seu pha, Khaw pha. Most of the family names came from their own work as hunters in the primitive time. However, later, they adopted many Chinese family names. Their culture has traits shared with the Yi people or Nuosu (Lolo) culture.

View More On Wikipedia.org
  1. GE2020 Lissu hafahamiki kabisa vijijini kwenye wapiga kura wengi

    Nimetembea wilaya ishirini za mikoa ya kanda ya nyanda za juu kusini na mikoa ya kusini vijijini kuuliza kama wanamjua mtu anaitwa Tundu Lissu wamesema hawamjui kabisa Vijijini hana chake hata akienda kufanya kampeni ana kazi kubwa ya kujitambulisha yeye ni nani.
  2. M

    GE2020 Hii tabia ya Lissu kutumia maandiko ya Mwl. Nyerere kuhusu maendeleo ya vitu ni unafiki na upotoshaji

    Sina hakika kama unafiki na upotoshaji wa ukweli kwa wanasiasa ni kitu cha kawaida, lakini inakera zaidi wakati upotoshaji na unafiki huo unapo kithiri na kuvuka mpaka. Iko on record kwamba huko nyumba Tindu Lissu amekuwa ni mkosoaji mkubwa wa Baba wa Taifa kiasi cha kumwita dictator...
  3. GE2020 Wagombea wengine mkienda kuhojiwa na Media msifanye kosa kama la Tundu Lissu, hakwenda na sera na hakuomba kura

    Wagombea mkienda kuhojiwa vitu vya Television mwende na summary ya sera zote ukiulizwa sera some kwenye summary yako chapchap taja zote haraka imo kumpa nafasi mwandishi kukuhoji kwenye Hayo maeneo. Lissu alienda mikono mitupu anadhindea kutaja zote. Pili, Lissu alitoka bila kusema Watanzania...
  4. GE2020 Lissu badala ya kueleza sera hugeuza mkutano kuwa Darasa la Sheria akitumia daftari zake za Mwaka wa Kwanza Chuo Kikuu

    Ukweli Lissu hakujiandaa au kuandaliwa kuwa mgombea urais. Anapata shida mno kueleza sera za CHADEMA na hasikii raha na ujasiri wa kuzielezea na hawi na flow nzuri. Na Hakawii kuacha kueleza sera na kuhama kugeuza mkutano kuwa law classroom badala ya political campaign meeting. Lissu badala...
  5. M

    Kuna kundi la watu wanaumia wakisikia Tundu Lissu akielezea tukio lake la kupigwa risasi

    Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza Kuna baadhi ya watu hawataki kabisa kusikia Lissu akielezea jinsi alivyo shambuliwa kwa risasa,najiuliza hawa watu siyo kile kikundi cha wasiojulikana wanakerwa kumuona jamaa yupo buheri na mwenye afya njema? Mimi binafsi napenda kila anapokuwa jukwaani...
  6. T

    GE2020 Bernard Membe anaongea lugha rahisi na anaeleweka kuliko Lissu

    Baada ya kuwasikiliza wagombea wa upinzani ambao tayari wameshaanza kampeni zao, nimejaribu kubainisha tofauti zao, ambapo kwa mtazamo wangu naona Bernard Membe ana uwezo Mkubwa sana wa kuongelea mambo ya wananchi kwa lugha rahisi na inayoeleweka. Aliongea kuhusu mazao ya kilimo na changamoto...
  7. J

    GE2020 Sidhani kama Tundu Lissu atakataa ofa ya uteuzi wa Rais baada ya Uchaguzi

    Ukiondoa akina Christopher Kasanga Tumbo wale wapinzani wa kabla ya CCM hakuna mpinzani wa sasa (hawa wa 1992) mwenye jeuri ya kukataa ofa ya uteuzi wa Rais. Sina shaka baada ya uchaguzi, Tundu Lissu atamkumbusha Rais Magufuli kuhusu ahadi hii ya uteuzi. Tulimwona Prof. Kitila alivyowaponda...
  8. M

    GE2020 Yaliyojiri katika Kampeni za Tundu Lissu Jijini Mwanza

    Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu leo anatarajiwa kuitikisa jiji la Mwanza katika mkutano mkubwa wa Hadhara katika viwanja vya Furahisha. Tayari maandalizi yamekamilika na maandamano makubwa ya kumlaki yanasubiriwa kuanza wakati wowote kutoka sasa Tayari mgombea huyo ameshafanya mikutano...
  9. GE2020 Lissu anaendesha kampeni kivivu, siku moja anafanya jimbo moja ilhali majimbo yako 264. Itamchukua miezi 9 kuyamaliza, tume imetoa miezi miwili tu

    Lissu kaishiwa nguvu aendesha kampeni kivivu majimbo yako 264 yeye siku moja anafanya Jimbo moja itamchukua miezi 9 kuyamaliza tume imetoa miezi miwili tu kabla ya kura. Kwa spidi hiyo hatamaliza majimbo 264 ya uchaguzi anaendesha kampeni kwa mwendo wa kuchechemea, hana stamina ya kampeni na...
  10. GE2020 Naona wote wanapiga tu chenga, watuambie sisi vijana tunapataje ajira au tunajiajirije

    Naona wote wanapiga tu chenga watuambie sisi vijana tunapataje ajira au tunajiajirije wakati mikopo kwa ujasiriamali kupata vigezo ni vingi pia riba kubwa Watuambie wananchi wa kipato cha chini wanaishije, watuambie kuhusu afya na mazingira rafiki ya kibiashara yako wapi. Si kutupa shuhuda za...
  11. J

    GE2020 Godbless Lema: Arusha leo kuna Mechi ya Simba bure na Tamasha la Wasanii bure ili kuhujumu Mkutano wa Tundu Lissu

    Mgombea ubunge jimbo la Arusha Mjini Ndg. Godbless Lema amelalamika kuwa CCM inawahujumu kwa kuandaa mechi ya Simba bila kiingilio na Tamasha la Wasanii bure ili kuhujumu mkutano wa mgombea urais wa CHADEMA Ndg. Tundu Lissu. Hata hivyo Lema ameapa kuwa leo ndio CCM watajua kwamba CHADEMA ni...
  12. GE2020 Kwa kupinga Uwanja wa Ndege Chato iliyo Geita na kupinga uwepo wa Mbuga, wana Geita wote msimpe Lissu na CHADEMA kura hata moja

    Lissu na CHADEMA wamekuwa wanapinga wazi uwepo uwanja wa ndege Chato ambao ni Mji wa Geita. Wanaona wana Geita hawastahili kuwa na uwanja wa ndege pamoja na kuchangia Kodi mabilioni ya pesa za kigeni kupitia migodi mikubwa ya dhahabu Kama Geita Gold Mine nk Kwa kupinga Geita kuwa Wana Geita...
  13. Tundu Lissu ana tatizo la an Anxiety disorder?

    MH LISU ANA TATIZO LA ANXIETY DISORDER? Na Elius Ndabila Anxiety disorder kwa kiswahili ni Ugonjwa wa Wasiwasi(ugonjwa wa Mashaka mashaka). Nieleweke kwamba kuwa na wasiwasi ni jambo la kawaida kwa mwanadamu, hivyo kwa sababu wasiwasi ni jambo la kawaida, ni mhimu kutofautisha baina ya kuwa na...
  14. F

    Tundu Lissu aweka wazi Sera zake kupitia ilani ya CHADEMA 2025

    Hatimaye baada ya kusemwa Sana kupitia mkutano wa uzinduzi Mbagala, Sasa Lisu ameonekana kujipanga na kutozungumzia tena blablaah za kupigwa risasi ambazo tumezizoea. Kupitia mkutano wa Kawe Lisu na makamu wake Salim Mwalimu, wamekuja na ahadi hizi kwa Watanzania. ILANI: Uhuru, Haki na...
  15. Kwanini ni Tndu Lissu na si Magufuli?

    1. MAGUFULI anayeng'ata na kupuliza. Anakwambia maendeleo Hayana chama huku anakashifu wananchi wa majimbo ya Upinzani wakimhoji. 2. Lissu ni mpambania ukweli na haki za watu hata kwa kuweka rehani Maisha yake. 3. Magufuli anasiasa za kuwafanya watu wote Kama wajinga, watoto. Ahadi hewa za...
  16. J

    GE2020 NEC: Kama pingamizi la Tundu Lissu dhidi ya Dkt. Magufuli lingekuwa na mashiko Sheria ingefuata mkondo wake, hakuna aliye juu ya sheria!

    Mkurugenzi wa Huduma za sheria wa tume ya uchaguzi Emmanuel Kavishe amesema kama pingamizi la Tundu Lisu wa Chadema dhidi ya DKT. Magufuli wa CCM lingekuwa na mashiko basi tume ingechukua hatua kwa mujibu wa katiba kwani hakuna mgombea aliye juu ya Sheria. Kavishe alikuwa akijibu swali la...
  17. J

    Tukitoka Mbagala kwa Tundu Lissu nawakaribisha Uhuru kuwashuhudia Dulla Mbabe Vs Kiduku

    Baada ya heka heka za ufunguzi wa kampeni za CHADEMA huko Mbagala si vibaya makamanda mkapitia pale uwanja wa uhuru " shamba la bibi" kumshuhudia kijana wetu wa mwananyamala Dulla Mbabe akimchakaza Kiduku kwa knock out ya mapema kabisa. Siasa siyo uadui, karibuni sana akina bwashee. Maendeleo...
  18. GE2020 Tundu Lissu amejaribu aguswe lakini wametegua hawajamgusa

    Tangu Mh Lissu arejee nchini AMEJARIBU serikali na vyombo vyake ili aguswe lakini hajaguswa. Siku alipokuwa akirejea nchini aliwaandamanisha watu kutoka Uwanja wa ndege mpaka Ufipa bila barua ya polisi. Alifanya hivyo makusudi akitegemea Polisi watamgusa. Polisi walibaini mtego WAKAUTEGUA kwa...
  19. T

    GE2020 Tundu Lissu wasamehe maadui zako lakini usisahau majina yao!

    Jina la Tundu Lissu, ndio linalotajwa sana kwa Sasa kuliko Mtazania yeyote hususan kwenye mitandao ya kijamii. Jina hili linatajwa kwa ubaya na uzuri. Kwa kipindi cha takribani siku mbili mfululizo, Jina la Lisu limeingia kwenye orodha ya majina yanayofuatiliwa sana na watu wengi. Katika...
  20. J

    GE2020 Mapingamizi ya Tundu Lissu yalikaa kienyeji sana yalijikita kwenye ujazaji wa fomu badala ya kilichojazwa

    Nilitegemea mapingamizi ya Wakili msomi yajikite kwenye ukweli wa kile kilichojazwa kwenye fomu na siyo ujazaji wa fomu. Yaani Tundu Lisu anakagua picha kana kwamba anasahihisha mtihani . Msingi wa kujaza fomu ni mtu kuweka taarifa zake muhimu kulingana na matakwa ya nafasi anayoomba. Kitu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…