lissu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.
Over the years Lissu has built a reputation as a prominent lawyer, fierce opposition figure and outspoken government critic, especially with his repeated confrontations with the government in President Magufuli's tenure in the country. Lissu was responsible for the research and preparation of the document that revealed the involvement of the state's high ranking officials in plundering of public funds, famously known as the LIST OF SHAME. The fierce lawmaker has been arrested at least six times in 2017 alone, accused of insulting the president and disturbing public order, among other charges. On 23 August 2017 his home was searched by the police after he was arrested and questioned over allegations of sedition and insulting President John Magufuli, calling him a 'petty dictator'. His arrest came after he revealed to the public that a plane bought for the national carrier had been impounded in Canada over unpaid government debtsIn the afternoon of September 7 2017 during a parliamentary session break, Tundu Lissu, whilst in his car, was shot multiple times and seriously injured by unknown assailant (the so called unknown people who engaged in many kidnaping and assassinate opposers) in the parking lot of his parliamentary residence in Area D, Dodoma. This happened merely weeks after Lissu declared publicly that certain people instructed by IGP Sirro and the Head of National Intelligence unit Mr Kipilimba, had been stalking him for weeks. Tundu Lissu received emergency treatment for some hours at Dodoma General Hospital before, in fear of his safety, was air-lifted to Aga Khan Hospital in Nairobi, Kenya where he was hospitalized for months before being flown to Belgium to undergo further treatment and rehabilitation . He was hospitalized at the Leuven University Hospital in Gasthuisberg, where he has reportedly undergone nineteen (19) operations to date. Until today, it is still uncertain when Lissu will return home; his brother and family spokesman, advocate Alute Mughwai added that the family would prefer his young brother to stay in Belgium for treatment until he fully recovers.
With his preceding political stance, the recurring arrests plus the recent attack on Lissu have been condemned as 'cowardly', 'heinous' and 'an attack on democracy' by political, human rights and religious organizations. Lissu's party officials openly addressed their concerns to the public and to President Magufuli, who is also Chairman of the nation's ruling party CCM, that the attempt on Lissu's life was politically motivated and just another retaliation on the lawmaker's repeated run-ins with the government. While President Magufuli said on Twitter that he was 'shocked' and 'saddened' by the shooting and was praying for Lissu's 'quick recovery', a number of Tanzanian politicians have aired their comments on the attack, with CHADEMA Chairman Freeman Mbowe and opposition figure Zitto Kabwe hinting on the necessity of having a foreign body man the investigation on the brutal attack.

View More On Wikipedia.org
  1. CHADEMA

    Tundu Lissu: Why I am running for the presidency of the United Republic of Tanzania

    WHY I AM RUNNING FOR THE PRESIDENCY OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA Fellow Countrymen and Women; Fellow Citizens of the United Republic of Tanzania, at home and in the Diaspora; Fellow leaders, members and supporters of Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA); and Friends of the...
  2. CHADEMA

    GE2020 Hotuba ya Tundu Lissu kutangaza nia ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Juni 08, 2020

    Hotuba ya Tundu Lissu, FULL TEXT: KWANINI NAGOMBEA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA? Wananchi na raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania popote walipo, ndani na nje ya nchi yetu; Wanachama, wapenzi na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA); Marafiki wa Jamhuri ya...
  3. Nigrastratatract nerve

    Kwa aliyoituhumu Tanzania akiwa ughaibuni, Lissu hatakiwi kabisa kukanyaga ardhi ya Tanzania

    The man is naive ameropoka toka mwaka Jana serikali haijamjibu chochote Amezunguka akihamasisha mabaya yote ya nchi serikali imekaa kimya Nadhani huyu jamaa anaichukulia poa sn Tanzania kwamba unaweza Fanya chochote bila kufanywa chochote . Jamaa anasahasau kwamba anaowategemea tuliwafurusha...
  4. S

    GE2020 Lissu njoo na ahadi ya kifuta machozi kwa waliofukuzwa kwa vyeti feki, kulipa malimbikizo ya salary increment za watumishi na ...

    Kama kesho utaongelea unachopanga kukifanya iwapo utafanikiwa kuwa Raisi wa nchi hii licha ya ukweli kuwa hatuna tume huru ya uchaguzi,nakushauri wewe kama mgombea uraisi(iwapo chama chako kitakuteua kuwa mgombea wao) uwe na ahadi zako kama mgombea uraisi na hizi nitazotaja hapa chini ziwe ni...
  5. William Mshumbusi

    GE2020 Je, Lissu atakuwa na jipya katika hotuba yake kesho?

    Jibu NI hakuna Jipya lolote kesho. Iwapo ataongea atazungumzia democrasia, Kisha kupigwa risasi, Uhuru na kujieleza na maswala ya kisheria ambayo hayana msaada wowote kwa mkulima wa pamba aliyekopwa pamba hajalipwa uko mwafuguji, Au mkulima wa mahindi aliyekosa soko zuri la mazao yake uko...
  6. Erythrocyte

    GE2020 Urais wa CHADEMA moto: Kampeni zaanza kwa kishindo, Msigwa na Lissu hapatoshi !

    Hakika Chadema ni chama cha kupigiwa mfano , unaambiwa kila kambi imejipanga vilivyo hasa , Kambi ya Mh Msigwa ambaye ni Mwenyekiti wa Kanda yangu ya Nyasa inapepetana vikali sana na kambi ya Mh Tundu Lissu , ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa Tayari kampeni nzito imeanza , bali...
  7. Q

    Mwele, Lissu na Membe mmeonesha ujasiri. Kinana umeudhalilisha utu wako

    Dr. Mwele alijua yuko sahihi na wao walijua yuko sahihi ndio maana hadi leo hawaachi kumtaja. Tundu Lissu alipigwa risasi zaidi ya 16 si kwa sababu alikuwa na kosa, bali kosa lake ni kuuzungumza ukweli, hajaomba radhi kwa kuwa alisema alichokuwa anakiamini. Membe kasema yeye siyo mhalifu kwa...
  8. M

    Lissu. Ulitakaje ubunge ukiwa unaishi Ulaya na kuogopa kurudi, ungewawakilishaje wananchi wako?

    Ulitakaje ubunge ukiwa unaishi Ulaya na kuogopa kurudi, ungewawakilishaje wananchi wako? Acha kutufanya wajinga, hufai hata kuwa mwenyekiti wa kijiji na uongo wako kutufanya wajinga. Wadanganye mafala sio wote, you can fool some people sometimes not all never all the time
  9. Expensive life

    Huyu ndiye Tundu Lissu

  10. kmbwembwe

    Lissu aombe radhi kwa kumkejeli Rais Magufuli

    Mambo yaliyomtokea Lissu mimi naona ni laana kutokana na kejeli dharau na matusi aliyomfanyia Rais Magufuli siku za mwanzo za utawala wake. Rais Magufuli ni mtu mwenye imani ya Mungu. Kwa wale wenye kumbukumbu siku za mwanzo utawala wa Magufuli kuna viongozi wa CHADEMA walionesha uhasama mkubwa...
  11. RAKI BIG

    Tetesi: Mh Tundu Lissu amewasilisha barua rasmi ya kutia nia ya kuwa Mgombea Urais kupitia CHADEMA.

    Habari wakuu. Hivi hii habari imekaaje maana naona kama Tundu Lisu sasa hiv kutokuwepo kwake kunaweza kusababiswa kushindwa kufanya vzr katika uchaguzi mwaka huu hasa kwa uapnde wake yeye mtia nia ya uraisi na isitoshe tayari chadema kama wameshapotena kwenye kasi za ubingwa wa uchaguzi msimu huu .
  12. technically

    GE2020 Rais Magufuli jipime umwachie Membe, Lissu atakuangusha mapema sana

    Ukweli mchungu, Lissu ni maaarufu sana kuliko Magufuli, Lissu amesoma na kuelimika kuliko Magufuli, Lissu anaijua Tanzania na tatizo la nchi hii kuliko Magufuli, Lissu anaijuwa siasa ya ndani ya Tanzania na nje kuliko Magufuli, Lissu hana hata tuhuma moja ya ufisadi kama Magufuli. Lissu...
  13. Erythrocyte

    GE2020 Tundu Lissu amewasilisha barua kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA kuomba kuteuliwa kugombea Urais wa Tanzania

    Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba yule mtu aliyesubiriwa kwa hamu na Watanzania , ameanza ule mchakato muhimu . Taarifa zinaonyesha kwamba maombi ya watanzania yamejibiwa baada ya Mh Lissu kuandika barua kwenye chama chake akiomba kufikiriwa kwenye uteuzi wa kugombea Urais wa Tanzania kwenye...
  14. Jidu La Mabambasi

    GE2020 CHADEMA, Tundu Lissu kuwa mgombea wenu mtapoteza muda wenu

    Nimesikia tetesi kwamba ati Tundu Lissu anaweza kubeba bendera ya CHADEMA kuwa mgombea kwa kiti cha Urais. Kwa kifupi Tundu Lissu hafai na hana vigezo vya kuwa Rais. Moja; Yuko hysterical na siyo good listener(si msikilizaji mzuri). Yeye anafikiri anachojua ndio kinatawala kwa mazingira...
  15. The Palm Tree

    GE2020 Ni nini mwelekeo na nafasi ya Tundu Lissu kisheria kugombea nafasi yoyote ya uongozi hususani Ubunge na Urais katika uchaguzi mkuu mwaka - 2020?

    Ukiniuliza swali hili; Je, ungependa Tundu A. M. Lissu awe mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA katika uchaguzi mkuu wa 2020? Hakika jibu langu haraka haraka na pasipo kupepesa macho huku nikitabasamu, ningekujibu tu....YES, HUYU NDIYE...!! Huyu ndiye si kwa sababu kina Zitto Z.R. Kabwe...
  16. mfianchi

    Zitto na Lissu mko wapi kulaani yanayotokea huko Marekani

    Nilidhani ''watetezi wa haki za binadamu'' wangekuwa mstari wa mbele kulaani yanayotokea Marekani ,bahati mbaya hawayaoni hayo,kisa ni baba yao ndio anayafanya hayo''mazuri'' hayo yangefanyika Tanzania basi ungewasikia Zitto,Lissu,Fatuma na Maria wanaitisha press conference na kulaani kwa nguvu...
  17. S

    Tundu Lissu kurejea nchini kwa lengo la kuja kugombea urais?

    kupitia twitter,kada wa CHADEMA,Vitusi Nkuna leo ameandika kuwa Lissu katangaza nia ya kugombea uraisi kupitia CHADEMA. Kama haitoshi,Mayor wa Ubungo, Boniface Jacob muda wa kama lisaa limoja lililopita, kaandika kupitia twitter maneno haya hapo chini huku akiambatanisha tweet yake na picha...
  18. Q

    LISSU: Muda ukifika nitaomba ridhaa kupeperusha bendera ya CHADEMA.

  19. Pascal Mayalla

    Habari Njema Kutoka Barrick Gold kwa Watanzania, Tunaanza Kufaidi Rasilimali Zetu, Donge Nono la Dola Milioni 100 zalipwa

    Wanabodi, Hatimaye Tanzania sasa tunaanza kufaidi rasilimali zetu za madini, ambapo leo, donge nono la dola za Marekani milioni 100, zimelipwa kwenye kile kibubu chetu pale kwenye ule mfuko Mkuu wa hazina ya serikali kama advance payment ya kile kishika Uchumba cha dola milioni 300, ambacho...
  20. J

    Angalia: Zitto na dadaye, Lissu na dadaye, Ndesa na mwanawe, Dr Slaa na mkewe, Ndesa na mkwewe. Je, Viti Maalumu CHADEMA huzingatia mahusiano?

    Najaribu tu kuwakumbusha wale wanaomwandama Mbowe kwamba aliwanyanyasa kijinsia baadhi ya wabunge wa viti maalumu Chadema. Kiukweli mnamuonea bure kabisa mwenyekiti. Utaratibu wa kuwapata wabunge wa viti maalumu umekuwa na sintofahamu tokea chama hicho kiasisiwe. Nitoe mifano michache ya...
Back
Top Bottom