lissu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.
Over the years Lissu has built a reputation as a prominent lawyer, fierce opposition figure and outspoken government critic, especially with his repeated confrontations with the government in President Magufuli's tenure in the country. Lissu was responsible for the research and preparation of the document that revealed the involvement of the state's high ranking officials in plundering of public funds, famously known as the LIST OF SHAME. The fierce lawmaker has been arrested at least six times in 2017 alone, accused of insulting the president and disturbing public order, among other charges. On 23 August 2017 his home was searched by the police after he was arrested and questioned over allegations of sedition and insulting President John Magufuli, calling him a 'petty dictator'. His arrest came after he revealed to the public that a plane bought for the national carrier had been impounded in Canada over unpaid government debtsIn the afternoon of September 7 2017 during a parliamentary session break, Tundu Lissu, whilst in his car, was shot multiple times and seriously injured by unknown assailant (the so called unknown people who engaged in many kidnaping and assassinate opposers) in the parking lot of his parliamentary residence in Area D, Dodoma. This happened merely weeks after Lissu declared publicly that certain people instructed by IGP Sirro and the Head of National Intelligence unit Mr Kipilimba, had been stalking him for weeks. Tundu Lissu received emergency treatment for some hours at Dodoma General Hospital before, in fear of his safety, was air-lifted to Aga Khan Hospital in Nairobi, Kenya where he was hospitalized for months before being flown to Belgium to undergo further treatment and rehabilitation . He was hospitalized at the Leuven University Hospital in Gasthuisberg, where he has reportedly undergone nineteen (19) operations to date. Until today, it is still uncertain when Lissu will return home; his brother and family spokesman, advocate Alute Mughwai added that the family would prefer his young brother to stay in Belgium for treatment until he fully recovers.
With his preceding political stance, the recurring arrests plus the recent attack on Lissu have been condemned as 'cowardly', 'heinous' and 'an attack on democracy' by political, human rights and religious organizations. Lissu's party officials openly addressed their concerns to the public and to President Magufuli, who is also Chairman of the nation's ruling party CCM, that the attempt on Lissu's life was politically motivated and just another retaliation on the lawmaker's repeated run-ins with the government. While President Magufuli said on Twitter that he was 'shocked' and 'saddened' by the shooting and was praying for Lissu's 'quick recovery', a number of Tanzanian politicians have aired their comments on the attack, with CHADEMA Chairman Freeman Mbowe and opposition figure Zitto Kabwe hinting on the necessity of having a foreign body man the investigation on the brutal attack.

View More On Wikipedia.org
  1. Erythrocyte

    Tundu Lissu ashiriki ibada ya Jumapili kwenye kanisa la KKKT - Azania Front

    Siku ya leo ambayo ni Jumapili ya ibada Mh Tundu Lissu kama walivyo waamini wengine wa dini ya Kikristo amemtukuza Mungu kwa kushiriki ibada takatifu kwenye kanisa la KKKT , usharika wa Azania Front - Jijini Dar es salaam
  2. MamaSamia2025

    GE2020 CHADEMA kutobandika picha za Tundu Lissu ni kosa la kiufundi

    Leo tena natumia haki yangu ya kikatiba kutoa maoni kuhusu uchaguzi huu. Hii pia imechangiwa na wengi wenu kunitumia PM kuniomba nitoe maoni yangu kuhusu mwenendo wa uchaguzi huu. Nimekubali kufanyia kazi maombi ya wengi. Niseme kwamba kampeni hizi za mwaka huu ni za kipekee. Ziko tofauti sana...
  3. Roving Journalist

    GE2020 CHADEMA: Tunamuunga mkono Maalim Seif kwa Urais Zanzibar. Lissu hataendelea na kampeni, atapangiwa majukumu mengine

    Kwa mujibu wa Tumaini Makene: Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe. Freeman A. Mbowe leo Jumapili, Septemba 4, 2020, saa 7 mchana atatoa tamko, kupitia Mkutano wa Waandishi wa Habari, kuhusu maazimio ya Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Chama kilichoketi jana na kumalizika usiku jijini Dar es Salaam...
  4. Mystery

    Ni kwanini CCM idai kuwa Tundu Lissu anatoa lugha ya uchochezi pale anapoihimiza Tume ya Uchaguzi iendeshe Uchaguzi ulio huru na wa haki?

    Nimemsikiliza mara nyingi sana tena kwa makini sana mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chadema, Tundu Lissu, mara zote amekuwa akiisisitiza Tume ya uchaguzi nchini, iendeshe uchaguzi mkuu ujao, katika njia ya uwazi, Uhuru na Haki. Amezidi kusisitiza kuwa wanachowataka Tume hiyo ya uchaguzi ni...
  5. zitto junior

    GE2020 Nimefurahi wimbo huu kuwa rasmi wa kampeni CHADEMA

    Previously wimbo ulikua wa kampeni za Msigwa ila naona umeboreshwa uwe wa kitaifa. Unanibamba sana, inapaswa baada ya campaign uchukue nafasi ya ''one love'', inasaidia zaidi branding ya chama. Source: Yericko Nyerere Nawashukuru wote mliojitokeza kuchangia chochote kugharamia maboresho...
  6. Chapa Nalo Jr

    GE2020 Namshauri Tundu Lissu apeleke mashtaka NEC dhidi ya Magufuli kwa kampeni za kibaguzi

    Katiba yetu na sheria zetu zinatambua uwepo wa vyama vingi. Hivyo mgombea urais anayesema nikipata urais sitapeleka maendeleo kwenye majimbo yaliyo chagua wabunge au madiwani wasio wa chama chake, ni uvinjivu wa sheria na tusi kwa katiba yetu. Hivyo napendeleza CHADEMA au Lissu kipindi hiki...
  7. The Palm Tree

    GE2020 Naomba kujua ratiba ya kampeni za mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu kesho tarehe 4/10/2020

    Tunajua ratiba ya kampeni zake ina-resume kesho tarehe 4/10/2020.... Aidha kuna hizi "tetesi" kuwa, kampeni zake ziko suspended kwa siku 7 hadi tarehe 9/10/2020 kama adhabu ya "kikiuka sheria za mchezo".... Upande wa pili, amekataa kuutambua uamuzi huo kwa sababu ni " batili kisheria" na kwa...
  8. Mwanahabari Huru

    Hukumu dhidi ya Tundu Lissu yadhihirisha Tume ya Taifa ya Uchaguzi ni Wakala wa CCM

    Niliahidi wiki iliyopita kwamba nitaandika tena baada ya hukumu dhidi ya Tundu Lissu ambayo tayari ilikwishavuja hata kabla ya mashtaka kuandikwa. Hatimaye Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza rasmi kumfungia mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu kutojihusisha na kampeni kwa siku 7. Wiki...
  9. K

    Kwa hali hii Tundu Lissu ajitafakari

    *WATANZANIA WENZANGU MMEMSIKIA TUNDU LISSU? NAULIZA TENA MMEMSIKIA?* Yaani Tundu Lissu amepewa adhabu na Tume ya Uchaguzi ya Taifa (NEC) ya kutofanya kampeni kwa siku 7 kutokana na kukiuka maadili ya uchaguzi halafu anakimbilia kujirekodi malalamiko yake kwa kiingereza ili awatumie waliomtuma...
  10. rosemarie

    Hata kama Lissu atatolewa kwenye kugombea,message delivered!

    naona ccm na washarika wake tume ya uchaguzi na polisi wanahangaika sana kumzima lissu au ikiwezekana kumuengua asiendelee wala asiwe mgombea tena, neno moja tu kwenu ccm na magufuli na washarika wenu wote hata kama mkimtoa asigombee tena message delivered watanzania hawaitaki tena ccm hata kama...
  11. K

    GE2020 MAHOJIANO: Tundu Lissu na VOA ya kusimamishwa kampeni na NEC, anakubaliana na Magufuli kuhusu COVID19

    Mambo aliyoyaongea Amesema anaendelea vizuri na kampeni zake, wanasema anakosea kwa kuwa anaongea ukweli lakini kwa sababu anayoyaongea ni ya ukweli anashindwa kuitwa kwenye maeneo ya kumuuliza kuhusu anayoyaongea Aidha mtangazaji aliuliza kuhusu uchaguzi kuwa huru na haki kutokana na mfumo...
  12. M

    GE2020 Kamati ya Maadili yatolea ufafanuzi adhabu dhidi ya Lissu kumfungia kampeni. Yasema ameadhibiwa na Kamati ya Vyama 15 vinavyoshiriki Uchaguzi Mkuu

    KAMATI YA MAADILI: Baadhi ya watu kutaka kuwaaminisha umma wa Watanzania kwamba mgombea huyo ameadhibiwa na tume ya Taifa ya uchaguzi, ukweli ni kwamba bwana Lissu ameadhibiwa na kamati ambayo inajumuisha wawakilishi wa vyama vya siasa vinavyoshiriki uchaguzi wa kiti cha Rais. Wajumbe 15...
  13. Naantombe Mushi

    GE2020 Kamati Kuu ya CHADEMA msimtie huzuni Lissu, kukubali adhabu ya kinyonyaji maana yake ni kukubali hata jaribio la kuibiwa kura

    Kumpa pumzi CCM kwa siku 7 litakuwa kosa kubwa sana kwenye huu uchaguzi wa kihistoria. Kukubali kutekeleza amri za kinyonyaji za NEC maana yake ni kipimo pia cha kukubali kuibiwa kura na kutokufanya chochote. Naomba msimamie msimamo wenu wa 'Hatutakubali' na Lissu ameshasema jana, kwa...
  14. S

    Lissu ameeleweka vizuri sana kuanzia makanisani hadi misikitini wachilia mbali kwenye joto serikalini na vyombo vyake

    Haijawahi tokea mgombea kukubalika kiasi hiki,ni ushindi wa 99% ,takwimu zote zina viashiria vya ushindi. a) CCM imewasababishia matatizo watu wengi wakuu wa Makanisha mpaka inawadai uraia. Watanzania wangapi wametoboa mipaka mpaka wamefika majuu na leo hali zao nzuri hatujasikia fukunyuku za...
  15. Q

    GE2020 Kufungiwa Lissu kwa siku 7 ni ‘advantage’ kubwa sana kwake

    Pamoja na kuwa atakuwa hayuko majukwaani lkn mazingira ya jinsi NEC ilivyomzuia yanatosha kumpigia kampeni, sasa wananchi na jumuia za kimataifa zimejua kweli Tume haiko huru na inapendelea, vyombo vya habari vya ndani na nje vinaripoti habari yake. Muda huu apumzishe ubongo na akili na mikiki...
  16. Mystery

    GE2020 Kwa NEC kumfungia mikutano ya kampeniTundu Lissu, ni sawasawa na kumpiga chura mateke, kwani ndiyo unazidi kumuongezea mwendo!

    Tulisikia taarifa ya Kamati ya Maadili ya Tume ya Taifa ya uchaguzi, katika kikao chake ilichoketi Jana, ikitoka na uamuzi wa kumfungia Tundu Lissu, kutofanya mikutano ya kampeni kwa wiki moja, kuanzia tarehe 3 hadi tarehe 9 ya mwezi huu wa 10 Wasidhani hiyo Kamati ya Maadili ya Tume ya...
  17. B

    Ushauri kwa Mgombea wa Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

    Mhe. Tundu Lissu, wewe ni mgombea wa urais. Sote tunatambua ya kuwa urais ni taasisi. Hivyo ni muhimu sana kwa wewe kujijenga kitaasisi ukiwa mgombea. Kwa jinsi ninavyoshuhudia katika kampeni zako wewe umekuwa ndo kila kitu yaani wewe ndo msemaji wewe ndo Katibu wa chama. Sioni haja ya wewe...
  18. TODAYS

    Hii picha ya Lissu imekaa kiutawala zaidi 'tuseme RAIS'

    Hii picha inanifikirisha kiutawala zaidi kutokana na appearance ya mh president tobe. Iangalie na utafakari kwa mbali, 'zoom'
  19. Mag3

    GE2020 IGP Simon Sirro, je unasemaje kuhusu hawa askari wako? Je, kwa Tundu Lissu kuwafokea hawa askari huoni anatimiza wajibu wake wa Kikatiba?

    Je, mgombea wa Urasi kupitia Chadema, Mh. Tundu Antiphas Lissu anayo haki yoyote ya kufokea ushirika huu wa kiharamu wa Jeshi la Polisi na CCM? Je, ni kweli jeshi la polisi linatumiwa na wagombea wa CCM kukandamiza uhuru na haki ya wananchi kuwapigia kura viongozi wanaowapenda? Je, kitendo cha...
  20. Robot la Matope

    GE2020 Mgombea wa Urais wa Tanzania, Tundu Lissu afungiwa na NEC kufanya Kampeni siku 7

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemfungia kufanya kampeni Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA Tundu Lissu kwa siku saba kwa madai ya kukiuka maadili ya uchaguzi. ============ Leo tarehe 02 Oktoba 2020 kamati ya maadili ya Kitaifa imesikiliza malalamiko dhidi ya Mgombea wa kiti cha Rais...
Back
Top Bottom