lissu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.
Over the years Lissu has built a reputation as a prominent lawyer, fierce opposition figure and outspoken government critic, especially with his repeated confrontations with the government in President Magufuli's tenure in the country. Lissu was responsible for the research and preparation of the document that revealed the involvement of the state's high ranking officials in plundering of public funds, famously known as the LIST OF SHAME. The fierce lawmaker has been arrested at least six times in 2017 alone, accused of insulting the president and disturbing public order, among other charges. On 23 August 2017 his home was searched by the police after he was arrested and questioned over allegations of sedition and insulting President John Magufuli, calling him a 'petty dictator'. His arrest came after he revealed to the public that a plane bought for the national carrier had been impounded in Canada over unpaid government debtsIn the afternoon of September 7 2017 during a parliamentary session break, Tundu Lissu, whilst in his car, was shot multiple times and seriously injured by unknown assailant (the so called unknown people who engaged in many kidnaping and assassinate opposers) in the parking lot of his parliamentary residence in Area D, Dodoma. This happened merely weeks after Lissu declared publicly that certain people instructed by IGP Sirro and the Head of National Intelligence unit Mr Kipilimba, had been stalking him for weeks. Tundu Lissu received emergency treatment for some hours at Dodoma General Hospital before, in fear of his safety, was air-lifted to Aga Khan Hospital in Nairobi, Kenya where he was hospitalized for months before being flown to Belgium to undergo further treatment and rehabilitation . He was hospitalized at the Leuven University Hospital in Gasthuisberg, where he has reportedly undergone nineteen (19) operations to date. Until today, it is still uncertain when Lissu will return home; his brother and family spokesman, advocate Alute Mughwai added that the family would prefer his young brother to stay in Belgium for treatment until he fully recovers.
With his preceding political stance, the recurring arrests plus the recent attack on Lissu have been condemned as 'cowardly', 'heinous' and 'an attack on democracy' by political, human rights and religious organizations. Lissu's party officials openly addressed their concerns to the public and to President Magufuli, who is also Chairman of the nation's ruling party CCM, that the attempt on Lissu's life was politically motivated and just another retaliation on the lawmaker's repeated run-ins with the government. While President Magufuli said on Twitter that he was 'shocked' and 'saddened' by the shooting and was praying for Lissu's 'quick recovery', a number of Tanzanian politicians have aired their comments on the attack, with CHADEMA Chairman Freeman Mbowe and opposition figure Zitto Kabwe hinting on the necessity of having a foreign body man the investigation on the brutal attack.

View More On Wikipedia.org
  1. Analogia Malenga

    GE2020 Lissu: Tutatengeneza nchi ya watu walio huru

    Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA: Tundu Lissu amesema watatengeneza nchi huru na yenye haki. Nchi ambayo hakuna kiongozi atakayeogopwa kuliko Mungu. Amesema kia mtu anahitaji haki na kila mtu anastahili kupata haki, awe askari mfanyabiashara, mkulima, mfugaji, mama lishe, bodaboda au kazi...
  2. PatriceLumumba

    Haya ndiyo aliyoyasema Lissu kuhusu “flyover” za Dar es Salaam

    Kama Tundu Lissu kathubutu kusema flyover za Dar asingejenga, angejenga barabara za vijjini Singida kweli amechemka. Dar ni mkoa unaochangia mapato ya serikali kwa zaidi ya asilimia 50. Flyover zile zimechangia kwa kiasi kikubwa kupunguza kama si kuondoa kabisa foleni pale Ubungo na ukumbuke...
  3. M

    GE2020 Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

    Mgombea wa Urais anayetarajiwa kupata ushindi mkubwa Tundu Lissu leo ataitetemesha Chato na viunga vyake katika kampeni zake zilizoivuta Dunia. Taarifa kutoka ndani ya Team yake ya Kampeni kabla ya kuhutubia mkutano wa Hadhara atautembelea Uwanja wa ndege wa Chato uliozua gumzo nchini kote...
  4. Mystery

    GE2020 Hivi pamoja na "promo" yote ya mabango yaliyotapakaa nchi nzima, ni kwanini CCM inapelekwa mchamchaka na Tundu Lissu?

    Kuna msemo wa wahenga usemao kuwa kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza...................... Kwa namna CCM ilivyosambaza mabango nchi nzima, wakati wapinzani wao wa kisiasa, vyama vya upinzani, wakiwa hoi bin taabani, naweza ulinganisha usemi huo na hali halisi ya hivi sasa. Hivi unawezaje...
  5. tpaul

    GE2020 Hizi ndizo hoja zitakazomuangusha Dkt. Magufuli na kumpaisha Tundu Lissu kwenye Uchaguzi Mkuu 2020

    Bila kupepesa macho wala kutikisa masikio, naingia kwenye mada moja kwa moja. Katika andiko hili nimebainisha kinagaubaga mambo ambayo yatamuangusha Magufuli na kumuinua Hon Dr Tundu Antipas Lissu kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2020 kama ifuatavyo: 1. Kuboresha mishahara na maslahi ya wafanyakazi Mh...
  6. BAK

    GE2020 Kahama: Polisi wapiga mabomu ya machozi kuwatawanya wananchi waliojaa nje ya hotel aliyofikia Tundu Lissu

    Violence Alert Tanzania Election "Tunapigwa mabomu nje ya hotel ya Gaprena Kahama, kwasababu watu wamesindikiza gari na hawataki KUONDOKA" Inadaiwa Mtu mmoja amepigwa mguuni na risasi ya moto. Aliyepigwa risasi alikuwa mpita njia, anafahamika kwa jina la Kiwasha Masele.. Anapelekwa...
  7. Erythrocyte

    GE2020 Video: Mapokezi ya Tundu Lissu huko Igunga

    Hakika usije ukathubutu kushindana na aliyejaaliwa , pamoja na vikwazo vya kila namna ikiwa ni pamoja na uchawi , lakini Mh Lissu anazidi kuungwa mkono. Haya hapa ni mapokezi yake alipokuwa anaingia viwanja vya Barafu Mjini Igunga - Tabora, jionee mwenyewe
  8. Kamanda Asiyechoka

    GE2020 Lissu inatosha umewasemea watanzania yaliyo mioyoni mwao, Mungu atakulipa

    Kwa miaka mitano watanzania wamekuwa wakiumia moyoni,hawana pa kusema shida zao. Miaka mitano mzunguko wa fedha umesinyaa,hakuna aliyediriki kusema,umekuja wewe umeongea mengi,ya kuwasaidia watanzania. Miaka mitano wafanyakazi hawajaongezwa mishahara,lakini walikuwa hawana wa kuwasemea,wewe...
  9. JF Member

    GE2020 Magufuli vs Lissu, nani yuko vizuri kuhusu Uchumi?

    Kwa wanao fuatilia sera za wagombea wa Urais hasa Lissu na Magufuli? Nani anajenga hoja za mashiko kuhusu Uchumi wa hii nchi? Kiujumla tunataka kusogea mbele, tuone watu wanasafiri toka sehemu moja hadi nyingine kufanya biashara bia vikwazo wala shida ya kimiundombinu. Tunataka kuona uchumi wa...
  10. CHADEMA

    GE2020 Yaliyojiri kwenye Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu mikoa ya Singida, Tabora na Shinyanga

    Wakuu bado tunaendelea kuwaletea taarifa za Mh Tundu Lissu kutoka popote anapopita kuomba kura. Endelea kubaki hapa hapa JF kwa taarifa za Uhakika. ========= Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Tundu Lissu, akiambatana na mkewe, Bi. Alicia Magabe, akimjulia hali Ndugu...
  11. Viol

    GE2020 Lissu: Magufuli usidanganye, kitambulisho cha biashara ndogo huwezi kutumia kukopa benki

    Mgombea urais chama cha demokrasia na maendeleo Tundu Lissu leo akiwa Singida amesema Magufuli aache kudanganya sisi siyo washamba kama yeye, kitambulisho cha biashara ndogo huwezi kutumia kukopa benki. "Kitambulisho hakina jina, anwani na unaponunua haina hata risiti halafu anasema unaweza...
  12. Bujibuji Simba Nyamaume

    GE2020 Je ni nani wa kujibu hoja hizi za Tundu A Lissu?

    Sioni kama yule mwandishi NGULI, msomi wa uandishi Kisha akahamia kwenye wigo wa Sheria Bwana Pascal Mayalla Kama anaweza jibu hoja hizi. Nyani Ngabu the Monkey of the nation anaweza kumung'unya ile lugha inayoliumbua Taifa kupitia liwali aliyepo, lakini kamwe 🦍 Nyani Ngabu hawezi jibu hoja...
  13. Nyani Ngabu

    GE2020 Tundu Lissu kutinga Chato keshokutwa

    Mgombea urais wa CHADEMA, Bw. Tundu Lissu, keshokutwa Jumanne tarehe 13 Oktoba, ataenda kupiga kampeni kwenye ngome ya Rais Magufuli huko Chato. Pia, kwa mujibu wake yeye mwenyewe, kabla ya kufanya mkutano wake huo, ataenda kuuangalia uwanja wa kimataifa wa ndege unaojengwa mjini humo. Could...
  14. Q

    Mzee atoa machozi baada ya kumuona Lissu aliyepigwa risasi 16 akiwa hai

    Leo Singida.
  15. Prof Koboko

    GE2020 Tundu Lissu akili nyingi, alichokisema kuhusu pesa kupotea mtaani

    Huyu bwana akili zake nyingi sana pamoja na kua na ufahamu mkubwa wa masuala ya katiba na sheria lakini hayupo nyuma pia kwenye kuyafahamu masuala kazima ya kiuchumi. UNAJUA ALISMAJE? Lissu alisema kua pesa zimeadimika mtaani siyo eti kwa porojo za CCM kwamba dili hakuna, alisema kua pesa...
  16. M

    GE2020 Yanayojiri Mapokezi ya Tundu Lissu jimboni Mkalama na Singida Mjini

    Mcheza kwao hutunzwa.Ndivyo tunavyoweza kuelezea mapokezi ya Tundu Lissu hapo Jana alipokanyaga Ardhi aliyozaliwa. Leo Mgombea huyo anayepewa nafasi kubwa zaidi ya kushinda atafanya kampeni zake katika Jimbo la Mkalama na baadaye Singida Mjini. Tundu Lissu ameandika historia mpya ya Mgombea...
  17. E

    Watu jamii ya Lissu wako wengi mjini

    Juzi nimeona clip ya Lissu akiwa Kariakoo akinunua maparachichi pilipili hoho na nyanyachungu, nikajiuliza hivi kweli mtu unatoka Kimara kwenda Kariakoo kununua parachichi na nyanyachungu? Huko Kimara hakuna soko? Hakuna genge? Nikajiuliza inawezekana akina Lissu wako wengi mjini wanatoka...
  18. M

    GE2020 Tundu Lissu afafanua maana ya uhuru, haki na maendeleo ya watu kwa watu wa Dodoma

    Akiwa mkoani Dodoma ambayo kwa asili ni ngome ya chama cha mapinduzi, Ndugu Lissu amefafanua kwa uzuri kabisa na kwa lugha rahisi kabisa ya kueleweka anamaanisha nini pale CHADEMA inaposema haki, uhuru na maendeleo ya watu. Mheshimiwa Lissu ameelezea ukosefu wa haki kwa kutolea mfano chaguzi za...
  19. M

    GE2020 Lissu mnyang'anye Magufuli advantage ya vyombo vya habari vya umma na wasanii

    Kiukweli kabisa bila wasanii wakubwa na vyombo vya habari vya umma leo kampeni za Magufuli zingekuwa nusu kaputi. Kiufupi kampeni za Magufuli za mwaka 2020 ni sawasawa na kampeni za Magufuli za mwaka 2015, hotuba ni zilezile yaani hakuna jipya. Ila Magufuli ameifanya TBC kama TV yake binafsi...
  20. M

    GE2020 Yaliyojiri Katika Mapokezi ya Tundu Lissu Dodoma na Singida

    Hatimaye adhabu aliyopewa Tundu Lissu imemalizika Jana. Mgombea huyo anayeungwa mkono na mamilioni ya Watanzania leo ataendelea na Kampeni yake katika mikoa ya Dodoma katika maeneo ya Chamwino na Singida katika maeneo ya Ikungi na Manyoni. Tume ya Taifa ya Uchaguzi imekuwa ni kichekesho Cha...
Back
Top Bottom