line

Líně is a municipality and village in Plzeň-North District in the Plzeň Region of the Czech Republic. It has about 2,800 inhabitants. Líně lies approximately 11 kilometres (7 mi) south-west of Plzeň and 95 km (59 mi) south-west of Prague.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Application Gani Inaweza Kukusaidia Kuangalia Salio Line Ikiwa Kwenye Modemu

    Kichwa hapo juu chaeleza, naomba anayefahamu app yenye uwezo wa kuangalia Salio line ikiwa kwenye modemu.
  2. JamiiForums Tanzania Bajeti Kuu, 2023-2024: Kodi kufutwa kwa kila line ya simu kulingana na uwezo wa kuweka salio

    Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, leo June 15, 2023 wakati akisoma bajeti kuu ya serikali amesema kuwa anapendekeza kufutwa kwa kodi kwenye kila line ya simu kulinaa na uwezo wa kuweka salio. "Napendekeza Kufuta tozo kwa kila laini ya simu kulingana na uwezo wa kuongeza salio kwa watumiaji ili...
  3. JamiiForums Tanzania Kodi ikatwe kutumia line za simu ili wengi tulipe

    Kama line hizi zote zikikatwa 10% ya matumizi 1. kila mtu atakuwa amepewa haki yake ya kulipa kodi 2. mapato ya serikali yataongezeka kwa gharama ndogo
  4. JamiiForums Tanzania Time line ya ugonjwa wa maburg

    TIME LINE YA UGONJWA WA MARBURG DUNIANI Mwaka Nchi Ugonjwa ulipotokea Ripoti ya idadi ya wagonjwa Idadi ya vifo(%) Kilichotokea 2023 Tanzania Mkoa wa Kagera 8 5(63%) March 21, 2023, Maofisa wa serikali ya Tanzania watangaza mlipuko kwa mara ya kwanza nchini wa ugonjwa wa Marburg.Tukio...
  5. JamiiForums Tanzania TBL aims to reduce the harmful use of alcohol by 10% by 2025, in line with the WHO and UN Sustainable Development Goals.

    Tanzania Breweries Limited the largest alcohol manufacturing company in Tanzania and a subsidiary of AB InBev global, has voluntarily incorporated consumer-guidance labels across all its portfolio of product . These labels will provide advice against drinking while underage, drinking while...
  6. JamiiForums Tanzania Mnaotumia simu ya laini moja na kutembea na ya ziada kwa laini ya pili huwa hamuoni unafuu kutumia simu zenye laini 2?

    Kibongo bongo hapa wengi wetu huwa tuna laini mbili, hivyo kuwa na simu yenye laini 2 hupunguza mzigo wa kubeba simu ya ziada. Binafsi kigezo cha kwanza kabisa kwenye kununua simu yangu huwa inabdi ijitosheleze kwenye suala la kuwa na laini mbili. Simu zenye laini mbili si kama wengi...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi hana "chawa" wa kuwajibu ACT Wazalendo? Kama Rais alitakiwa kuwa last line of defence! Na wapinzani kazi yao kusutana

    Namshauri Mwinyi awatumie mawaziri wa kisekta kuwajibu ACT, yeye awe mtu wa mwisho in case wana-fail. Kama ikashindikana, atumie chama, kwa kuwa wanaompa changamoto, wanampa kwa kofia ya Siasa, wanaotumia kofia ya Siasa, wajibu kisiasa, ukiwajibu kitaalamu, ujumbe huwa haupenyi sawasawa. Na...
  8. JamiiForums Tanzania Unazungumziaje hali ya Utapeli unaofanyika kwa njia ya Simu baada ya kuzimwa kwa laini zisizohakikiwa?

    Kwa mujibu wa ripoti ya TCRA ya robo ya nne ya mwaka, hadi Desemba 2022 mitandao ya simu nchini ilikuwa imesajili jumla ya laini milioni 60.277. Laini hizo ni sawa na ongezeko la asilimia 4 ikilinganishwa na zile milioni 58.1 waliokuwapo mwisho war obo ya tatu ya mwaka 2022 yaani Septemba...
  9. JamiiForums Tanzania Mrejesho wa Vodacom wamefungia line yangu yenye milioni 10 M pesa

    Wakuu habari, juzi nilileta uzi kuhusu line yangu kufungiwa Kabla ya yote kwanza niwajibu waliokuwa wakilaumu au kushangaa mtu kuweka milioni 10 kwenye M pesa wakisema benki ndio salama Benki unaweza kuweka na hela zako zikipotea vilevile, kama mnakumbuka kuna benki kama 3 zilifungwa kipindi...
  10. JamiiForums Tanzania Vodacom wamefungia line yangu ikiwa na milioni 10 kwenye M-PESA

    Wakuu kwema? Line yangu ya Vodacom inasoma mtandao vizuri lakini haifai kupiga namba yoyote, iwe ya kawaida au Mpesa au kununua vifurushi Nilipoenda kwenye Vodashop nikidhani kuwa nilifungiwa sababu sikuhakiki namba vizuri Lakini Vodashop walipoicheki wakasema niliihakiki vizuri na imetokea...
  11. JamiiForums Tanzania TCRA wamepeleka wapi pesa zilizokuwa kwenye line zilizofungwa?

    Juzi nimesoma tangazo kuwa TCRA wamezima/wamefunga line laki Tisa (kama sikosei). Najiuliza TU, hizo pesa kwenye hizo line huwa zinapelekwa wapi? Wahusika wanazipateje? Tuelimishane tafadhali
  12. JamiiForums Tanzania Tahadhari: Baada ya line kuzimwa leo utapeli huu utashamiri kwa kasi ya ajabu

    Moja kwa moja.. Nimeona tangazo kutoka serikali kuwa leo tarehe 13 line zote zisizo hakikiwa zinaenda kuzimwa. Kwa utafiti wangu mfupi nilioufanya unaonyesha Watanzania wengi hawana uelewa wa kutosha kuhusu zoezi ili kuanzia madhumuni yake ,jinsi ya kuhakiki nk.. UTAPELI UTAKUJA KIVIPI ? Kuna...
  13. JamiiForums Tanzania Naomba msaada kufungua line ya Vodacom upande wa calls na sms

    Habari wadau Nilikua najaribu kuminya codes tofauti kwenye simu yangu, Sasa sijajua nimeilock kwa codes zip? Laini ninayo tumia ni Vodacom , naomba msaada wa codes za kui activate, Natanguliza shukrani zangu
  14. JamiiForums Tanzania Kuweza kutumia line moja ya wakala kwenye simu zaidi ya moja

    Habari za muda huu wadau, kama kichwa kinavyojieleza, nataka kujua iwapo kama kuna namna ya kutumia akaunti moja ya uwakala wa simu mf. Tigo Pesa, M pesa, Airtel Money n.k na kuweza kutumia kwenye simu zaidi ya moja. Kwa sasa ninavyoelewa kwenye upande uwakala lazima line iwe imechomekwa...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Wale mliofungiwa NIDA zenu (Blacklist) na TCRA kusajili line mpya njooni hapa mtoe shuhuda zenu na jinsi mlivyopata solution

    Mimi ni kiongozi wa timu za usajili wa line mpya. Hivi karibuni kumetokea wimbi la wateja wengi wanaotaka kusajili line mpya na vitambulisho havijajaa lakini wanaambiwa (nin blacklisted). Je wewe ni mmoja wao? Na je ulitumia njia gani kuondoa tatizo hilo? Karibu utuelezee ili na wengine wenye...
  16. JamiiForums Tanzania Green Card Makulilo Lottery

    Vijana changamkieni fursa adhimu ya kwenda na Kuishi Marekani. Full Raha kule hakuna mateso kama Nangurukuru
  17. JamiiForums Tanzania TCRA: Usikubali kuingiza Alama za Vidole mara mbili wakati wa kusajili Line

    MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imeeleza wahalifu wa mitandao ya simu maarufu kama 'Tuma kwa namba hii' wanavyosajili laini kinyemela kwa kutumia vitambulisho na alama za vidole vya watu, bila wahusika kugundua. Imesema uhalifu huo hufanywa na mawakala wanaosajili laini za simu mteja...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ikulu hawapokei simu zinazopigwa kwenye line walizotuwekea?

    Kwenye tovuti ya Ikulu zimewekwa namba za simu unazoweza kutumia kuwapigia simu. Ukipiga kupitia namba hizo simu inaita pasipo kupokelewa, tatizo ni nini? Simu zinapokelewa Ikulu ya Marekani, hata taasisi kongwe na tajiri kuliko taasisi nyingine yoyote duniani, wenye makao yao makuu Vatican...
  19. JamiiForums Tanzania Nani anasajili na kufunga hizi Line za Matapeli?

    Nikaamua nizipigie niwaambie nimeshatuma nisikie watasemaje. Kupiga namba zote hazipo. Namba hazipo zinatumaje message? Zinapata wapi Salio? CC: Airtel, TCRA na wengineo.
  20. JamiiForums Tanzania DOKEZO Waziri Makamba fuatilia kwa makini miradi mingi ya REA wakandarasi wanatumia waya za 25mm badala ya 50mm kwenye service line

    Mh Makamba sijawahi kuona wafanyakazi wako wazembe mkiwawajibisha kwenye ziara zako zakusikiliza kero za wananchi nafikiri ndio sababu wakandarasi wakishirikiana na wakaguzi Kabla ya miradi ya REA kukabidhiwa kwa TANESCO wanaendelea kupiga pesa. Mh makamba huwa nafuatilia sana makala zenu za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…