lindi

Lindi is a coastal town located at the far end of Lindi Bay, on the Indian Ocean in southeastern Tanzania. The town is 450 kilometers south of Dar es Salaam and 105 kilometers north of Mtwara, the southernmost coastal town in Tanzania, and gives its name to the surrounding Lindi Region, one of the most sparsely populated areas of the country. The town population was 78,841 as of the 2012 national census.

View More On Wikipedia.org
  1. Donnie Charlie

    JamiiForums Tanzania Lindi: Wanachama watano wa CUF wadaiwa kutekwa na watu wenye silaha usiku wa manane

    Lindi. Watu watano wakazi wa Kijiji cha Rutamba Halmashauri ya Mtama wanadaiwa kuwa ni wanachama wa Chama cha Wananchi (CUF), wamepotea tangu Oktoba 30, 2021. Katibu wa CUF Wilaya ya Lindi, Shadhil Bosha amesema kuwa watu hao waliopotea ni wanachama wa chama hicho akidai kuwa walichukuliwa na...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Wamachinga ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Lindi, wilaya za Kilwa na Lindi

    Wamachinga, Wamachinga ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Lindi, wilaya za Kilwa na Lindi. Lugha yao ni Kimachinga. Inasadikiwa asili ya kabila hili ni kandokando ya ziwa Mkoe, hasa mto Mbwemkuru unapoingia baharini. Wamachinga katika biashara. Kwa kipindi cha karne ya 20...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kizuwizi cha askari wa Lindi, ni moja ya vizuwizi maharamia na magaidi wanakichukia sana

    Nimesikia tukio la dereva kutaka kuwaua Askari ila wakamuwahi, jambo hili sijalishangaa kwangu naona kuwa ni jambo sasa Serikali kuweka vifaa maalumu pale kwenye kizuwizi kuwasaidia hawa Askari. Kiufupi ukiwa kusini ukimuuliza dereva au mtu anaye ijua hiyo barabara atakwambia askari wapale...
  4. La Quica

    JamiiForums Tanzania Dereva wa Dangote auawa na Polisi Lindi

    Dereva wa gari la Dangote Ibrahim Said ameuawa na polisi baada ya kutaka kumnyang'anya askari bunduki. Kamanda wa polisi mkoa wa Lindi Mtatiro Kitinkwi anasema dereva huyo alifika eneo la kizuizi cha polisi akiwa kwenye mwendo mkali na hakusimama na alilenga walipokuwa wamekaa askari na askari...
  5. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Lindi: Wakulima wa korosho wagoma kuuza bei ya hasara, Mkuu wa mkoa wasaidie Hawa wakulima

    LEOO NIMEANGALIA WAKULIMA WANAVYOLIA LINDI KUSA M ADA KUJA NA BEI ZA HASARA KABISA KAKUMBUKA .MENGI SANA WANANCHI WA LINDI MMENUFURAHISHA SANA WALIPOFIKA MNADAN WAKAKUTA BEI ZA AJABU WALICHO FANYA N KUGOMA NA KUAIRISHA . MNADA DC NA MKUU WA MKOA NAJUA UNALIJUA HILI NAMANI KUONA UKITOA NENO...
  6. J

    JamiiForums Tanzania TBS yatoa mafunzo kwa wajasiriamali wa bidhaa za korosho (wasindikaji na wafungashaji) - Mkoani Lindi

    TBS YATOA MAFUNZO KWA WAJASIRIAMALI WA BIDHAA ZA KOROSHO (WASINDIKAJI NA WAFUNGASHAJI) - MKOANI LINDI Na Mwandishi wetu Mkoani Lindi; Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwa kushirikiana na Taasisi zingine za serikali leo Tarehe 13 Septemba, 2021 wanatoa mafunzo kwa Wajasiriamali wapatao 40 ni...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Lindi: Wajasiriamali mkoani wapata mwamko wa kuthibitisha ubora wa bidhaa zao TBS

    WAFANYABIASHARA NA WAJASIRIAMALI MKOANI LINDI WAPATA MWAMKO WA KUTHIBITISHA UBORA WA BIDHAA ZAO MARA BAADA YA KUPATA ELIMU KUTOKA SHIRIKA LA VIWANGO TANZANIA (TBS) Na Mwandishi Wetu, Lindi WAFANYABIASHARA na wajasiriamali mkoani Lindi wamepata mwamko wa kuthibitisha ubora wa bidhaa zao pamoja...
  8. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kuna tatizo mahali kwenye nafasi ya uongozi nchi hii. Je, kafara la Lindi linahusika?

    Hakuna taifa lolote duniani lililosimama imara bila nguvu za mkuu wa anga! Kuanzia matambiko mpaka makafara na vyama vya kishetani. Hivi vyote vimejenga madhabahu zao kwenye kila ardhi ya kila taifa. Wananchi wake wana dini na imani zao lakini mataifa yamesimikwa kwenye hizi madhabahu viapo na...
  9. Behaviourist

    JamiiForums Tanzania Ruangwa, Lindi: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa awataka wananchi kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya COVID-19

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye kijiji cha Nandagala wilayani Ruangwa, Mkoa wa Lindi, leo Jumanne. Amewasisitiza waendelee kuchukua tahadhari na kujikinga na corona. Source : Mwanahalisi twitter ====== My take Imagine waziri mkuu wa nchi anakusanya watu...
  10. Hamayser hamisi

    JamiiForums Tanzania Fursa kubwa inayopatikana kata ya Kiranjeranje Wilaya ya Kilwa Mkoani Lindi

    Habarini watanzania,. Kata ya KIRANJERANJE inapatika wilayani KILWA mkoani LINDI kata hii ina vijiji sita ambayo ni KIRANJERANJE ambayo ndo makao makuu ya kata, MTANDI, MBWEMKURU, MIRUMBA, KISWEHELE na MAKANGAGA. Katika kata hii kwenye vijiji vyake sita kijiji chake...
  11. emmarki

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu kilimo cha mbogamboga mkoa wa Lindi

    Habari, Naomba kufahamu kwa wazoefu wa mkoa wa lindi, ni wilaya gani ina maji ya kumwagilia. Na kilimo cha mbogamboga huko kinafaa kufanyika. Ufugaji, ni wanyama gani wa kufugwa na ndege wenye soko zuri. Naomba maelekezo kabla sijaenda huko kikazi
  12. yongpal

    JamiiForums Tanzania Mashamba ya korosho mkoa wa Lindi

    Habarini za leo wana Jamii Forums Nilikuwa napenda kuuliza mashamba ya korosho kwa mkoa wa Lindi upatikanaji wake umekaaje na vipi gharama za kununua eneo la hekari moja. Msaada tafadhali kwa mwenye ufahamu juu ya hili.
  13. Peter Madukwa

    JamiiForums Tanzania Group la WhatsApp latumika kuchangisha mifuko 300 ya saruji ya ujenzi wa Shule mpya ya Sekondari ya Nachingwea Boys

    Baadhi ya wananchi wa Nachingwea ambao wapo ktk kundi sogozi la WhatsApp la NACHINGWEA YETU, wamekabidhi mifuko 300 ya saruji kuunga mkono ujenzi wa mradi mpya wa Nachingwea boys high school inayojengwa kwa kutumia mapato ya ndani ya halmashauri ya wilaya ya Nachingwea iliyopo mkoa wa Lindi...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Lindi: TAKUKURU yawafikisha Mahakamani Wafanyabiashara wa Nachingwea kwa Kuuza Viuatilifu visivyosajiliwa

    Mkuu wa TAKUKURU (M) LINDI Mhandisi Abnery J. Mganga akitoa taarifa kwa umma kuhusu kuwafikisha mahakamani wafanyabiashara watatu (3) ambao ni: 1. Bw. Abdallah Said Luyaya, Mfanyabiashara na mmiliki wa duka la pembejeo liitwalo LUYAYA KILIMO KWANZA lililopo Wilaya ya Nachingwea 2. Bw. Ismail...
  15. Dr Rutagwerera Sr

    JamiiForums Tanzania Anahitajika mdada wa kazi Ruangwa, Lindi

    Habarini. Kama kuna yoyote ana mdada wa kazi anayemjua anatafuta kazi anicheki PM. Anahitajika kwenda kufanya kazi Ruangwa, Lindi. Muhitaji ni mwanamama mtu mzima mtumishi wa serikalini. Hana mtoto wala familia. Watakua ni wao pekee wawili.
  16. Etwege

    JamiiForums Tanzania Prof. Adolf Mkenda amsimamisha kazi kaimu mrajisi wa ushirika Lindi kwa kukilazimisha Chama cha Ushirika wa Mazao (AMCOS) kukodi ghala

    Waziri wa kilimo prof Adolf Mkenda amekuwa mbogo baada ya kuzungushwa na mrajisi wa ushirika mkoa wa Mtwara na kuamua asimamishwe kazi mara moja na amemtaka katibu mkuu apeleke mrajisi mwingine mkoa wa Mtwara. Pia waziri wa Mkenda amempa onyo kali mrajisi wa ushirika mkoa wa Kilimanjaro (KCU)...
  17. Q

    JamiiForums Tanzania Lindi: Watu wasiojulikana wamechoma moto nyumba ya Msimamizi wa Uchaguzi na nyumba ya Mbunge

    Vitendo hivi vinazidi kushamiri nchini, watu wasiojulikana wamechoma moto nyumba ya Mwenyekiti wa Kijiji wamechoma moto magari na nyumba ya Msimamizi wa uchaguzi vile vile wamechoma moto magari na nyumba ya Mbunge. PIA SOMA - Uelewa wangu juu ya kundi la watu wasiojulikana ~ Matukio ya Watu...
  18. Shindu Namwaka

    JamiiForums Tanzania Wakulima wa ufuta Lindi na Mtwara waililia serikali kushuka kwa bei ya ufuta

    Anaandika Mwl Razaq Mtele Malilo. Katika misimu miwili iliyopita zao la ufuta lilinunuliwa kuanzia Tsh 2500 hadi Tsh 3000 hali iliyopelekea watu wengi kuhamasika kulima zao hili kwa wingi na vijana wengi walihamasika kurudi mjini hasa jiji la Dar Es Salaam baada ya kuvutiwa na ongezeko hilo la...
Back
Top Bottom