lindi

Lindi is a coastal town located at the far end of Lindi Bay, on the Indian Ocean in southeastern Tanzania. The town is 450 kilometers south of Dar es Salaam and 105 kilometers north of Mtwara, the southernmost coastal town in Tanzania, and gives its name to the surrounding Lindi Region, one of the most sparsely populated areas of the country. The town population was 78,841 as of the 2012 national census.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Lindi: Wananchi waua majambazi waliopora 1.2

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi, Mtatiro Kitinkwi Majambazi wawili ambao majina yao hayajafahamika wameuawa na wananchi wilayani Kilwa Mkoani Lindi, baada ya kuvamia duka la mfanyabiashara mmoja na kupora fedha taslimu kiasi cha shilingi milioni 1.2. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi, Mtatiro...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Lindi: TAKUKURU yabaini kasoro miradi ya Tsh 928,340,557

    LINDI: TAKUKURU YABAINI KASORO MIRADI YA TSH 928,340,557 Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Lindi imebaini kasoro katika miradi miwili yenye thamani ya shilingi 928,340,557 wakati wa mchakato wa kufuatilia miradi mkoani hapo kwa kipindi cha Januari hadi Machi 2022. Mkuu...
  3. Ahmed Saidi

    JamiiForums Tanzania Untold treasures: Mkoa wa Lindi na vivutio vya utalii.

    Habari za muda huu wapendwa, natumai Kila mtu ni mzima. Acha leo niwaonyeshe uzuri wa mkoa wa Lindi, mkoa uliopo kusini mwa Tanzania. Watu wengi hasa kutoka kasikazini, magharibi au hata Kanda ya kati wanaweza wasiufahamu vizuri mkoa huu. Si ajabu mtu akakuambia hajui kama Lindi ni mkoa. Baadhi...
  4. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Sheikh Yusuf Badi hakupenda kupigwa picha na hadi leo sijapata picha yake

    MTAA WA SHEIKH YUSUF BADI LINDI Sheikh Yusuf Badi hakupenda kupigwa picha na hadi leo sijapata picha yake. Sheikh Mohamed Yusuf Badi ni sheikh pekee katika masheikh waliopigania uhuru wa Tanganyika ambae amepewa mtaa. Wanafunzi wake wawili Salum Mpunga na Yusuf Chembera ndiyo waasisi wa TANU...
  5. Political Jurist

    JamiiForums Tanzania Lindi: Zaidi ya wananchi 22,000 wa Nyangao, Mtama kupata maji safi na salama

    ZAIDI YA WANANCHI 22,000 WA NYANGAO - MTAMA KUPATA MAJI SAFI NA SALAMA Mbunge wa Jimbo la Mtama na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye ameshuhudia utiaji saini wa mkataba baina ya Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) wa Mkoa wa Lindi na...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Nanjumba, Lindi: Shule shikizi yakosa Mwalimu tangu mwaka 2021, Wanafunzi wa chekechea hadi darasa la pili wakosa Masomo

    Wakazi wa kitongoji cha Nanjumba kata ya Likawage wilayani Kilwa mkoani Lindi walipokuwa wanazungumza na Mashujaa FM wamesema wanakabiliwa na changamoto ya kukosekana kwa mwalimu katika shule shikizi iliyopo kijijini hapo tangu mwaka 2021 hali inayopelekea wanafunzi wa chekechea hadi darasa la...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Lindi: RC Zainabu Telack ameagiza kuteketezwa kwa tani 24 za Korosho zilizopo Mtama

    Mkuu wa mkoa wa Lindi Zainabu Telack akiwa kwenye kikao cha utekelezaji wa mpango wa kuboresha usimamizi wa huduma za ugani kwa wakulima wa korosho katika mikoa ya Lindi, Mtwara, Ruvuma na Pwani, ameagiza kuteketezwa kwa korosho tani 24 zilizopo ghala kuu la Mtama, lililopo halmashauri ya Mtama...
  8. BigTall

    JamiiForums Tanzania Kuna hii taarifa ya mgomo wa mabasi Mtwara – Masasi, Mtwara – Lindi

    Madereva wa magari yanayofanya safari Kati ya Mtwara na Masasi na Mtwara Lindi wamegoma kufanya kazi kutokea stendi kuu ya mkoani Mtwara kwa madai ya kutoridhika na nauli ya sasa na kutaka ongezeko la nauli. Kwa sasa nauli ya Mtwara Masasi ni 7,500 na wanataka ifike 10,000. Na Mtwara Lindi...
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Lindi: Mama amnywesha mwanaye wa mwaka mmoja sumu kwa kushindwa kukaa naye

    WATOTO wawili mkoani Lindi wamefariki dunia katika matukio tofauti, likiwamo la mama mzazi kudaiwa kumnywesha sumu ya kuua magugu kutokana na kinachodaiwa kuchukizwa na kitendo cha mkwe wake kukataa kumchukua mjukuu wake huyo. Kwa mujibu wa taarifa kutoka wilayani Nachingwe na Ruangwa...
  10. Malaika Mkuu

    JamiiForums Tanzania Kiwanda kikubwa cha kuchakata gesi asilia kujengwa Lindi

    Kampuni kubwa ya Nishati duniani, Shell, imeeleza kuwa imepiga hatua kubwa katika miezi ya karibuni kwenye majadiliano yake na serikali ya Tanzania kufanikisha ujenzi wa kiwanda kikubwa cha kuchakata gesi asilia (LNG) mkoani Lindi. Hizo ni habari njema kwa Tanzania ambayo licha ya utajiri...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Lindi: Wanachama wanne wa CHADEMA watupwa jela miaka 8

    MAHAKAMA ya Mkoa wa Lindi, imewahukumu wanachama wanne kati ya sita wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutumikia kifungo cha miaka nane kila mmoja, baada ya kupatikana na hatia ya makosa mbalimbali yakiwamo kuharibu mali zenye thamani ya Sh. milioni 22.2. Hukumu hiyo ilitolewa na...
  12. MnolelaKorosho

    JamiiForums Tanzania Shamba la mikorosho ya kisasa inayozaa linauzwa Lindi

    SHAMBA LENYE MIKOROSHO YA KISASA INAYOZAA VIZURI LINAUZWA. ENEO SHAMBA LILIP0: Mkoa wa Lindi, kilomita 4 kutoka barabara kuu ya lami inayoenda Mtwara. UKUBWA WA SHAMBA: Ekari 30 IDADI YA MITI KWA EKARI: Miti ya mikorosho 25 mpaka 30 kwa Ekari moja. STATUS YA MAVUNO: Mikorosho yote inazaa...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa R.E.O wa Lindi

    We kiongozi unaweza! Hilo ndo pekee lililopo la kusema kuhusu wewe!!! Naomba nijaribu kushauri yafuatayo; 1. Sherehe za utoaji wa zawadi mwaka huu (kama zipo) hazitokuwa za haki kama walimu walioingiza masoko yao katika kumi bora ya ufaulu (kidato cha nne) ya mkoa hawatozawadiwa......hata...
  14. figganigga

    JamiiForums Tanzania Lindi: Ally Chinga mkazi wa kata ya Msinjaili, amefungiwa ndani na kupuliziwa dawa ya Mbu kwa tuhuma za Wizi

    Kijana mmoja aliefahamika kwa jina la Ally Chinga mkazi wa kata ya Msinjaili manispaa ya Lindi amefungiwa ndani na kupuliziwa dawa ya Mbu baada ya kupigwa na mtu aliyemtuhumu kuiba betri ya gari leo Disemba 28, 2021. Imeelezwa kuwa, Mtuhumiwa huyo ambaye ni kondakta, alipewa gari hiyo kwenda...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Lindi: Selemani Matola (53), ahukumiwa kifungo cha maisha kwa kumnajisi Mjukuu wake

    Mahakama ya hakimu mkazi wilaya Lindi imemuhukumu Selemani Matola (53) mkazi wa Halmashauri ya Mtama kifungo cha maisha gerezani baada ya kukutwa na hatia ya Kumnajisi mjukuu wake mwenye umri wa miaka 8 Inadaiwa kuwa mshatakiwa huyo alifanya tukio hilo Disemba 17,2021 usiku wakati mkwewe...
  16. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania 1959 ufunguzi wa Lindi Secondary School iliyofunguliwa na Gavana Richard Turnbull

  17. B

    JamiiForums Tanzania Wananchi Lindi wacharuka wadai haki kwa Vitendo

    Hii clip inajieleza: Wananchi hawa wa kata ya Mandawa wilaya ya Kilwa mkoani Lindi wameona wala isiwe taabu. Wamejielekeza vilivyo kwenye mada. Vinginevyo chukueni vyenu wala tusijuane! Haki ni zetu sisi. Heshimuni matakwa ya watu.
  18. X

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi kwenye mashirika mbalimbali Tanzania

    JOBS VACANCY Clinical Assistant at Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS) Advisor – ART Retention and Community Based Health Service Delivery (6 Posts) at MDH DECEMBER 2021 Advisor – HTS & HIV Prevention Service Delivery (6 Posts) at MDH DECEMBER 2021 Advisor –...
  19. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Lindi: Askari afutwa kazi na Jeshi la Polisi kwa kumpiga risasi mwenzake wakiwa lindo

    Jeshi la Polisi mkoani Lindi, limemfuta kazi askari No.H.2324 PC Joseph kwa kosa la kumpiga risasi askari mwenzake No J.1752 PC Onesmo Joseph wakiwa lindo katika Benki ya CRDB Tawi la Ruangwa kilichosababisha kifo chake akiwa njiani kupelekwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Kauli hiyo...
  20. 2

    JamiiForums Tanzania Mwenye kujua ajira za LNG Plant mkoa wa Lindi zinapatikana lini anijuze

    Habarini za asubuhi naombeni kujua huu mradi wa ela nyingi nimesikia umeanzishwa uko LINDI na nadhani utahitaji watu mbalimbali. Naomba kujua nafasi za kazi zinapatikana vipi uko, maana mimi nipo mbali kidogo nipo mkoani KIGOMA huku nilitaka kujua ili nijue naanzia wapi kutafuta kazi huko...
Back
Top Bottom