Kuhonga ni lazima ila Kuna kanuni zake. Zijue kanuni za kuhonga.

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,115
27,103
Kanuni kuu ya kuhonga inasema hivi:

" MWANAMKE SIKUPI HELA KWA SABABU NINATAKA UNIPENDE ILA NINAKUPA HELA KWA SABABU

1. NINA KUPENDA

2. NINAJIPENDA.

Kama una mpa Pesa mwanamke ili akupende basi jua kwa hakika kwamba wewe ni mpumbavu Kwa Sababu ni mwanaume mpumbavu peke yake ndio ana amini kwamba Pesa inaweza kununua upendo.

Am not a fool I know money can't buy me love.

Money can bring a lot of beautiful women in ur bed but it cannot bring you love.

Kama unampa mwanamke Pesa ili akupende u will be dis appointed.

So mwanaume ambae anatembea ndani ya kanuni katika kuhonga ni yule anaye muhonga mwanamke Kwa Sababu anampenda.

Mwanamke NINAKUPA Pesa Kwa Sababu nakupenda.

i. Najua una mahitaji yako muhimu ambayo yanahitaji pesa .

ii. Nazithamini hisia zako nataka ujione mwanamke ulie kamilika. Wanawake huwa mnaambiana " Mwanaume akikupenda kutoka moyoni mwake atafanya afanyalo akuhudumie hata kama Hana Kazi. Ataiba atadhulumu ata fanya chochote kile ili wewe mwanamke ufurahie ( MWANAUME UMIA MALAYA ASHIBE)

Kama sikupi Pesa nitaziumiza hisia zako za ndani. Nitasababisha ufikiri ama sikupendi ama wewe si mwanamke kamili.

Kwa Sababu sitaki ujione hivyo basi nitakuwa Nina kupa Pesa Kwa Sababu nina zithamini hisia zako.

Ninakuhonga Kwa Sababu ninajipenda.

i. Najua nikiwa nakupa Pesa basi nitakuwa na " GUARANTEED PUSSY SECURITY" Kila mara nitakapo kuhitaji utakuwa available.

ii. Utakuwa unajituma vizuri kitandani kunifurahisha ili niendeleee kukuhonga.

iii. Utakuwa msafi ( no michirizi) utapendeza Kwa mavazi mazuri , utanukia Kwa manukato mazuri utanawiri Kwa chakula kizuri na peace of mind and at the end of the day vyote hivi Mimi nitakuwa mnufaika. Nitakufurahia.

iv. Utaonyesha utiifu kwangu

v. U will always be horny for me. ( Kukosa hamu ya tendo la ndoa ni janga kubwa Kwa wanawake wengi. Wanawake homoni zao ni passive wakati Sisi wanaume homoni zetu ni active.

Inaweza kuchukua Muda Na some factors ili kumleta mwanamke kwenye mood ya kufanya sex na wewe.

Kwa mujibu WA tafiti mbalimbali za kitaalamu mja Kati ya factors zinazo weza Ku activate nyege Kwa mwanamke Ni pale mwanamke anapo jua kwamba wewe mwanaume unae taka kufanya sex una hamu ya ukweli ya kufanya nae sex. Na kama.nilivyo sema hapo juu kwamba wanawake Wana ambianaga kwamba mwanaume akiwa anakutaka kimapenzi au kingono anakuwa tayari kufanya chochote ili atimize haja yake kwako.

So kwenye ishu ya sex. Wewe upo Sinza Na yeye yupo Tabata. Umemwambia baby Nina nyege Na wewe. Atakwambia Gari yake haina mafuta, au kama Hana Gari atakwambia anahitaji kupata nauli ya kija sinza plus hajaenda saluni.

Sasa basi ukimtumia elfu 40 ya taxi plus elfu hamsini ya saluni na ya kutolea, katika mind yake utakuwa una prove Kweli wewe upo horny Yani mpaka umetoa laki Moja Kwa ajili ya nauli Na saluni ili aje kusex Na wewe. This one thing will.make her horny Na by the time anafika kwako Tabata chupi yake itakuwa imelowana tayari Na mwisho wa siku wewe uta enjoy sex.

( Mwanamke anaweza kuenjoy Na kuwa satisfied kabisa kwa kuona Tu her sex partner yupo horny au ana enjoy ndio maana mwanamke msagaji anaweza kuenjoy Na kukojoa hata mara Kumi Kwa kumuona mwanamke Mwenzake ( ambae anamsaga ) anaenjoy. WaPo wasagaji wanahonga Hadi mamilioni Kwa Sababu hiyo Tu. This is to prove my point kwamba kumuonyesha Kwa vitendo mwanamke kwamba upo horny is a very big turn on to her)

Last but not least nikiwa nakuhonga mwanamke nitapambana kutafuta Pesa Zaidi ili niendeleee kuwa nazo wakati wote.

Kuna kipindi niliwahi kukaa mwaka mmoja bila kuwa na mwanamke WA kumuhonga , kipato changu kilipungua Sana, but nilivyo rejea kwenye kuhonga kipato changu kikaongezeka cause nilikuwa mbunifu kutafuta Pesa
 
wapitie pia hapa

Mwanzo umeanza vizuri ila ulipoanza kuelezea kanuni ya pili, umerudi kulekule ulikokuita Kwa mwanaume mpumbavu... Maelezo Yako yaneonyesha unampa ela ili kununua pussy, respect and everything... So na wewe ni .....
Kwa Sababu unajipenda wewe sio Kwa Sababu unataka akupende.

Namlisha Kuku mchele anone ili nimle nampenda Kuku au najipenda Mimi?

Nimenunua Shati Zuri ninalipenda shati au ninajipenda Mimi kwamba nikivaa shati Hilo zuri nitapendeza.

Point yangu ni kwamba there is nothing like true love we just love ourselves.

Kwa hiyo wewe unae honga ili upendwe utakuwa dis appointed Kwa Sababu unajaribu kununua kitu ambacho hakipo
 
laiti kama mapenzi yangekuwa kama hivyo unavyosema, Bas baba ako kule kijijini ndani ndani asingepata mke wa kumuoa na ukapatikana wewe..
Ndio kosa tunalo fanya vijana wengi siku hizi we think our wives are our mothers. Hiyo Ilikuwa miaka ya Sabini mkuu. Gone are those days. Siku hizi wanawake wanataka pesa Tu shekhe wangu.
 
Kwa Sababu unajipenda wewe sio Kwa Sababu unataka akupende.

Namlisha Kuku mchele anone ili nimle nampenda Kuku au najipenda Mimi?

Nimenunua Shati Zuri ninalipenda shati au ninajipenda Mimi kwamba nikivaa shati Hilo zuri nitapendeza.

Point yangu ni kwamba there is nothing like true love we just love ourselves.

Kwa hiyo wewe unae honga ili upendwe utakuwa dis appointed Kwa Sababu unajaribu kununua kitu ambacho hakipo
Mi nadhani utakuwa sawa ukisema tu "Nakupa pesa Kwa sababu nakupenda" and unatambua kuwa anamahitaj yake. Ila ukiendelea huko kwingine unaendelea kuwafanya mabinti ni kifaa Cha kukustarehesha.
Na vipi ukimpa 50k kumbe Kuna mwamba anampa 100k, vipi itapata hiyo utii na good sex uloitegemea. Trust me ukihonga ukategemea hayo, hawa viumbe Huwa Wana surprise za kibabe sana. Unaweza honga update respect kumbe akakupa nyodo
 
Mambo yamebadilika sana sku izi huwezi pata binti au mke wa mwenye tabia km za mama zetu Au mama yako na ndo hivyo hivyo kwa wanaume huwezi pata kijana au mwanaume mqenye tabia km ya baba zetu au baba yako

Maisha ya leo watu wengi huoana kwa maslai flan yaweza kua Kaz,kipato, elimu au mapenzi au hadhi ya mtu
 
Ndio kosa tunalo fanya vijana wengi siku hizi we think our wives are our mothers. Hiyo Ilikuwa miaka ya Sabini mkuu. Gone are those days. Siku hizi wanawake wanataka pesa Tu shekhe wangu.
upendo haujawahi kubadilika
hata dunia iame upendo utabak kuwa vile vile, kama mdada anakupenda kwa sababu ya pesa means akupend ww anakupenda pesa zako asa ushawahi jiuliza siku ukiishiwa ataendelea kuwa wako??
baba kama ndo unategemea kuishi na mwanamke kwa akili iyo tegemea kuja kilia tu
 
Ur still a learner
 
Majuzi kuna mchepuko wangu umenichenjia balaa...kama mara mbili hivi tukimaliza kula tunda namtoa kiaina anapoondoka. Sasa majuzi wakat ananiaga tushamaliza game ya siku nzima nikatoa wallet nimtoe akanambia hivi unavyofanyaga hivyo unamaanisha nini? Nikamuuliza kufanyaje,akanambia hivyo unavyotoaga hela kunipa kila tukikulana. Aisee nikaanza kujitetea pale kakawa kamzozo anadai namchukulia kama mlupo,nikamuelewesha bado akakataa kuelewa maana ya kumpa hela baada ya game..ikabidi nianze kumkiss nikajikuta nimemla tena wakati alikua kashavaa asepe. Akanichimba biti kuwa niache hiyo tabia yeye akiwa anahitaji atanambia.
 
Usimuache huyo....1 in a billion
 
hii chai ila imekolea tangawizi, inachacha uwiiiih
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom