lazima

Lazima is a settlement in Kenya's Coast Province.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ukweli lazima usemwe, Tunahitaji Muungano wa Serikali 1 tu

    Kati ya vitu vinavyofanya sisi waafrika tuendelee kuwa maskini ni kutotumia akili zetu vizuri na pia kupenda sana madaraka/ vyeo. Nimefuatilia kwa muda sasa kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na nilichogundua ni kuwa wale wengi wanaotaka Zanzibar iwe na Serikali au Tanganyika iwe na...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa mpira ambao Yanga wamecheza leo, nampongeza sana Nabi, lazima tujue umuhimu wa akiba

    Mpira wa leo ama kwa hakika ulikuwa wa hesabu za kutotumia akiba yote, Nabi alifunga full busta ugenini ili kumaliza kazi mapema na hesabu zake zimemlipa leo. Leo hii Yanga wamecheza mpira wa kupata matokeo ya kuwapeleka tu nusu fainali tena bila kukamia kukwepa majeraha na kuchezesha wachezaji...
  3. JamiiForums Tanzania At the pub, must show you’re VIP (Kwenye baa, lazima ujionyeshe kuwa wewe ni VIP)

    At the pub, must show you’re VIP Kwenye baa na sehemu zingine za starehe Kuna ulazima wowote wa kujionyesha kuwa wewe ni VIP..... pedjeshee...papaa mukulu....Mupe Muruke... Mupe Muruke.... Je, Kuna tija yoyote mtu huipata. karibu tujadili.
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini ni lazima nioe Mwanamke wa Kaskazini?

    Habari za Leo. Kwangu ni lazima kuoa Mwanamke wa Kaskazini au jamii zinazokaribiana Mila, desturi, falsafa na mitizamo kama ya Wanawake WA Kaskazini. Kuoa Mwanamke wa Kaskazini kwangu Sio Optional, bali ni lazima. Hii itabaki kuwa hivyo ilivyo. Sio kila mtu atakayetaka kujua sababu ya Mimi...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa takwimu hizi za sensa ya 2022 maisha lazima kilio cha ugumu wa maisha ni jambo lisilo epukika

    Ukiziangalia takwimu za tume ya takwimu zinatotokana na sensa ya 2022 karibu watanzania 55M ama ni watoto, wako shule, wanatafuta kazi au wamepoteza uwezo wa kufanya kazi wakitegemea nguvu kazi ya 6M. Kwa kuzingatia ufanisi wetu wa uzalishaji uwiano huu matokeo yake ni ugumu wa maisha
  6. JamiiForums Tanzania Dar es Salaam ni lazima wafanyakazi wa ndani (housegirls) watoke mikoani?

    Kila siku wafanyakazi wanatafutwa kutoka mikoa mingine na kwenda Dar Es Salaam. Hilo jiji halina watu wenye wanaoihitaji hizo kazi? Kitakwimu ndio jiji lenye watu wengi nchini? Mbona kila kutwa ninyi ndio wakuletewa wafanya kazi wa ndani na wasaidizi wa kazi kutoka mikoani? Sio kijana wa...
  7. JamiiForums Tanzania From the book 'I am the State' (Mimi ni Dola)

    Yaliyojificha uwekezaji wa Hayati Dk Magufuli Chato yawekwa vitabuni Ijumaa, Aprili 14, 2023 Dar es Salaam. Ikiwa ni miaka miwili tangu aliyekuwa Rais wa Tanzania, Dk John Magufuli kupoteza maisha Machi 17, 2021 akiwa madarakani, waandishi wakongwe wanne wamezindua kitabu kinachoonyesha sura...
  8. JamiiForums Tanzania Ukiwa shabiki wa pili lazima ujue vitu hivi vitatu..

    Salaam wasalaam. Ukiwa shabiki wa pili lazima ujue vitu hivi vitatu.. KUSHINDA KUFUNGWA DROO ukishajua hivi kamwe hautaumizwa na matokeo yeyote. Ndo maana mpira nime ufanya ni starehe kama sterehe zingine. Siwezi nikaumia kisa mpira. Siwezi nikagombana kisa mpira. Daima sitauwamini mchezo...
  9. JamiiForums Tanzania Kama huna cha kucomment ni bora upite tu. Kwani umeambiwa ni lazima kutia neno?

    Ifike mahala tujiheshimu kisha tuheshimiane sisi kwa sisi. Mbona tunakuwa na tabia za kimasikini kana kwamba hatumiliki ma Range humu ndani? Unakuta jitu linaingia M.M.U linakutana na nyuzi za kuzagamuana, linaamua kujaa sumu. Kwa hiyo ulitegemea ukutane na uzi wa report ya C.A.G? Shwain. Bila...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ndoa za lazima baada ya ushoga kuruhusiwa

    Ninajaribu kufikiria baada ya serikali za kishetani zikiongozwa na US zitakapofanikiwa kuzifanya nchi zote Duniani kuwatambua wagonjwa wa akili waliobatizwa jina la wapenzi wa jinsia moja,hatua itakayofuata itakuwa ni kulazimisha ndoa za lazima,yaani kila mwanaume let's say mwenye umri wa miaka...
  11. JamiiForums Tanzania Kuokoka ni lazima na kuoa ni lazima

    Kauli mbiu ya Mwaka
  12. T

    JamiiForums Tanzania Nikweli Uchumi wa Dunia umeyumba ila kama Taifa lazima tuzijuwe alama za nyakati na kuchukua hatua!!!

    Nikweli Uchumi wa Dunia umetikiswa na kushuka kutokana na vita vya wenzetu huko ulaya. Lakini Mimi napata tabu kidogo kama mtu ninaye elewa uchumi kama Taifa tunakosea na tunakoelekea uwenda kama Taifa tukajikuta kwenye giza Nene la uchumi kutokana na makosa. This is very simple formula gari...
  13. JamiiForums Tanzania Zelensky akutana na waislamu na kusema lazima Crimea irudi Ukraine

    Kwenye misosi ya futar, amesema kwa vyovyote vile lazima Crimea irudi...... Natumai maustadhi wa humu mtapunguza chuki dhidi ya Ukraine kisa chuki zenu kwa Marekani. The Ukrainian president hosted an Iftar with Muslim officials, including the Crimea's Tatars. Meanwhile, Kyiv said it will resume...
  14. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli ilikuwa Lazima yamkute. Tsh bilioni 8.26 za washtakiwa alibeba Biswalo bila kuwepo na 'Plea bargaining’

    Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere amebaini kuwa aliyekuwa Mkurugenzi wa mashitaka (DPP), Biswalo Mganga na maafisa wake walikiuka taratibu za mchakato wa kisheria wa makubaliano ya kukiri kosa (plea bargaining). CAG amesema mchakato huo ulikuwa na matumizi ya...
  15. JamiiForums Tanzania Hongera Spika Dkt. Tulia Ackson. Kuna haja MaSpika wetu iwe lazima kuwa Wanasheria?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala za Kwa Maslahi ya Taifa, makala ya leo ni kuhusu umuhimu wa viongozi wetu na haswa wakuu wa Mihimili lazima sio tuu wawe wasomi, weledi na wachapakazi, bali lazima wawe Bright, brilliant na wabobezi wa fani husika. Niko mahali...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Kuzaa na mtu hakukupi haki ya kufanya naye ngono kila utakapo!

    Habari zenu wanajukwaa, Kumekuwa na trend ya kudharau sana single mothers wakidai kuwa lazima aliwe na aliyemzalisha. Hii ni dhana potofu na nafikiri inatengenezwa na hawa waliozaa na wanawake hawa. Mimi ni single mother niliolewa kabisa tukashindwana tukaachana na mwenzangu kashaoa na ana...
  17. JamiiForums Tanzania Msimu wa Mateso kwa Watumishi: Halmashauri zimeanza kuwatishia Walimu na watumishi wengine kutoa mchango wa Mwenge, 2023

    Yaani kuwa mtumishi Halmashauri ni kama laana, kimshahara chenyewe cha mtumishi ni kidogo, alipe Kodi ya nyumba. Bado Serikali inashirikiana na vyama vya Wafanyakazi kukata pesa za mishahara ya Watumishi bila msaada, then kwenye kimshahara hicho hicho bado unatishiwa na kulazimisha kuchangia...
  18. JamiiForums Tanzania Kadiria Kodi kabla ya 31-March, epuka penati isiyo ya lazima ya Biashara au Kampuni yako

    Habari, Mtanzania mwana JF, Makadiro ya Kodi ni Kwa kila mlipa kodi. Huwa yanafanyika muda wowote kuanzia tarehe 1,January hadi tarehe 31,March kila mwaka Kwa Yeyote atakae chelewa kufanya makadirio, kwa sasa, siku moja baada ya tarehe 31, March kunachaji(penati) ya Tsh 225,000 kwa KILA mwezi...
  19. JamiiForums Tanzania Mifuko ya Hifadhi iwe hiari na sio lazima

    Hii mifuko yote iwe ya hiari tu na sio lazima sababu wote ni wezi; kujiunga ni rahisi lakini kutaka pesa zako ni mlolongo mrefu kama nini! Mimi nilikuwa PSPF kabla haijajiita PSSSF, tukaambiwa sisi private twende NSSF, sasa nikasema hela yangu vipi inaenda kule au mnanipa? Hawataki eti mpaka...
  20. JamiiForums Tanzania Mikutano ya kumpongeza Rais imegeuka kero! Sio lazima kila mkoa uandae mkutano wa pongezi, huo ni upigaji

    Inashangaza sana nchi za kiafrika Bado tunaishi Karne ya kwanza! Rais kutimiza mwaka Mmoja madarakani sio hoja ya kufuja pesa za walipa Kodi kwa kuandaa Mikutano Kila mkoa na kukodi wasanii kwa mamilioni ya pesa ili kupongeza kutimiza miaka miwili. Ziko njia nyingi zinazoweza kutumika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…