lazima

Lazima is a settlement in Kenya's Coast Province.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania "Si useme huna nguvu za kiume, huna lolote!" Sawa sina, kwani lazima kuwa nazo?

    Mdada ametuma text ananiuliza nipo wapi, nikamwambia nimetoka kazini mchana leo naelekea home. Akaniambia ana hamu na hii hali ya hewa tukanyanduane. Nikamwambia basi akachukue room nimfuate. Anang'aka kuwa "Nitaendaje mimi kuchukua room? Nenda kachukue uniite nije kukupa nyapu." Nikamwambia...
  2. JamiiForums Tanzania Watanzania tujifunze kukubali kuna vitu hatuwezi, tunaposhindwa tukubali kusaidiwa au tukomae? Baada ya Bandari ni ATCL na SGR au Tusubirie?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa. Hii ndio makala ya leo swali la wito kwa Watanzania wenzangu, jee jjifunze kujikubali kuwa hatuwezi kila kitu!, hakuna nchi yoyote duniani wanaweza kila kitu wao wenyewe!. Kuna vitu sisi Watanzania...
  3. JamiiForums Tanzania Kwenye mahusiano lazima uwe na msimamo ili usiumizwe kihisia

    Nashangaa sana kijana au binti anapelekeshwa na mapenzi kama gari bovu, lazima uwe na msimamo. Unapenda sawa lakini usikubali akili zote ukahamishia kwa mtu. Unamtongoza mtu akisema hapana au subiri nitakupa jibu unamchana kabisa kuwa basi nimeghairi. Mtu anayekupenda tangu kitambo hana muda wa...
  4. JamiiForums Tanzania Mwanamke huyu hata awe na msimamo namna gani, ipo siku lazima tu atachepuka

    1. Mwanamke mwenye mume mchepukaji. Kesi za uchepukaji za mume za mara kwa mara humtengua mke kwenye msimamo wake wa kulinda heshima ya ndoa yake. 2. Mwanamke asiyepata mtoto katika ndoa yake. Miaka kadhaa kwenye ndoa hapatikani mtoto. Mwanamke huanza kutafuta namna ya kumpata mtoto nje ya...
  5. JamiiForums Tanzania Musukuma: Mtakufa vibaya, lazima niwaroge

    Mbunge Geita, Joseph Musukuma amelilalamikia Jeshi Usu kupiga watu na kufanya ubakaji. Musukuma amesema kuna makosa yamefanyika katika kulitengeneza Jeshi Usu. Musukuma pia ameongelea Maliasili kukamata ng'ombe za wafugaji akidai anashangazwa baada ya minada kufanyika wahusika nao wanaanza...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Likizo kwa wanafunzi iwe ni lazima

    Kipindi cha likizo ni lazima mwanafunz aende likizo. akae mbali na darasa na akae karibu na nyumbani. Akae mbali na waalimu, na karibu na wazazi au walezi. Kutaka kuwapa masomo ya zaidi. Ni Tamaa ya fedha au kiashirio Cha uzembe wa walimu: Uzembe kwa maana ya kushindwa kukutumia muda wa...
  7. JamiiForums Tanzania Mahari sio lazima, ni mila potofu ya kupingwa

    MAHARI SIO LAZIMA, NI MILA POTOFU YA KUPIGWA VITA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Moja ya Mila potofu isiyo na maana ni suala la Mahari. Hakuna sababu hata Moja yenye Maana ya MTU kutoa Mahari ndipo akabidhiwe MKE au Mume. Ni ujinga tuu! Na jamii ambayo sio za kiungwana ndio hufanya desturi...
  8. JamiiForums Tanzania Tutake tusitake siasa za nchi hii ni majitaka na za kiyawani! Katiba mpya ni lazima

    Siasa za nchi hii zimekuwa za kijinga sana aisee mbaya zaidi hata wananchi wenyewe wamekuwa kama mbwa koko hawawezi kuuma yaani wapowapo yaani hawana hili wala lile kila uchwao kulalamika tu bila action yoyote yaani wamekuwa wajinga tu yaani wao ni kulalamika tu! Huu ujinga wa kulalamika...
  9. JamiiForums Tanzania Mechi ya marudiano mpaka sasa inaendelea. Mshindi lazima apatikane

  10. JamiiForums Tanzania Kuwa mwanaume wa Dar lazima uwe na pesa

    Hellow africa Acheni sifa ambazo wengi mnazibeza kuhusu wanaume wa dar japo nyingi ni za uongo msingekuwa mnatoka mkoani kuja kufwata penzi dar Il uwe mwanaume wa dar must having money Sifa za mwanaume wa dar Kwaza tupo smart kuliko kawaida na wasafi sana yaani tunapiga pamba kali af kwa bei...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi ni lazima kutoa Z report kila siku hata kama hujauza kitu?

    Habari za leo wakuu, Kwa wafanyabiashara wanaotumia efd machine kuna ulazima wa kutoa Z report kila siku hata kama hujauza kitu kwa siku husika?
  12. JamiiForums Tanzania Tubadilike siyo lazima Nahodha wa timu awe Mzawa

    Kumekuwa na huu utaratibu wa muda mrefu wa timu za Simba na Yanga kuhakikisha nahodha na wakati mwingine nahodha msaidizi ni Watanzania. Sijajuaga dhana hii ilijengwa kwa sababu gani ila naona ilishapitwa na wakati. Kuna vigezo inabidi tuvizingatie katika kuchagua nahodha wa timu, kikubwa...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Kwani mkiachana lazima muwe maadui?

    Muigizaji Vin Diesel aliachana na mpenzi wake wa miaka mitatu, lakini walipoachana, hakumtoa nje ya nyumba yake, aliogopa kwamba angeishi maisha ya chini, hivyo alimuachia nyumba yao na yeye akaenda kupanga nyumba nyingine. Sio hivyo tu, aliendelea kulipia bili zote kwaajili yake na binti yao na...
  14. JamiiForums Tanzania Walimu eti net pay ya tgts g ni ngapi baada ya makato yote ya lazima?

    Walimu msaada kidogo hapa mwalimu anayepokea mshahara wa tgts g anaongezewa tsh ngapi toka daraja f ukitoa paye nhif cwt? Ile cash amount inayoingia kama hela kamili ni kiasi gani?
  15. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Membe alitupigania dhidi ya tabia Mbaya ya Watu wenye Mamkala kutumia Wahuni kutukana Viongozi wenzao

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki ibada ya kuaga Mwili wa Marehemu Mhe. Bernard Kamillius Membe, Waziri Mstaafu wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika Viwanja vya Karimjee - Dares Salaam leo tarehe 14 Mei, 2023 Saa 4:00 Asubuhi...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia : Gharama za Bando Kushuka kwa Lazima

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakatai wakati wa utiaji saini mikataba ya upelekaji huduma za mawasiliano nchini kati ya Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) na watoa huduma za mawasiliano uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete amesema kuwa...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Nawakumbusha tena, mbingu ni yetu sote, ili ufike huko, lazima ufe, ku wapi kufurahia afapo mtu? Wazuri hawafi ni kauli ya kijinga!

    Kuchekelea na kufurahia anapokufa mtu hata kama huyo mtu alikuwa adui yako, bado ni ujinga! Kauli ya wazuri hawafi, ilikuwa ni kauli moja Wapo kutoka kwa mtu mjinga aliyesahau kuwa naye iko siku na wakati asioujua atakufa! Mbingu ni ya kila mtu na ingawa inawahusu wanyoofu wa moyo, na ili mtu...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la TANAPA ni lazima Waziri wa Maliasili ajiuzulu

    Poleni sana wana Mbarali, Jana nimemfuatilia Mbunge wa Mbarali Mtega akielezea kwa huzuni kubwa jinsi Watumishi wa TANAPA walivyowatesa wananchi wa vijiji vinanvyopakana na hifadhi kwa kuwachapa na kuwavua wanawake nguo zao na kubaki uchi, kuwapiga mbuzi na mbwa kwa risasi za moto na kuwauwa...
  19. JamiiForums Tanzania Musiba lazima ujue Membe ana wategemezi, wana haki ya kufungua mirathi na kukufilisi

    Kwa umri wa Membe hatuwezi kusema kuwa amekufa mapema au ghafla, na hatuwezi kukihusisha na madai yake kwa Musiba. Warithi wake wakiamua kuendelea kumkaba kohoni Musiba hawezi kuchomoka. Musiba alikuwa mtoto aliyelelewa vibaya. Ni mithiri ya mtoto wa chief wa kijiji aliyewatukana wanakijiji...
  20. F

    JamiiForums Tanzania SoC03 Somo la uadilifu na Utawala Bora lianzishwe na liwe somo la lazima kuanzia shule za awali hadi vyuo vikuu. Taasisi za Dini, na Familia zihusike pia

    UTANGULIZI Uadilifu ni hali ya kuwa mwaminifu na kuzingatia kanuni zote za kimaadili katika jamii inayokuzunguka. Kwa upande mwingine, utawala bora lazima uwe na uadilifu ndani yake. Jamii haiwezi kuwa na watawala walio bora ikiwa hawana uadilifu. UMUHIMU WA UADILIFU KATIKA JAMII Uadilifu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…