Kwenye mahusiano lazima uwe na msimamo ili usiumizwe kihisia

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,702
36,143
Nashangaa sana kijana au binti anapelekeshwa na mapenzi kama gari bovu, lazima uwe na msimamo. Unapenda sawa lakini usikubali akili zote ukahamishia kwa mtu.

Unamtongoza mtu akisema hapana au subiri nitakupa jibu unamchana kabisa kuwa basi nimeghairi. Mtu anayekupenda tangu kitambo hana muda wa kufikiri au kukuzungusha.

Wife kwa mara ya kwanza nilikutana naye bank ya CRDB Kahama, nilipomwona tu nikasema huyu ni wife material, nikamwambia lengo langu na kumtaka anipe jibu papo hapo.

Angekataa au kuniambia subiri nifikirie ningefuta namba yake mbele yake na asingekuwa mke wangu sasa.

Mchumba akikukataa au kukuwekea vizingiti na masharti ambayo awali hujayaona, mchane live kuwa basi umeghairi, na usirudi nyuma, ukirudi nyuma utakuja kufanyiwa jambo mpaka utakubali

Note: Mtu aliyeumbwa kwaajili yako na Mungu awe mke au mume siku mkikutana kunakuwa na connection ya moja kwa moja bila mawimbi. Yaani lazima ushangae naye atashangaa.

Ndoa ni jambo la kimungu 100%

Hata kisa cha Isaka na mkewe kinathibitisha hilo
 
Hiyo mbinu ni sahihi kwako ila sio sahihi kwa wote.

Yani From nowhere tu ukutane na mtu hamfahamiani alafu utegemee maombi yako ya mtongozo na ndoa yajibiwe mda huo huo?

Ni muhimu kufahamiana Kwanza hasa kwa mtu unaemtegemea awe mke/mme wako.
 
Hata makahaba wakiwa mtaani huwa malaika na hutafuta wanaume wa kufunga nao ndoa.
Na hapo wakikuona unavutia kuwa mume unaweza kuwekewa viikwazo ili tu umwone wa maana
 
Nashangaa sana kijana au binti anapelekeshwa na mapenzi kama gari bovu, lazima uwe na msimamo. Unapenda sawa lakini usikubali akili zote ukahamishia kwa mtu.

Unamtongoza mtu akisema hapana au subiri nitakupa jibu unamchana kabisa kuwa basi nimeghairi. Mtu anayekupenda tangu kitambo hana muda wa kufikiri au kukuzungusha.

Wife kwa mara ya kwanza nilikutana naye bank ya CRDB Kahama, nilipomwona tu nikasema huyu ni wife material, nikamwambia lengo langu na kumtaka anipe jibu papo hapo.

Angekataa au kuniambia subiri nifikirie ningefuta namba yake mbele yake na asingekuwa mke wangu sasa.

Mchumba akikukataa au kukuwekea vizingiti na masharti ambayo awali hujayaona, mchane live kuwa basi umeghairi, na usirudi nyuma, ukirudi nyuma utakuja kufanyiwa jambo mpaka utakubali kazi.

Kuna binti nilitaka kuchepuka naye tumekutana Town, naanza kutafuta Lodge akasema eeh mbona haraka sana. Nilimpiga chini hapohapo.

Note: Mtu aliyeumbwa kwaajili yako na Mungu awe mke au mume siku mkikutana kunakuwa na connection ya moja kwa moja bila mawimbi. Yaani lazima ushangae naye atashangaa.

Ndoa ni jambo la kimungu 100%

Hata kisa cha Isaka na mkewe kinathibitisha hilo
Mapenzi hayana ukurya kaka!
 
Unalisha watu matango pori, mke hapatikani hivyo unless huyo mke wako naye ana shida sehemu.

Hivi unaposikiaga ( maana najuwa hujui) watu wanatoka out kwa ajili ya dinner unadhani maana yake ni nini?
 
The one u clame,u can't live without,what u dot know is they can live without u
 
Nashangaa sana kijana au binti anapelekeshwa na mapenzi kama gari bovu, lazima uwe na msimamo. Unapenda sawa lakini usikubali akili zote ukahamishia kwa mtu.

Unamtongoza mtu akisema hapana au subiri nitakupa jibu unamchana kabisa kuwa basi nimeghairi. Mtu anayekupenda tangu kitambo hana muda wa kufikiri au kukuzungusha.

Wife kwa mara ya kwanza nilikutana naye bank ya CRDB Kahama, nilipomwona tu nikasema huyu ni wife material, nikamwambia lengo langu na kumtaka anipe jibu papo hapo.

Angekataa au kuniambia subiri nifikirie ningefuta namba yake mbele yake na asingekuwa mke wangu sasa.

Mchumba akikukataa au kukuwekea vizingiti na masharti ambayo awali hujayaona, mchane live kuwa basi umeghairi, na usirudi nyuma, ukirudi nyuma utakuja kufanyiwa jambo mpaka utakubali kazi.

Kuna binti nilitaka kuchepuka naye tumekutana Town, naanza kutafuta Lodge akasema eeh mbona haraka sana. Nilimpiga chini hapohapo.

Note: Mtu aliyeumbwa kwaajili yako na Mungu awe mke au mume siku mkikutana kunakuwa na connection ya moja kwa moja bila mawimbi. Yaani lazima ushangae naye atashangaa.

Ndoa ni jambo la kimungu 100%

Hata kisa cha Isaka na mkewe kinathibitisha hilo
Kupenda = Utumwa.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Note: Mtu aliyeumbwa kwaajili yako na Mungu awe mke au mume siku mkikutana kunakuwa na connection ya moja kwa moja bila mawimbi. Yaani lazima ushangae naye atashangaa.
 
Jifunze kuwapa watu muda wa kuprocess vitu sio utake wewe ndipo kitokee. Sasa unataka mtu asifikirie maamuzi yake ili kukuridhisha wewe binafsi.

Amekuona tu siku hiyo hiyo aseme ndio nimekubali kuwa na wewe?!

Amekujua saa ngapi, hajui una haiba gani, una ongea vipi, etc.
 
Back
Top Bottom