kwenu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuondoka kwenu ulikuwa na mishe ipi ama ulitafuta mishe ipi ili kuanza maisha rasmi ya kujitegemea?

    Muda hausimami, muda ukifika wa ku hit the road inakubidi uondoke nyumbani kwenu nawe uanze kujitafutia. Wapo wanaohama wakiwa na mishe ila wapo pia ambao ni kuhama na kuyajua mbele kwa mbele Binafsi nakumbuka nilipomaliza form 4, nilikaa kitaa nikiwa nasubiri matokeo bila shughuli yoyote...
  2. kidonto

    JamiiForums Tanzania Nina swali kwenu Wachungaji wenye ujuzi na Biblia (Imani)

    Shalom! Nataka tu kujifunza na kuongeza Imani yangu! Nimekua nikishuhudia Watu wengi wakifunguliwa Makanisani kwa Macho yangu! Nimeshuhudia Baadhi ya watu wakifunguliwa kwa namna tofauti, katika kisa kimoja, mwanaume wa Makamo alikua Mgonjwa akiamini Kalogwa, alihangaika kutafuta Tiba toka kwa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania CCM na wanaccm, nini kosa la Bashiru? Demokrasia kwenu ni nongwa?

    Sijafurahishwa na mfululizo wa kejeli, matusi na majibu dhidi ya Dr. Bashiru mara baada ya yeye kutumia Uhuru wa kikatiba wa kujieleza. Nafahamu akiwa "mtoto pendwa" awamu ya 5 Dr. Bashiru aliwahi kunena maneno ya makufuru dhidi wa watanzania kwamba "ccm itatumia hata vyombo vya dola ili...
  4. Mr DIY

    JamiiForums Tanzania Kwenu wanawake: Lini mtatuelewa wanaume!

    Kuna mwenzenu huku (wife) amenitumia msj zenu za ku forward sijui katoa wapi akisisitiza niisome (nita share hapo chini), nikakumbuka wanawake wengi huwa wanasahau kwamba wanaume hatujaumbwa kusikiliza maneno mengi ili kupata point moja, niliishia kusoma heading na pale mwisho nikagundua alie...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kama mwenye nyumba anakaa mbali ni lazima kumtumia na ya kutolea?

    Habari wana JamiiForums, kuna jambo lanitatiza Naombeni majibu yenu. Mfano umepanga nyumba na mwenye nyumba wako anaishi mkoa mwingine tofauti na uishio wewe, ukiwa unamtumia kodi ya nyumba je, ni lazima kumtumia na ya kutolea?
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Kwenu Wizara ya Ujenzi

    Na amini mnapita humu, natumai ujumbe mtaupata na mtaufanyia kazi. na hii ni mahusi kwa katibu mkuu. Ipo hivi, CRB (Contractors Registration Board ndio wanaohusika kufanya assessment ya kampuni zinazotaka kusajiliwa na kufanya kazi ya ukandarasi, halafu board board members wanakuja kuidhinisha...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Usiku wa deni haukawii kucha, kazi kwenu wananchi!

    Usiku wa deni haukawii kucha, Wasudani wanadai shingo ya mtu huko igeuziwe kibra! Mimi simo, ila povu linaruhusiwa!
  8. F

    JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete: Mchakato wa Katiba Mpya niliufanya ikabaki kura ya maoni, kazi kwenu

    Ameyasema hayo leo akitimiza miaka 72. Rais mstaafu Jakaya Kikwete akihojiwa na clouds Media Group ktk kutimiza kwake miaka 72, amegusia Katiba Mpya. Amesema ameasisi Mchakato wa Katiba Mpya kwa kuunda tume ya maoni ya Warioba na baadaye Bunge la Katiba. Rasimu ilipatikana na ikabaki kura ya...
  9. Nobunaga

    JamiiForums Tanzania Kwanini unaishi nyumbani kwenu hadi leo?

    Majibu ya vijana wa hovyo yanachekesha sana 😂😂
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kwenu wanawake mliowahi kubeba mimba, hivi ni kweli mimba zina kisirani au mnajiendekeza tu?

    Mambo vp wadau Kiukweli kila nikitafakari mambo anayoyafanya wife nashindwa kuamini kama ni kisirani cha mimba ama ni kama kawaida yenu wanawake mnapenda kujiendekeza. Wife amekuwa mtu wa kulalamika kwa mambo madogo madogo na kulia lia tu kwa vitu vya kawaida. Kwa kweli kama mwanaume sio...
  11. NetMaster

    JamiiForums Tanzania kwenu baadhi ya watanzania vichwa panzi, Msaada kutoka kwa ndugu sio wajibu, akikusaidia ni bahati wala sio lazima, acha lawama asipokusaidia

    Kuna kusaidia wanafamilia hii inaeleweka inabidi ujitoe, lakini sasa kuna hawa ndugu nao huwa wanajikuta sawa na familia tena akilini mwao wanajipa hadhi ya lazima wasaidiwe, Huwa naona kuna baadhi ya koo na makabila yani wakiona ndugu yao katoboa basi wanachofikiria ni kwamba ni lazima ndugu...
  12. Orosso

    JamiiForums Tanzania Kwenu Sektetarieti ya ajira (PSRS), je, uwajibikaji na uwazi ni changamoto kwenu? Sio kipaumbele kwenu?

    Habari zenu wana jamvi. Nimeshuka jamvini na swali kama linavojieleza katika kichwa cha habari. Lengo kuu ni kuona namna gani michango ya wanajamvi inaweza saidia kufikisha ujumbe kwa wahusika na kufanya marekebisho katika dosari zinazojitokeza kila siku katika kutimiza majukum yao. Tunafaham...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kwenu Wizara ya Elimu na Tamisemi

    Lengo la Serikali ni kusaidia wananchi wake kwa makundi mbalimbali na serikali yenyewe ndo nyinyi katika idara za Elimu. Naomba mlitupie macho swala la uhamisho wa mwanafunzi wa sekondari na yeye aweze kuwa huru kwenye kuhama shule kutoka shule ya private na kuingia shule ya serikalini. Kama...
  14. I

    JamiiForums Tanzania Kwenu LATRA na Serikali ya Mkoa

    Juzi nikua mkoani Mbeya na Tunduma katika safari zangu ila kwa nilichoshuhudia ni mateso sana, sijui tatizo nini. Sikuweza kupata usafiri wa saa 12 alfajiri kwahiyo nikaja Uyole kuvizia usafiri wowote. Jamani, tulipandishwa bus aina ya fuso ambalo lilituacha Makambako! Mpaka tunafika Dar...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mkipanga hiki Kikosi changu MINOCYCLINE Leo Taifa Stars anashinda 3-1 au 2-0 hivyo Kazi Kwenu mlioko Kampala Uganda.

    1. Aishi Manula 2. Kibwana Shomary 3. Mohammed Hussein 4. Dickson Job 5. Kennedy Juma 6. Jonas Mkude 7. Abubakary Salum 8. Feisal Salum 9. Anwar Jabir 10. John Boko 11. Farid Mussa Tafadhali wanaoanza wawe hawa niliowataja na baadae waingizwe akina Lyanga, Sopu, Mwamnyeto, Kibu na Tepsi...
  16. The MoNA

    JamiiForums Tanzania Kwenu wataalamu

    Wasalamu waTz. Ulimwengu wa Compact Disk al maarufu CD ni kama umepitwa na wakati kutokana na ukuaji wa teknolojia. Kwa sasa kuna namna mbali mbali ambazo ni rahisi na salama ya kuhifadhi mafile mbali mbali kama ilivyo kwenye CD. Kuna kazi (album) ya kwaya ya RC itafanyika hivyo twataka...
  17. Nakadori

    JamiiForums Tanzania Wanaume mmemsikia mwenyekiti wa wanawake? Haya kazi kwenu

    Wanawake mmesikia makubaliano ya kikao chetu cha mwisho? Hakuna kumuachia Mungu.... Mungu muachie hesabu malipo tulipane hapa hapa. 🤣🤣🤣🤣💃💃💃💃💃
  18. S

    JamiiForums Tanzania Ajira hakuna lakini kazi zipo

    Usitengemee Bahati
  19. Nasema Uongo Ndugu Zangu

    JamiiForums Tanzania Bugati: Tupo tayari kwa lolote Kutoka kwenu ikiwapendeza mtushushe hata madaraja kumi

    Tupo tayari kwa lolote Kutoka kwenu ikiwapendeza mtushushe hata madaraja kumi Ila hatupo tayari kwa maamuzi yenu ya kuikandamiza Yanga kila siku. Kuna kesi ngapi za Yanga zipo mezani kwao hadi leo hatujapata ushirikiano wowote Kutoka kwao.Tupo tayari ikimpendeza atupeleke kabisa Fifa. MY TAKE...
  20. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Na rafiki yangu matata sijui mnae huko kwenu

    Leo nimemkumbuka my rafiki yangu sio kipenzi kwa sababu alikuwa anakera sana. 1. Anaweza kuvaa brazia zako . 2. Kuvaa nguo zako hataka kama ni special kiasi gani . Naakiharibu kitu anasema kwani si bahati mbaya unakasirika nini? Halafu hupenda sana kulalamika bila sababu. 3. Hapendi wewe ukiwa...
Back
Top Bottom