Kwenu Wizara ya Elimu na Tamisemi

Big Eagle

JF-Expert Member
May 3, 2020
592
625
Lengo la Serikali ni kusaidia wananchi wake kwa makundi mbalimbali na serikali yenyewe ndo nyinyi katika idara za Elimu.

Naomba mlitupie macho swala la uhamisho wa mwanafunzi wa sekondari na yeye aweze kuwa huru kwenye kuhama shule kutoka shule ya private na kuingia shule ya serikalini.

Kama ilivyo kwa shule za msingi ni huru kuhama kutoka shule ya private kwenda shule ya serikali.

Changamoto ziko nyingi zinazoweza kupelekea mwanafunzi alienda shule ya private akakwama lakini nitatolea mfano moja tu kama hii ya kufiwa na wazazi, mzazi, mlezi au mfadhiri ivyo akakosa ada upelekea watoto kukatisha masomo.

Saidieni swala hili
 
Back
Top Bottom