kwenu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwenu wanaume: Acheni kuwadanganya wanawake, elezeni ukweli wenu

    Acheni kuwa waongo dunia hii sio ya zamani mtazimwa kabisa. Wanawake wamechoka wanaume waongoo, unamke sema mtu aolewe kwingine kwani mkisema nimekupenda na nimume wa mtu kuna ubaya gani? Dunia hii sio ambayo ni yakumdanganya mtu itafikia siku asilimia kubwa ya wanaume ni matahira, mazuzu...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mimi nilidhani mnawashtaki Wabelgiji ICC kwa 'Kumuua' Hayati Lumumba kumbe mlichoona cha Muhimu Kwenu ni kurudishwa tu Jino lake?

    Mamlaka ya Ubelgiji imekabidhi jino la kiongozi wa uhuru wa Congo Patrice Lumumba, kwa familia yake katika hafla iliyofanyika Brussels. Jino hilo ni sehemu pekee ya mabaki ya mwili wake ambayo inadhaniwa kuwa bado ipo baada ya kunyongwa na kisha mwili wake kuyeyushwa kwa tindikali mwaka 1961...
  3. Rehema Chahe2022

    JamiiForums Tanzania Hodi hodi mimi ni mgeni ninaomba munikaribishe humu jukwaani.

    Ninaitwa Rehema Chahe, ni mgeni humu ni matumaini yangu nitajifunza mengi kutoka kwenu na mtajifunza mengi kutoka kwangu, Baraka za Mungu ziwepo nanyi, asanteni.
  4. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Kama bado unakaa kwenu usitoke, Maisha yapo juu sana kila kitu kimepanda

    Kwa hali ya maisha ya sasa kama bado unakula na kulala bure iwe kwenu au kwa shemeji yako ongeza nidhamu kwa hao wanaokulisha wanabeba mzigo mkubwa sana. Maisha yapo juu sana kila kitu kimepanda. Mahindi kutoka 1200 kg hadi 1500 Mafuta ya kula kutoka 32000 Lita 5 hadi 40000. Sabuni ya...
  5. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Taja kitu kilichopanda bei mtaani kwenu, Mimi nitaanza...

    Habari! Huku mtaani kwetu Chanika unga wa sembe unapanda bei kwa kasi. Kila nikienda mashine kununua unga siku hizi nakutana na bei mpya. Vitu vingi vilivyouzwa jero sasa ni mia 6 na vile vya buku sasa buku na mia 2. Leo nikiwa kazini mjini nikapitia cafe ya karibu nakuta vitafunwa vimepanda...
  6. sky soldier

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Majirani Wakenya, bei za mafuta Tanzania zimepanda 157.6 - 168.3 petrol & 163.2 - 169.7 diesel. Kwenu vipi?

    hizi bei zimeanza kutuchoma kama pasi wenye vipato vya kawaida hali ipo vipi kwa Kenyatta huko? Petrol 3,148 tshs / 157.66 kshs >>> 3,361 tshs / 168.3 kshs Disel 3,258 tshs / 163.2 kshs >>> 3,390 tshs / 169.78 kshs
  7. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Shomari Salumu Kapombe, nenda katoe sadaka ya shukurani kanisani kwenu

    Kwa kufanikiwa kumzuia Fiston Mayele asifunge goli kwenye mechi ya Simba na Yanga ya tarehe 30 APRILI 2022 basi nakushauri uende kanisani kwako unapo abudu ukatoe sadaka ya shukurani.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Tujuzane Je, Mbinu gani mnatumia kuwalipa ulinzi shirikishi mtaani kwenu ili kuepuka upigaji?

    Ulinzi shirikishi ni jambo zuri sana! Maeneo ya vijijini limeonyesha kufaulu kwa asilimia kubwa kutokana na watu wake kujitolea au kupangwa kwa zamu! Tatizo kubwa la ulinzi shirikishi mjini una harufu ya upigaji! Kuna wakati huwa nashawishika kuamini huenda PANYA ROAD ni PROJECT? Kwasababu...
  9. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Ajira 17,412 kwa kada za Elimu na Afya zatangazwa. Wananchi wenye sifa wahimizwa kuomba nafasi

    Waziri wa TAMISEMI, Innocent Bashungwa, amewataka Watanzania wenye sifa waombe nafasi za kazi kuanzia leo, baada ya serikali kutangaza nafasi za ajira 17,412, kwa kada ya elimu na afya. Kauli hiyo ameitoa hii leo Aprili 20, 2022, Bungeni Dodoma, wakati akihitimisha hoja ya bajeti ya Ofisi ya...
  10. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya hebu nifafanulieni kuhusu Ugavana, Useneta na Ubunge huko kwenu

    Naomba ufafanuzi kuhusu nafasi za kisiasa za ugavana, useneta na ubunge. Kwa vigezo vifuatavyo. Kiongozi yupi ni mkubwa kuliko wengine, magavana wapo wangapi nchi nzima, maseneta pia na wabunge.
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji Abubakary Sadick wa Radio One: Wanawake mnaopenda Pesa zificheni huko 'Kunako' Kwenu tuone kama zitakidhi Haja zenu za Kitandani

    Akizungumza katika Kipindi kizuri, kitamu na Kinachoelimisha, Kuburudisha na Kufariji cha Mazungumzo ya Familia ( kutoka Radio One ) ambacho GENTAMYCINE ni Balozi wa Kujilazimisha na Kujiteua Mwenyewe wa Kipindi hicho Mtangazaji Mwandamizi Abubakary Sadick ametupa Dongo la aina yake kwa...
  12. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Rais Samia punguza upendeleo kila kitu kiwe Zanzibar

    Jambo hilo alipigiwa kelele sana Hayati Magufuli ajabu Samia naye amekuwa na aina ileile ya ufujaji mali za umma kwa safari zisizo na maana yeyote za huko kwao Zanzibar. Ki hafla kidogo tu tunaendelea kushuhudia hudhurio lake huko! Tunakoelekea huenda Samia atatumia ndege yetu kubwa kwenda...
  13. Mmea Jr

    JamiiForums Tanzania Swali kwenu nyie wanawake? Wanaume tunakaribisha kwa ajili ya kusoma comments

    Hello everyone , how is yr weekeeeend going ? Okay, wakati wanachadema wakiwa na furaha na shamla shamla za kiongozi wao mbowe kurudi uraiani basi na mimi bila ya kupoteza muda wala kupepesa macho ningependa niende moya kwa moya kwenye mada . Imezoleka saaaaana katika jamii kwa sisi wanaume...
  14. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Kama umewahi kutumia haya majani ya chai na bado upo kwenu unagombea rimoti ya tv na wadogo zako jitafakari

    Maisha yana safari ndefu sana usipofunga mkanda haswa unaweza zeekea nyumbani hasa kwa sisi tuliotoka kwenye familia masikini. Nakumbuka wakati nimepata ajira kampuni Fulani ujira ulikuwa mdogo sana licha ya elimu niliyo nayo ilinibidi nifanye hivyo hivyo mshahara ulikuwa 200k kwa mwezi...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Paul Kagame atuma ujumbe mzito kwa majirani zake

    Hamjamboni nyote? Tafadhali pitia ujumbe wa PK hapo chini Photo: President Paul Kagame === President Kagame: In the near future, Rwanda's relations with Burundi will get back normal. It's still work in progress, and both sides are committed to see it through. President Kagame: on the...
  16. M

    JamiiForums Tanzania GSM kabla ya Kukurupuka Kwenu Kudhamini Ligi na Vilabu mlipata Twisheni kwa Sports Pesa kwanini wao waliweza na Simba SC hawakuwagomea?

    Na msisahau hata Boss wao Mkuu kwa upande wa Tanzania ni Mheshimiwa Mbunge wa Kinondoni na mwana Yanga SC lia lia Tarimba Abbas Tarimba lakini bado waliweza Kuzungumza na Simba SC na Wakafanikiwa. Nyie GSM kwa Ushamba wenu na Kukurupuka Kwenu Siku ambayo mliingia Mkataba wa Udhamini Mwenza...
  17. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kwenu watoto wa kiume, Mapenzi ya baba kwako utayatambua ukianza kujitegemea na kuhama kwenu, huenda utaona hata yale ya mama hayafikii

    Mama ni moyo ana mapenzi ya dhati yaliyovuka mipaka kwa mwanae, leo hii hata mama yako ukimwambia unataka kuwa msanii hata kama hujui kuimba atakupa sapoti, mapenzi haya kwa mtoto kuna muda huwa yanapofusha kushindwa kuona uhalisia. Baba ni kichwa, mlinzi na mtafutaji, leo hji ukimwambia...
  18. Mbomozo

    JamiiForums Tanzania Mama zetu huu ni ushauri wa bure kwenu, ni vyema kuuzingatia

    Habari za mida hii ndg wanaJF..... Naandika uzi huu kwa uchungu kiasi maake Dada zetu wanaliwa kihasara na mchango mkubwa ni mama zao. Kivipi? Waliosema muache mtoto atafute mchumba wa kumuoa na ampendaye hawakukosea... Unakuta mama mzazi Wa binti anazunguka kumtafutia mwanaume binti ili...
  19. Joannah

    JamiiForums Tanzania January vipi huko kwenu?

    Wasalaam, Eti jamani huko kwenu vipi January imesha tayari?sie huku ndio tunafika ukingoni. Huku kwetu kila mtu analalamikia huu mwezi,yaani full lawama, eti ni mwezi mgumu sana,watu Ni mwendo wa ndondo mixer kabeji ukiuliza kuna nini kwani mbona ratiba za mezani hazieleweki majibu Ni yaleyale...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Haya 'Wachezaji' wa Coastal Union FC 'fungweni' leo na Yanga SC muikose hii Zawadi (Bingo) na muwe 'Masikini' mpaka 'Kufa' Kwenu

    Mkuu wa Mkoa wa Tanga Adam Malima (mwana Simba SC Mwemzangu) kawaahidi Wachezaji wa Coastal Union FC Tsh Milioni 20 wakiifunga Yanga SC leo. Mbunge wa Tanga na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu Oddo (mwana Simba SC Mwenzangu) kawaahidi Wachezaji wa Coastal Union FC Tsh Milioni 10 wakiifunga Yanga SC...
Back
Top Bottom