kwanza

The kwanza (sign: Kz; ISO 4217 code: AOA) is the currency of Angola. Four different currencies using the name kwanza have circulated since 1977.
The currency derives its name from the Kwanza River (Cuanza, Coanza, Quanza).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Miss Nigeria 1957 akionesha zawadi yake ya mshindi wa kwanza

  2. JamiiForums Tanzania Jino la aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kwanza wa Congo, Patrice Lumumba lapokelewa na kupewa mazishi ya heshma

    Nchini DRC nchi nziam ilizizima kwa majonzi baada ya jino la aliyekuwa Waziri mkuu wa kwanza wa nchi hiyo kupokelewa kutoka nchini ubelgiji ambako limekuwa likihifadhiwa. Imedaiwa kuwa mtu mmoja aliyekuwa askari polisi wakati wa mauaji ya kinyama ya kiongozi huyo aliamua kuhifadhi jino hilo kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania sehemu ya social experiments, kwanza Ujamaa sasa hivi nwo!

    Tanzania kuanzia kuanzia kuanzishwa kwake haijawahi kuwa nchi ya kawaida kama nyingine, ni nchi inayotumiwa kama sehemu ya majaribio ya mifumo ya maisha, ndiyo maana Communism Dunia nzima iliitwa hivyo Communism lkn Tanzania ukaitwa ujamaa na ukapewa defination yake kwamba ni Communism ya...
  4. JamiiForums Tanzania Make Hapo kwanza Nchekee!?

    Hili neno kama ntakuwa nimekosea kuliandika pia nipo tayari kurekebishwa naomba kufahamu maana yake halisi na linatumika mazingira yapi? Nimejaribu kugoogle sijapata na kamusi pia hakuna. Ahsanteni,Asbh Njema.
  5. JamiiForums Tanzania 7 PARIS, FRANCE – Rick Ross has five children, and one of them has officially made him a grandfather

    Erika Goldring/Getty Images RICK ROSS CELEBRATES BECOMING A GRANDFATHER FOR THE 1ST TIME PARIS, FRANCE – Rick Ross has five children, and one of them has officially made him a grandfather. On Friday (June 24), the Maybach Music Group boss took to his Instagram Story with a post revealing the...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 100 Urusi imeshindwa kulipa madeni

    Anguko la Urusi liko pale, hali inaendelea kuwa ngumu ikizingatiwa mpaka sana imeshindwa kufunika kainchi kadogo hapo jirani yake na imeingia hasara kubwa sana ambayo jeshi lolote hapa Afrika likiingia hasara kama hiyo linafutika kabisa. ======================== Russia was set to fall into its...
  7. JamiiForums Tanzania Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maswali Mengi Majibu Machache

    Leo nimefuatilia mahojiano aliyoyafanya Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Othman Masoud Othman kupitia kipindi cha Clouds360 cha Clouds TV na nimbaki na maswali mengi kuliko majibu Othman Masoud Othman amewahi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar kabla ya kung’olewa kwa kile kinachosemwa...
  8. JamiiForums Tanzania Ukitaka kuchonga kinyago kwanza lazima upate mpingo

    Mpingo ndio unafaa kwa kuchonga kinyago. Hivyo hivyo,tukitaka kujenga Taifa lazima kwanza tuwe na watu wanaoridhia kuwa Taifa moja. Vinginevyo, mahusiano katika Taifa yanakuwa kama ndoa ya kulazimishwa. Modern state inahitaji Kiongozi awe mmoja tu katika mioyo ya watu. Nilipokuwa China, wakati...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Je, kwa mara ya kwanza bajeti ya 2022/2023 kupitishwa na kura chache za wabunge wa CCM?

    Tumezoea kuona mara nyingi inapofikia wakati wa kupiga kura kupitisha bajeti ya Wizara ya Fedha., wabunge karibia woote (99.9%) wa CCM huipigia kura ya NDIYOOO kuiunga mkono hata kama hoja zao za msingi hazikujibiwa kwa usahii, ukiachilia mbali wale wa upinzani (sio kwa bunge la sasa) ambao...
  10. JamiiForums Tanzania Kisa cha kwanza cha Monkeypox chagundulika Afrika Kusini

    Afrika Kusini imeripoti kuwa na kisa cha kwanza cha Virusi vya Monkeypox, ikiungana na nchi nyingine 40 ambazo zimeripoti kuwa na virusi hivyo. "Mgonjwa ana umri wa miaka 30, ni mwanaume kutoka Jiji la Johannesburg, hana historia ya kusafiri. Mchakato wa kumfuatilia unaendelea,” anasema Waziri...
  11. JamiiForums Tanzania Giants Simba Sc kuanzia round ya kwanza CAFCL

    -Klabu ya Simba SC ya Tanzania sasa rasmi imekuwa miongoni mwa vilabu 10 ambavyo vitaanzia raundi ya kwanza kwenye mashindano ya CAF Champion League msimu 2022/23 kama msimu uliopita baada ya CAF kupitisha utaratibu wa vilabu 10 bora kuanzia raundi ya kwanza ya michuano ya CAF Champion League...
  12. JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba awa Waziri wa Fedha wa kwanza kuingia na msafara huu Bungeni

    Kila nikikumbuka mwaka 2015 alivyochora mawe na madaraja kwamba yeye ndie Rais ajaye naanza kuamini jamaa anapenda siku moja awe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Juzi kaenda kusoma bajeti ya mwaka mpya wa fedha bungeni, msafara wake sio mdogo yaani hadi mapikipiki ubavuni mwa gari lakr...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Reli kati ya Hotan na Ruoqiang nchini China yafunguliwa jana, ambayo ni reli ya kwanza ya mzunguko jangwani duniani

    Reli kati ya Hotan na Ruoqiang nchini China ambayo ni reli ya kwanza ya mzunguko jangwani ilianza kutumika rasmi jana.. Reli hiyo iko kwenye ukingo wa kusini wa Jangwa la Taklimakan, ambalo ni jangwa la pili kwa ukubwa duniani linalotembea, ikianzia mji wa Hotan upande wa magharibi hadi wilaya...
  14. JamiiForums Tanzania Nimetokea Oman kwa Mjomba na nimeshukia Kwanza Zanzibar niwape Salamu za Mjomba kisha nikapige Kazi kwa Wagogo na Wazaramo

    Na safari hii nimeamua kutumia Ndege yangu Mwenyewe Maalum Kusafiria kwani nimeshachoka na Kelele zenu.
  15. L

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya kwanza ya "City Park Audiobook House" katika Mkoa wa Henan, China yazinduliwa

    Tarehe 9 Juni 2022 "Nyumba ya Kitabu cha Sauti ya City Park" ilizinduliwa katika bustani ya umma ya Zhengzhou mkoani Henan, yenye zaidi ya vitabu 16,800, na wakazi wa huko wanaweza kusikiliza vitabu hivyo bila malipo.
  16. T

    JamiiForums Tanzania Sifa ya kwanza ya kiongozi mbovu wa Afrika ni kusifiwa na wazungu

    Ukitaka kujua sifa ya kwanza ya kiongozi mbovu kwa Africa ni kusifiwa na Wazungu. Kiongozi yoyote wa Afrika anaesifiwa na wazungu ujue huyo ni bure kabisa, ni bomu. Hakuna kiongozi wa Afrika ambae analinda rasilimali na maslahi ya wananchi wake akasifiwa na wazungu, hayupo. Na wazungu hata...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Tanzania mnafahamu kwamba wanaotukopesha (matajiri) wanafanya kazi saa ishirini na nne? Sisi tunakwama wapi kuruhusu biashara 24hrs?

    Jeshi la Polisi wanapiga marufuku wanafanya biashara ya usafirishaji abiria kufanya kazi masaa ishirini na nne lakini wao wapo kazini masaa ishirini na nne wanamlinda nani?Kwanini tumekariri kwamba tunapaswa kuwa na mfumo wa kufanya kazi Mchana pekee? Kwanini Polisi wasisimamie usalama wa...
  18. JamiiForums Tanzania Nishati; Utitiri wa Miradi, (Mnaonaje tukimaliza Mmoja kwanza kabla ya Kuanza Mwingine)

    Nimesikia hapa Makamba akiwasilisha miradi inayopangwa kufanywa katika bajeti ijayo na pesa lukuki iliyotengwa, kwa ajili ya miradi, (yaani ni miradi bandika bandua). Ni Vema na Haki..., ila swali, si bora tungemaliza kwanza mradi mmoja kuliko kushika shika hapa na pale..., Wahenga walisema...
  19. JamiiForums Tanzania Msaada: Mbwa akilishwa Sumu huduma ya kwanza ni kufanya nini?

    Jirani yangu Mbwa wake Vibaka wamemuwekea sumu, amekufa anamuangalia hajui afanyeje! Nahofia na mimi hawa wa kwangu, maana wananisaidia sana na Hawa panya road wa kitaa.
  20. S

    JamiiForums Tanzania Wanaume, zingatieni sana jibu la kwanza mnalopewa mnapotongoza ili kumpata mwenye mapenzi ya dhati

    Unapomfukuzia mwanamke kuwa makini sana na jibu lake la kwanza kutolewa kinywani mwake. Ukikataliwa, ukipewa excuse, ukiambiwa "mimi sikupendi", ukiambiwa "shika adabu yako", ukiambiwa "aku mm nina mtu wangu" ama jibu lolote linalofanana na hayo LIHESHIMU. Ukikomaa utakuwa na mpenzi ama mke...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…