kwanza

The kwanza (sign: Kz; ISO 4217 code: AOA) is the currency of Angola. Four different currencies using the name kwanza have circulated since 1977.
The currency derives its name from the Kwanza River (Cuanza, Coanza, Quanza).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mtaalamu ashauri baadhi ya ibara ndogo katika ibara ya kwanza zifutwe kwenye mkataba na DP-World

    Ibara ya 1 ya makubaliano na serikali ya UAE kinatoa kwanza tafsiri ya maneno yaliyotumika kwenye mkataba. Neno “Project Company” limeandikwa kuwa litamaanisha DP-World au kampuni iliyosajiliwa nchini Tanzania (ikiwa ni Kampuni Tegemezi ya DP-World) ambayo imeingia Mkataba wa Mradi kwa ajili ya...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Agha Khan madaktari wengi ni wanafunzi au ndio kwanza wanaanza kazi?

    Ndugu wanajamvi. Nimeona nilete hili kwenu natumaini wengi wenu mliowahi kwenda Hospital ya Aghakan pale mjini mme notice kuwa madaktari wengi ni wanafunzi ambao hawana uzoefu. Na wengi hurudi kwenye kusoma Notice ili kujua mgonjwa anasumbuliwa na nini..? Nilimpeleka mtu mida ya usiku...
  3. JamiiForums Tanzania Hadithi: Kichaa cha Mpenzi

    Sehemu ya 1 JINA lake kamili aliiitwa Meddie Manyara. Hii ilikuwa ni mara yake ya kwanza kukanyaga katika majengo ya Shule ya Sekondari ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. Meddie alikuwa amehamia katika shule hiyo na kujiunga kidato cha nne akitokea Tabora alikokuwa akisoma katika Shule ya...
  4. JamiiForums Tanzania Shukurani ya Punda ni Mateke, aliyefundishwa na Mwalimu leo ni wa kwanza kumtukana Mwalimu

    Habari wa wakati huu JF members. Na imani mkoa powa sana, niende moja kwa moja kwenye jambo lililonifanya nipost kwma mara ya kwanza humu JF. Mimi siyo mwalimu na sijawahi kuwa mwalimu na ndoto ya kuwa mwalimu lakini hili swala la wanajf kuwatukana walimu ni mambo ya ushamba na ujinga...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Ninaamini, leo angelikuwepo Mwl. Nyerere, angekuwa wa kwanza kusema yalikuwa makosa kuwapa Wazanzibari Ardhi ya RAZABA huko Bagamoyo

    Hadi hivi sasa huko Razaba, kuna watu wanaendesha shughuri zao za kila siku, na hii ni kwa sababu, hapakuwa na kufahamu iwapo eneo hilo linamilikiwa na Wazanzibari Unajiuliza, watu hao sasa wahamie wapi Kwamba nchi iliyo na watu milioni 59+ igawe aridhi yake kwa nchi yenye watu milioni 1+...
  6. JamiiForums Tanzania Taafikiane hili kwanza

    Mapenz ni starehe Wala siyo ugomvi.....na unapoenda kuonana na mwenzio unajua kabisa waenda kustarehe.....sasa tukubaliane kwenye faragha zetu ni ruksa kushikwa popote Ili mradi tu najisikia vizuri kufanya hivyo I mean tusipangiane pa kushika... wanawake wastaarabu kidogo hawana Ubishi...
  7. JamiiForums Tanzania Clip ya RC Chalamila imenikumbusha mara ya kwanza nilipohudhuria mazishi ya kiislamu. Yale mafundisho nlopata pale huwa yananirudia akilini

    Kuna Clip ya RC Chalamila anasifia mazishi ya waislamu. Pale RC kiukweli kasema ukweli mtupu. Nakumbuka siku moja nilihudhuria mazishi ya muislamu mmoja mtaani kwetu, huyo marehemu alikua ni mtu mkubwa kdg na anafahamika hvyo kwenye mazishi alikuwepo Shehe mkuu wa msikiti wa pale mtaani, Shehe...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman?

    Ni kitambo kidogo tangu kiongozi huyu aonekane hadharani. Ni zaidi ya miezi karibu 7 Mhe. Othman hajaonekana kwenye tukio lolote la Kitaifa. Mfano ni hivi karibuni Masoud hakuwepo Dodoma katika Hafla ya Uzinduzi wa Ikulu ya Chamwino. Si hivyo tu, hata kwenye matukio makubwa ya Kisiasa visiwani...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Hivi hii kanuni ya biashara ni kweli mwenye duka hakupi kitu bila hela asubuhi mpaka auze kwanza?

    Habari. Mi mwenzenu sijui nikoje haya maimani ya ajabu ajabu yananipa shida sana huku duniani yaani huwa hata siwazagi haya mambo. Sàsa mimi nina ela yangu msimbazi safi nahitaji kitu kwenye duka chenji hana na mimi kutembea na hela ndogo ndogo siwezi namwambia mwenye duka nasi nipe bidhaa...
  10. JamiiForums Tanzania Shonza: Kwa Mara ya Kwanza Tutampitisha Rais Mwanamke kwa Kishindo Mwaka 2025

    MHE. JULIANA SHONZA - "KWA MARA YA KWANZA TUTAMPITISHA RAIS MWANAMKE KWA KISHINDO MWAKA 2025" "Tutampitisha Rais Mwanamke Madarakani kwa mara ya kwanza mwaka 2025 kwa kumpigia kura za kutosha, kura za heshima. Hatutamchagua kwa sababu ni Mwanamke, hatutamchagua kwa sababu ni takwa la Serikali...
  11. JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu binafsi baada ya fainali ya kwanza ya shirikisho

    USMA walijiandaa zaidi ndani na nje ya uwanja kuikabili YANGA SC, ila YANGA SC wao mbali na kujiandaa kumkabili mwarabu, pia waliweka jitihada zao za ziada kumkomoa SIMBA SC. Kwa mantiki hii, utani wa jadi wa timu zetu hizi mbili nchini, mara nyingi ni wenye kuumiza upande mmoja au mwingine...
  12. JamiiForums Tanzania Apata Degree ya kwanza akiwa na miaka 78

    ✍🏿Mwanamama/Bibi Victoria Adhar mwenye umri wa miaka 78 amepokea Bachelor's degree yake pale University of Juba, South Sudan🇸🇸 . Picha: Bibi Victoria Adhar --- A member of the national parliament graduated from the University of Juba on Saturday at the age of 78, becoming the second oldest...
  13. JamiiForums Tanzania Safarini NAIROBI kibiashara kwa Mara ya kwanza 🤔

    Nipo njiani kulielekea jiji LA Nairobi nchini Kenya kibiashara ni kiri tu ndo mara ya kwanza kwenda nchi hii kibiashara Tofauti na mara mbili nilizokwenda kwa shughuli nyingine na tulikwenda jumuia Njia ni Sirari au Isibania MWENYE UZOEFU NA NJIA HII LAKINI PIA JIJI HILO
  14. JamiiForums Tanzania Makachero wa Mashujaa FC wabaini mauzauza uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza

    Hapo jana jioni makachero wa Mashujaa FC wamebaini mauzauza waliyofanya timu ya Pamba FC kwenye uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza kwa kuchimba sehemu za uwanja na kufukia Ndumba. Maeneo ambayo wamechimba ni kwenye sehemu za kupigia penat kwa magoli yote mawili na upande mmoja ndani ya 18 na...
  15. JamiiForums Tanzania Mwanasoka wa kwanza katika historia ya uingereza kuipandisha timu yake kutoka madaraja ya chini kabisa mpaka daraja la juu.

    Pelly Ruddock Mpanzu (amezaliwa 22 Machi 1994) ni mwanasoka wa kulipwa ambaye anacheza kama kiungo Katika klabu ya Luton Town Ambayo Imefanikiwa Kupanda Ligi Kuu ya Uingereza Msimu ujao. Pelly Alizaliwa Nchini Uingereza ila aliamua kuwakilisha Taifa la Wazazi wake DRC na Anacheza Katika timu...
  16. JamiiForums Tanzania Baada ya Serikali kutenga Tsh. Bilioni 1.4 kwa ajili ya Chuo cha VETA Rorya, awamu ya kwanza ya ujenzi yaanza

    Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imetenga kiasi cha Shilingi Bilioni 1.4 kwa ajili ya ujenzi wa Chuo cha Ufundi (VETA) cha kwanza kitakachojengwa Wilaya ya Rorya. Chuo hicho kitajengwa kwa awamu mbili ambapo kwa awamu ya kwanza ni ujenzi wa majengo 9. Mkuu wa...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Jukwaa la kwanza liliwapa raha sana mahasimu wa Chadema, sasa shangilieni na hilo

    johnthebaptist sherehekeeni na hili jukwaa la miti la pili. Mlidhani kuwa wataacha kushabulia kama nyuki kwa kejeli za jukwaa, NEVER, kazi moto moto!
  18. JamiiForums Tanzania Kuelekea mechi ya kwanza ya fainali ya CAFCC siku ya jumapili

    Jumapili ndani ya dimba la Mkapa inaenda kuwekwa historia ya fainali ya kwanza ya mchezo wa CAF kwa ngazi ya vilabu. Ni fainali ya CAF confederation cup, tukumbuke tu kuwa mara ya mwisho Yanga kupoteza mechi katika michuano hii ilikuwa ni rarehe 12 mwezi wa 2 mwaka 2023 dhidi ya Monastir...
  19. JamiiForums Tanzania Ukimtongoza mwanamke na akakuambia muwe marafiki kwanza ujue hapo amekukataa tayari jiongeze achana naye

    Katika harakati za kutongoza huwaga mwanaume anakutana na majibu mengi mojawapo ni hili la mwanamke kumwambia mwanaume wawe marafiki ukweli ni kwamba hapa umeshakataliwa tayari Kama mwanamke kavutiwa na mwanaume kamwe hawez mwambia wawe marafiki lazima atamkubali ila kama hajavutiwa na mwanaume...
  20. JamiiForums Tanzania Nilivyokula kuber mara ya kwanza

    Ilikuwa mwaka 2004 nikiwa darasa la 6. Alikuja ndugu yangu toka mjini na kuja na kuber. Ilikuwa jioni flan kijijini wakatii huo kumetulia watu tunasubiri ugali wa usiku, kipindi hicho hakuna milo miwili wala mitatu, asubuhi uji,mchana matunda shambani usiku ndio chakula. Nimekaa njaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…