kwanza

The kwanza (sign: Kz; ISO 4217 code: AOA) is the currency of Angola. Four different currencies using the name kwanza have circulated since 1977.
The currency derives its name from the Kwanza River (Cuanza, Coanza, Quanza).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Taifa kwanza wakati wa Tanzania kuweka utaifa juu ya tofauti zetu

    Utangulizi Katika kipindi ambacho dunia inapitia mabadiliko makubwa ya kisiasa, kiuchumi, kijamii na kiusalama, kuna jambo moja ambalo linajidhihirisha wazi zaidi kuliko wakati mwingine wowote: mataifa ambayo yanaweza kusimama imara mbele ya changamoto kubwa ni yale ambayo wananchi wake wana...
  2. JamiiForums Tanzania Mwabukusi: Kama tunataka kupona kitaifa tutibu kwanza majeraha

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakilj Boniface Mwabukusi, amesema Tanzania inahitaji umakini, kusikilizana na kukubali makosa ili kujenga maridhiano na kuanza mchakato wa uponyaji wa taifa. Mwabukusi amesema hayo Agosti 28, 2026, katika Jukwaa la Demokrasia, akisisitiza kuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Wanaharakati, kabla ya kudai-ulizeni kwanza! Deogratius John Ndejembi ni kijana wa Dodoma

    WANAHARAKATI, KABLA YA KUDAI-ULIZENI KWANZA! DEOGRATIUS JOHN NDEJEMBI NI KIJANA WA DODOMA. Wanaharakati, kama hamjui jambo fulani, ni vyema kuuliza. Kuna watu wako tayari kuwasaidia kupata taarifa sahihi badala ya kukurupuka na kutoa hitimisho lisilo na msingi. Jambo dogo kama kutokujua asili...
  4. JamiiForums Tanzania Ma Gen Z tulieni kwanza

    Aluu!
  5. JamiiForums Tanzania Bunge La Kumi Na Tatu, Mkutano Wa Nne, Kikao Cha Kwanza Tarehe 26 Agosti, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=8BRE4ErdPYg
  6. JamiiForums Tanzania Tulikubaliana hii serikali hatuitambui kwanza sio halali kinachotokea hapa jukwaani ni usaliti

    Ni baada ya ule uchaguzi tukala yamini kuwa serikali hii imeingia madarakani bila ridhaa ya wananchi na tukasema kuwa hii serikali si halali na hatuitambui hiki kitendo cha kumuona mng'atukaji wa serikali batili kuwa ni malaika ni usaliti
  7. JamiiForums Tanzania Sijui niliyoyasoma Kwenye Laptop waliyomnyang’anya Lopelope niyeweke wazi au nijiridhishe kwanza?

    Nilipata bahati ya kupenyezewa mawazo Mazuri tu yaliyokuwa kwenye mpakato wa LOPELOPE , Kwa hatua na Balozi Mkubwa kuachia ngazi yaweza kuwa step stone ya kuelekea Chanya Kama karata zitachezwa vema Ngoja niyachatakate nimerudi Britanicca Mpaka kieleweke! Balozi tuko pamoja Soma uzi huu 👇🏽👇🏽...
  8. JamiiForums Tanzania Myebusi ni toleo la kwanza na la Mwisho la Mwanaume

    1. Myebusi siyo romantic. Huwezi mkuta Myebusi anabembeleza demu au anakuwa romantic. Yupo very strict and calm. Ila anajua sana kulea familia. 2. Myebusi hakimbii mtoto au mke. Myebusi unaweza mkuta anawatoto hata 10 wote atawahudumia vizuri na wake mke wake bila shida 3. Nlisema Wayebus...
  9. JamiiForums Tanzania Itakuwa ndio mara ya kwanza tangu tupate uhuru makamu wa Rais kutolewa madarakani,CCM ijitafakari sana, siasa zao sasa hazilijengi Taifa.

    Yote hii ni matakwa ya watu watano tu chamani yatimizwe, CCM yote kwa sasa iko kwa watu watano tu!na sio timu tena! Wengine wote wanaburuzwa tu, hawana cha kuamua wala chakulaani, ni watu wanao pewa maamuzi tu na sio kuyajadili kwa pamoja, mnatamani mshauri lakini hamna huo huwezi na hakuna...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mory Kanté na 'Yé Ké Yé Ké': Wimbo wa kwanza wa Kiafrika kuuza nakala milioni 1 duniani (Uchambuzi wa kiweledi)

    Habari za wakati huu wana-JamiiForums (JF Entertainment Forums), Leo naomba tuangazie kidogo historia ya muziki wa Afrika kupitia maisha ya gwiji mmoja na wimbo ulioweka alama isiyofutika duniani kote. Huu ni wimbo wa "Yé Ké Yé Ké" wa mwanamuziki mashuhuri kutoka Guinea, Mory Kanté, uliotolewa...
  11. JamiiForums Tanzania Tangu tupate uhuru, Tundu Lissu ndio atakuwa Mwanasiasa wa kwanza Kunyongwa kwa ajili demokrasia ya taifa lake

    Hakuna mwingine ambae alishaandika historia kama ya Tundu Lissu. Kusingiziwa kesi isiyo na mashiko wala mbele. Kama watamtia hatiani atakuwa Mwanasiasa wa kwanza kumwaga damu yake kwa ajili ya demokrasia ya taifa lake.
  12. JamiiForums Tanzania Wanawake wanapenda kuombwa tendo siku ya kwanza unayokutana naye, unakuta wengine wamechangamka wanakupa siku hiyo hiyo

    Hii nilichelewa kuigundua aisee, baadhi ya wanawake wengi wanapenda wanaume machachali ambao wanatamaa ya tendo mda wote, na wanapenda ile siku ya kwanza tu unayokutana naye ukamuomba tendo na ukamlilia kabisa akakupe siku hiyo hiyo Na ukimkuta yupo kwenye mood anaenda kukupa chap tu ...
  13. JamiiForums Tanzania Dini ilianza pale mjanja wa kwanza alipokutana na mjinga wa kwanza.

    Dini biashara yenye faida kubwa sana nje ya teknolojia, mafuta na madawa ya kulevya Wanafaika ni viongozi wa dini na kondoo ndo wateja wazuri na wakubwa Zinduka bado hujachelewa Taikuni la kuwastua wanaotapeliwa kiimani hasa wakristo Kubwa la Maadui
  14. C

    JamiiForums Tanzania Kwa tunapoelekea Tutakua Tunasalia ndani

    I hope mko poa wakuu. Hivi ni hili kanisa letu au yote ya kilokole michango ni mingi yaani hawaangalii unaingiza sh ngapi ni michango tu ata ukitoa ulichonacho unaambiwa ni kidogo mara sijui unamubia Mungu mara wewe ni kaidi. Mungu atanisamehe kwenye haya maamuzi. Kuna; -Mchango wa ujenzi...
  15. JamiiForums Tanzania Familia kwanza au kazi kwanza?

    Wapo wanaosema, kazi ndio kila kitu; wapo tayari kuipambania kazi zao kuliko familia, wakiamini familia ikiharibika kazi itamsitiri kwa kumpatia fedha na kuanzisha familia nyingine. Je, wewe kwa mtazamo wako, kwako ni kazi kwanza au familia kwanza?
  16. L

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Si Mlisema Lissu Ni Kama Nelson Mandela? Sasa Mnalialia Nini? Basi Acheni Afikishe Kwanza Miaka 27 Gerezani Kama Mandela

    Ndugu zangu Watanzania, CHADEMA ningewaomba mkae kwa utulivu na muache kulialia na kupiga makelele yenu Maana Mlisema Lissu ni kama Mandera. Hivyo Acheni Lissu naye akae miaka 27 kama ilivyokuwa kwa Nelson Mandela. Sasa hata Miaka mitano bado kuifikisha akiwa gerezani nyie tayari Mmeanza kutia...
  17. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndindi Nyoro Achora Mstari: “Ulimtukana Gachagua? Kwanza Omba Msamaha

    Mbunge wa Kiharu Ndindi Nyoro amesema hatakuwa tayari kushirikiana na viongozi waliomtukana au kumdhalilisha aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua, hata kama wataamua kuondoka UDA na kujiunga na upinzani. Nyoro alisema viongozi wa UDA waliomkosea Gachagua na sasa wanataka kujiunga na People’s...
  18. JamiiForums Tanzania Aachiwe huru ili aende wapi kwa mfano muhalifu huyo?

    Ili akachochee upya ghasia uharibifu na maafa tena? Mi nadhani anawajibika kwa 100% katika kupanga, kuratibu na kuchochea ghasia, uharibifu na maafa ya 2025, ambapo sote ni mashahidi na waathirika wa matukio yale ya kigaidi aliyoyatangaza hadharani kua atakinukisha. Lakini pia hastahili kua nje...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Akitoka tu, stop ya kwanza ni Belgium for health check up. Wahuni siyo watu wazuri

    Code tayari, tuendelee na sala na kumuomba MUNGU. Tarehe 21 mkono wa NDUGU katika BWANA uandike No case to answer
  20. M

    JamiiForums Tanzania Paulo Chacha: Lengo la Kwanza la CCM ni kushika Dola

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayeshughulikia Oganaizesheni, Paulo Chacha, amesema CCM imejijengea msingi imara wa kisiasa unaoiwezesha kuendelea kushinda uchaguzi katika ngazi mbalimbali za uongozi nchini, huku ikijiwekea lengo la kuendelea kuongoza dola...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…