chai ya rangi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2026
- 1,038
- 3,081
kwa wale mliojaaliwa kuwa na mtoto au watoto. Je, ulimpata mtoto wako wa kwanza ukiwa na miaka mingapi ?
Ulipanga au ilitokea kwa bahati tu ?
Swali special kwa wanawake: ulipata mimba kwa mara ya kwanza ukiwa na miaka mingapi ?
( maana najua hapa wengi huwa wanapata alafu wanatoa )
Ulipanga au ilitokea kwa bahati tu ?
Swali special kwa wanawake: ulipata mimba kwa mara ya kwanza ukiwa na miaka mingapi ?
( maana najua hapa wengi huwa wanapata alafu wanatoa )