kwanza

The kwanza (sign: Kz; ISO 4217 code: AOA) is the currency of Angola. Four different currencies using the name kwanza have circulated since 1977.
The currency derives its name from the Kwanza River (Cuanza, Coanza, Quanza).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Elimu ya katiba kwa watanzania kipengele kwa kipengele, kuanzia ibara ya kwanza! (Darasa la wazi)

    Jamii forum darasa la katiba ni muhimu sana ukizingatia jukwaa hili lina watumiaji wengi na wapita njia wengi nikimaanisha wanaosoma humu na ambao si wenye kujisajili.
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini wachezaji wa Al Ahly walikuwa wanaonyesha 2-2 toka goli la kwanza lilivyofungwa?

    Good morning ladies and gentlemen, Jana nilipata nafasi ya kuangalia boli la AFL. Sina mengi ya kusema maana nimepumzika kuongelea sana kuhusu mambo ya mpira huku mitandaoni ila nina maswali mawili. Kuna ishara ya vidoli viwili kwa kila mkono ambavyo wachezaji wa Al Ahly waliifanya baada ya...
  3. JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz ndio msanii wa kwanza toka Tanzania kuimba jukwaa kubwa la CAF (AFCON). Kama atatokea mwingine anarudia

    Ogopa matapeli, Diamond Platnumz (shabiki damu wa Yanga)ndio msanii wa kwanza toka Tanzania kuimba jukwaa kubwa la CAF aliimba kwenye AFCON Gabon 2017. Tunaweka kumbukumbu sawa ili kuondoa upotoshaji wowote unaoweza kuja kufanyika.
  4. JamiiForums Tanzania Angalia hizi picha kwanza ndiyo utoe maoni yako

  5. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza leo nimeona kijiwe cha kahawa cha wanawake

    Great thinker Shuhudia na wewe usingoje kusimuliwa.
  6. JamiiForums Tanzania Nimeota Jean Baleke atafunga goli la kwanza zuri Uzinduzi wa AFL, japo pia ataumia. Nitaumia sana

    Baleke, Chama na Kibu wataivusha Simba SC kwenda semis Mungu atupe heri ya Uzima ijumaa itakuwa raha na furaha kwenye uwanja tukufu wa Mkapa. Inshallah Tanzania tumepata heshima kubwa sana. Simba SC tumeitengeneza hii heshima na tuilinde kwa wivu mkubwa sana. Shukrani 🙏🙏🙏
  7. JamiiForums Tanzania Nazitafuta hizi album za kwanza kwanza za wasanii hawa

    Ni muziki wa kati ya miaka 2000 hadi 2010 hivi. Nazitafuta albums z wasanii hawa chini hasa albums zao z kwanza kabisa 1.RAY C 2.Q-CHIEF 3.BANANA ZORRO 4.LADY JAYDEE 5.MB DOGGY ILE YA MAPENZI KITU GANI NZIMA 6.MR NICE ZOTE HATA KAMA UNAZO ZINGINE ZA ZAMANI SIO MBAYA UKA SHARE PIA.
  8. JamiiForums Tanzania Ndege ya Kwanza kutengenezwa Tanzania yazinduliwa

    Serikali ya awamu ya 6 chini ya Rais Samia inazidi kuonesha na kutafsiri mafanikio ya sekta ya Viwanda Kwa vitendo. Sasa ni zamu ya viwanda vya Kutengeneza ndege ambapo ndege ya Kwanza iliyoundwa ndani ya Nchi skyleader 600 imeoneshwa na kuzinduliwa rasmi kwenye maonesho ya wazalishajo wa...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amekuwa Rais wa kwanza mwanamke, Makamu wa Rais wa kwanza kurithi Urais

    Hayo mawili ya mwanzo yako wazi, ila hili tatu linahitaji watu wenye akili tulivu kulikubali na kulielewa. Hatakuwa rais wa kwaza kushindwa uchaguzi kwani wapo walioshindwa na kuendelea kubaki madarakani. 2015, 2020 ni mifano hai, ila kwa sasa hali imebadilika, atalazimika kukubali na kuyapokea...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kuvamiwa kwa Israeli, mzaliwa wa kwanza wa Mungu Mwenyezi, inaashiria nini kwa dunia?

    Hello JF, kama kichwa cha thread kinavyoeleza....Isreali kutokana na maandiko matakatifu ni taifa linalofahamika miongozi mwa mataifa yote duniani kama mzaliwa wa kwanza wa Mungu Mkuu (the first born of God), je hili linaloendelea la kuvamiwa na magaidi linaleta taswira gani kwa dunia? karibuni...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Kuzaliwa wa kwanza siyo ishu ya wewe kuwa lango la baraka

    Baada ya mtumishi mmoja kufundisha huu ya suala hilo la malango, Mungu anaweza kumtumia aliyezaliwa kwenye familia husika yeyote yule hata kama si wa kwanza kuzaliwa. Kanuni za kiroho ni tofauti na mambo ya kimwili, tuone mfano: Essau na Jacob Reuben hakuchaguliwa Daudi alikuwa ni mdogo kuliko...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza nimefika Mwanza nimekutana na stand Mpya ya Nyegezi. Hayati Magufuli CCM ilipoteza Rais!

    Ninarudia kusema CCM kumpoteza Magufuli ili pata hasara ya Karne moja. Nyegezi kulikuwa Bondeni na eneo lisilofaa leo nimekuta kifaa kama airport. Magufuli Ulifanya kazi nzuri tutakukumbuka. Bado ninasikia kuna stand nyingine Huku Mwanza imejengwa na Magufuli Ndio ninaelekea huko kuangalia...
  13. JamiiForums Tanzania CV ya Kikeke ina Ukakasi hawezi kuajiriwa serikalini, alianza darasa la kwanza na miaka 4

    Kikeke kutangaza BBC ni sababu ya uwezo na kipaji sio vyeti. Baada ya vetting CV yake ina ukakasi, huwezi kuzaliwa 1978 ukawa na diploma 1994, age mate wake tunafahamu kuwa enzi zile kuanza darasa la kwanza ni miaka nane au tisa, so utamaliza darasa la saba na miaka 14, jumlisha miaka 4 ya...
  14. JamiiForums Tanzania 1998 Mara ya kwanza Kwa timu ya Tanzania kucheza group stage

    Wakati mnafurahia Tanzania kuingiza timu mbili group stage klabu bingwa Kwa mara ya kwanza mwaka huu basi msisahau Tanzania ilipoingiza timu Kwenye group stage ya klabu bingwa ilikuwa 1998 Young Africans ilipowatoa watanzania tongotongo Kwa kutinga group stage.
  15. JamiiForums Tanzania Nimepokea mzigo wa kwanza kutoka AliExpress

    Wakuu habari. Baada ya kusoma ule uzi ambao jamaa alielezea jinsi ya kuagiza smart watch kutoka AliExpress na mimi nikasema wacha nijaribu. Kuna simu yangu ilivunjika kioo nilipouliza dukani nikaambiwa kinauzwa laki na nusu. Nikasearch AliExpress nikakuta kinauzwa 58,000. Niliweka oda na...
  16. JamiiForums Tanzania Ibada ya Wakristo kuabudu Jumapili imeanza Karne ya nne. Ni kwanini Karne 3 za kwanza watu waliabudu Jumamosi?

    Kwanza kabisa naomba msingi wa uzi huu uwe kwenye ukristo, maana tukiongea kwa misingi ya madhehebu yetu hatutafika lengo letu. Karne ya kwanza ya 1, 2, 3 watu walipumzika na kuabudu siku ya Jumamosi mwanzoni mwa Karne ya nne watu fulani waliamua kubadili siku hii na kuhamia Jumapili. Je...
  17. JamiiForums Tanzania Jadon Sancho azuiwa kutumia vifaa vyote vya kikosi cha kwanza Man United

    Jadon Sancho Uamuzi huo ambao umeelekezwa anapokuwa kwenye Viwanja vya Mazoezi vya Carrington, umechukuliwa ikiwa ni mwendelezo wa adhabu kutokana na mgogoro wake na Kocha wa ManchesterUnited, Erik ten Hag Sancho amegoma kuomba radhi baada ya kumshambulia kocha wake kupitia Mtandao wa Kijamii...
  18. JamiiForums Tanzania Aliyemuelewa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar atusaidie na sisi kuelewa

    Mara zote wadau wa siasa wamehoji malengo na dhamira halisi ya ACT WAZALENDO kwenye siasa za Tanzania , mpaka sasa bado majibu yanatafutwa . Sasa tunaomba aliyemuelewa kiongozi wao huyu atusaidie kuelewesha wengine Mkubwa huyo amedai kwamba Wawekezaji Waje nchini Tanzania , maana hali ya...
  19. JamiiForums Tanzania Je, ni haki mtoto wa Chekechea au la kwanza kufundishwa hesabu za kukopa?

    Je, ipi ni ngazi sahihi kwa mujibu wa mtaala kwa mtoto kufundishwa hesabu za kutoa kwa mtindo wa kukopa?
  20. JamiiForums Tanzania Mara yangu ya kwanza kupiga punyeto!

    Nilibaatika kusoma shule ya vipaji maalumu tu punde baada ya kumaliza darasa la saba,, uko nilibaatika kukutana na marafiki wa aina mbalimbali, Shule yetu ilikua ni ya bweni. Ambapo ilikua ni jinsia moja tuu, kama mnavyojua kwamba, "kwenye msafara wa kenge MAMBA naye huwa akosekani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…