kwanza

The kwanza (sign: Kz; ISO 4217 code: AOA) is the currency of Angola. Four different currencies using the name kwanza have circulated since 1977.
The currency derives its name from the Kwanza River (Cuanza, Coanza, Quanza).

View More On Wikipedia.org
  1. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Unapowaambia wakazi wa mkoa wa Kagera kuhusu gari wanachowaza kwanza

    Corona Premio the number one choice ya kina Rweyemamu wa Muleba, Muganyizi wa Karagwe, Kalikawe wa Kiziba. Tasipota..
  2. J

    JamiiForums Tanzania Adamu: Mwanadamu wa Kwanza Ulimwenguni

    Adamu: Mwanadamu wa Kwanza Ulimwenguni Adamu ndiye mwanadamu wa kwanza kuishi ulimwenguni. Kuumbwa kwa Adamu “Bwana Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi, akampulizia puani pumzi ya uhai; mtu akawa nafsi hai’’ (Mwanzo 1: 26-27; 2:7) Binadamu wa kwanza ulimwenguni, Adamu na mkewe Hawa. Wote...
  3. M

    JamiiForums Tanzania VIONGOZI AINA YA MAGORI PALE SIMBA NI TATIZO LA KWANZA KWENYE MANAGEMENT, WANAZO AKILI ZA KIZAMANI NA MAMBO YA KIZAMANI!

    Niliwai kusema ya kuwa Simba inaongozwa na wazee ambao Awana Tena ubunifu wa kuipeleka timu mbele bali wamebakia na mawazo ya kizamani na akili za kizamani awabadiliki kulingana na wakati bali wamekwamia hapo walipo Awana vision yoyote ya kuivusha Simba! Viongozi awa wamekuwa wakicheza sana na...
  4. Thabit Madai

    JamiiForums Tanzania DIARA KUFUNGWA LEO KWA MARA YA KWANZA

    -Naitazama Forward Line ya Simba yenye Ateba,Kibu na Balua kisha naitazama Defense Line ya Yanga yenye Yao,Boka Job na Bacca. Yanga wakimkosa Bacca leo akacheza Mwamnyeto namuona Ateba akienda kushangilia kwenye kibendera... Namuona Diarra akienda kuokota mpira kambani kwa mara ya kwanza msimu...
  5. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Wanaouliza eti Benja mbona hafi kishujaa kama wengine. Kwanza: Ushahidi huu hapa alipokuwa jeshini. Pili: Mnaoita mashujaa ni magaidi na matapeli

    SOURCE BBC: Benjamin Netanyahu, Israel's defiant leader "Katika umri wa miaka 18, alirudi Israeli, ambapo alitumia miaka mitano mashuhuri katika jeshi, akihudumu kama nahodha katika kitengo cha makomandoo wasomi, Sayeret Matkal. Alijeruhiwa katika uvamizi wa ndege ya Ubelgiji iliyotekwa nyara...
  6. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Dube atakuwa mchezaji wa kwanza kufunga derby ya keshokutwa

    Namwona Dube katika ubora wake mpaka sasa Dube atakuwa mchezaji wa kwanza kufunga goli katika Derby ya keshokutwa All d best mwamba...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wale mliofanikisha interview ya kwanza mkatoboa written na oral na placement karibuni hapa

    Nimefungua uzi huu kwa ajili ya kupata shuhuda za wale waliofanikiwa kutoboa kwenye interview ya kwanza tu hapo PRSR. Watie moyo watu ambao wameonekana kukata tamaa!! Waeleze walijiandaaje hata kufanikisha zoezi la kupata ajira/placement kwenye jaribio lao la kwanza tu!! Karibuni!
  8. econonist

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu Shahidi wa kwanza kamaliza kesi ya Gachagua

    Huyu Shahidi wa kwanza upande wa Bunge la Taifa , Mh Mwenge Mutuse ameshamaliza kesi. Inaonekana alitoa lawama bila kuwa na ushahidi Maalum. Yani anaulizwa maswali na wakili wa Gachagua amebakia kushangaa. Kama yeye aliyeleta Muswada wa kumuindoa Gachagua madarakani anashindwa kujibu maswali...
  9. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Watoto wa kidato cha kwanza wanacheza mchezo wa upatu, Taifa linaelekea wapi?

    Habari! Mama mmoja aliniambia kuwa amepigiwa simu akiambiwa mtoto wake binti wa kidato cha kwanza anadaiwa pesa na wanafunzi wenzako shule ambayo kahama. Mama alihama kutoka Wilaya ya TEMEKE na sasa yuko wilaya ya Ilala na binti alipatiwa uhamisho. Zamu yake ya kuchukua pesa ilishapita na...
  10. E

    JamiiForums Tanzania TBC mmedanganya. Nyerere hakuwa wa kwanza Afrika kustaafu kwa hiari

    MHESHIMIWA Léopold Sédar Senghor Rais kwa kwanza wa Senegal Alistaafu kwa hiari December 1980 MHESHIMIWA Ahmadou Babatoura Ahidjo Rais wa kwanza wa Cameroon Alistaafu kwa hiari November 1982
  11. O

    JamiiForums Tanzania Nini cha kufanya kwanza unapoumwa na nyoka, ili kuokoa maisha?

    Karibu 300% ya nyoka wote duniani wana sumu, na 50% ya visa vya nyoka wanaowauma binadamu huwa hawaachi sumu ndani ya mwili wakati wa wanapomuuma binadamu. Kwa hivyo ni karibu visa 15 kati ya 100 ya nyoka ambapo muathiriwa huhitaji matibabu Nini cha kufanya ukiumwa na nyoka ili kuokoa maisha...
  12. aBuwash

    JamiiForums Tanzania Wakulima wa Korosho Mtwara, Mnada wa kwanza kilo 4075-4070

    Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Ushirika cha TANECU, Karimu Chipola amefungua rasmi mnada wa kwanza leo Na bei ndo ni kuanzia kilo 4075 hadi 4070 Kwa kweli hongereni wakulima hiyo ni babu kubwa sana
  13. J

    JamiiForums Tanzania Muda wa kwenda chuo mwezi huu vitu gani vya msingi kwa mwaka wa kwanza kuwa navyo hasa kwa Kozi za Udaktari

    Na kuhusu vyuo vya udaktari Bora
  14. nipo online

    JamiiForums Tanzania Dhana ya mshahara wa kwanza kutolea sadaka ya malimbuko

    Unapokua katika msoto wa kutafuta kazi kiutaratibu wa matoleo unapaswa kuupeleka mshahara wote baada ya malipo yako ya kwanza kama malimbuko kanisani. Hii inakusaidia kukulinda kazini dhidi ya kutimuliwa kazi, afya, figisu, nk. Karibuni kwa wale wakuongeza nk. Hii ni kwa watu wote hata uwe nani.
  15. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya Kwanza ya Waislam Dhidi ya Serikali ya Tanzania 1993

    https://youtu.be/54VeeqGdKSM?si=NBeY8vML9_8vFrmY
  16. Gol D Roger

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa gari la kwanza

    Naombeni ushauri wataalamu, nataka kuchukua gari, gari ambalo ni reliable, less costly and low fuel consumption, kwasababu ndo gari la kwanza nataka gari ambalo halitaniumiza kichwa then badae mambo yakienda sawa nita upgrade. Kwa uchunguzi niliofanya nimekuja kugundua mafundi wengi wa magari...
  17. Brojust

    JamiiForums Tanzania Watu wote hapa ambao hawaamini kama Mungu yupo someni hapa

    Shalom watu wa Mungu. Moja kwa moja kwenye mada, wanasayansi na wana imani watatusaidia. Je, Uhai wako ulianza tu pale ambapo mbegu moja ya mzee wako ilipokutana na yai la mama yako ? Je ulikuwa unajitambua kwamba tayari mimi ni binadamu na ile miezi tisa wakati uko tumboni ulikuwa unahisi...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Israel yathibitisha kifo cha mwanajeshi wake wa kwanza tangu uvamizi wa Lebanon

    Mwanajeshi wa kwanza wa Israel amethibitishwa kuuawa ndani ya Lebanon tangu uvamizi wa ardhini kuanza. Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) lilitangaza katika taarifa kwamba Kapteni Eitan Yitzhak Oster, 22, aliuawa ndani ya Lebanon siku ya Jumatano. Kijana huyo mwenye umri wa miaka 22 alikuwa katika...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Nafikiri Israel Itapotezea kulipa Kisasi kwa Iran mpaka imalizane na Hizbola kwanza. Iran itawekwa kiporo kama Hizbola wakati wanashambulia Hamas

    Wakati Israel inashambulia magaidi wa Hamas na Hizbola ilianza kushambulia Israel ili ipoteze lengo Lakini wakaawacha tangu October 7 Hadi juzi zamu yao ilipofika Ayatollah akae Kwa kutulia asubiri zamu yake INGAwa Nia na nguvu ya kupigwa ilikuwepo sababu ndo ilikuwa inatafutwa Kwa Sasa sababu...
  20. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania TRA yaweka Rekodi Mpya. Yakusanya Trilioni 7.79 kati ya Julai na Septemba 2024

Back
Top Bottom