kwanza

The kwanza (sign: Kz; ISO 4217 code: AOA) is the currency of Angola. Four different currencies using the name kwanza have circulated since 1977.
The currency derives its name from the Kwanza River (Cuanza, Coanza, Quanza).

View More On Wikipedia.org
  1. mambo_safi

    Orodha ya waliochaguliwa kidato cha kwanza 2025 inatoka lini?

    Mbona kama selection ya form one 2025 imechelewa kiasi hiki? Tatizo nini? Leo tarehe 3 December bado kimya na mwezi ujao ndo January!
  2. Pfizer

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa yatangazwa mshindi wa kwanza tuzo ya umahiri katika utayarishaji bora wa taarifa za hesabu kwa mwaka 2024

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imeendelea kung'ara katika uwanja wa usimamizi wa fedha za Umma. Katika hafla ya tuzo iliyofanyika usiku wa tarehe 29 Novemba 2024, DCEA ilitangazwa mshindi wa kwanza tuzo ya umahiri katika utayarishaji bora wa taarifa za hesabu kwa...
  3. B

    Unaikumbuka simu yako ya kwanza!?

    Unaikunbuka simu yako ya kwanza kabisa!? Ilikua ya aina gani?
  4. S

    Kama Mwanaume, lazima ujue lengo la kwanza la Mwanamke ni Mwanaume

    Yes huu ni ukweli mchungu ambao lazima Kila kijana wa kiume anayetaka kuingia kwenye ndoa aujue..........huyu ni mdogo wetu,ndugu yetu,jamaa yeti,alioa kwa mbwembwe mwanamke daktari,ndoa ina miezi nane sasa,mke ameenda masomoni mkoa mwengine kilomita zaidi ya 800,yupo busy na masomo Jamaa...
  5. Dabil

    Timu aliyotoka kocha wa Yanga Yashinda mchezo wake wa kwanza

    Hapo jana timu aliyotoka kocha wa Yanga Ts Galaxy imeibuka na ushindi wa goli 1 kwa 3 ikiwa ugenini dhidi ya Sekhukhune ambayo ipo nafasi ya 7 kwenye msimamo wa League. Timu hiyo imeonja ushindi wa kwanza kwa msimu huu baada ya kocha wao wa zamani kuondoka. Kocha huyo mpya wa Yanga jana...
  6. S

    Kama jengo la Kariakoo ni miongoni ya yaliyosemwa kujengwa kinyume cha kanuni na Tume ya Lowassa, serikali ishitakiwe ili ifidie wahanga mabilioni!

    Kamati iliyoteuliwa mwaka 2006 na Waziri Mkuu wa wakati huo Edward Lowassa, ilibaini kuwa majengo 147 kati ya 505 yaliyokaguliwa jijini hayakuwa nyaraka na vibali sahihi vya ujenzi. Yalijengwa kiholela na bila viwango na kuwa hatarishi kwa uhai wa watu. Mnamo mwaka 2008, Waziri Mkuu, Mizengo...
  7. Chizi Maarifa

    Dini zililetwa na Wageni, Halafu hatukuzichunguza kwanza. Tukazifakamia. Mababu zetu wanasemaje?

    Asili ya hizi Dini Mbili. Tumsikilize ndugu yetu akituelezea hapa kwa logic kabisa. Bila kupepesa macho.
  8. Melubo Letema

    Theresia Dismas : Mama jasiri aliyeiletea Tanzania medali ya kwanza 1965

    Katika medani ya kimichezo Tanzania, historia ya kuletwa medali ya kwanza katika mshindano ya kimataifa ilitekelezwa na mwanamama Theresia Dismas Watanzania hatukumjua na hata tukatabiri kwamba mama yetu Theresia Dismas hayupo duniani kama nilivyowahi kuandika katika blog hii. Ukweli ni...
  9. eli -DEFIANT- cohen

    LGE2024 Vipi harakati za siku ya kwanza ya kampeni maeneo ulipo?

    Aisee yani ni watu wanajibizana na boda boda duuh Yani vruuuuuuuu.... Tangia asubuhi!!!!!!
  10. USSR

    Kwa mara ya kwanza ukrane imerusha makombora ndani ya urusi

    Waziri wa ulinzi wa urusi amesema kiwa leo ukrane imerusha makombora ndani ya ardhi yake kufuatia kupewa idhini na USA USSR
  11. Mohamed Said

    Historia ya Waliopita Sehemu ya Kwanza

    https://youtu.be/UI1dwP9caIQ?si=cdOmNaWG4V_LiCLs
  12. eli -DEFIANT- cohen

    Car experts, hii ni gari aina gani na tolel la mwaka gani?

  13. Davidmmarista

    Naomba Usharuri Mimi ni kijana wa Mwaka wa Kwanza Computer Science Nina shauku ya kutoka na GPA kuanzia 4.5 mpaka 5 Je nizatie jambo gani na gani?

    Naomba mtu yeyote mwenye experience anipe mawazo je hawa wanafunzi wanaopata GPA hizi za juu huwa wanafanya Jambo gani na gani?
  14. sergio 5

    Nilimtongoza mara ya kwanza akawa mkali

    Wakuu, Kuna Binti mmoja mrembo kuna siku natoka mazoezini nikamfuta bhana nilimuona Akanivutia nikaomba namba akanipatia Akanitajia majina yake tulivyowasilina Nikamwambia ninahisiana naye akawa mkali nikampotezea. Leo kanicheki kaniita dukani kwake nikaenda kaanza kuniambia alinidanganya...
  15. Mi mi

    CHINA yawa nchi ya kwanza kufanya uzalishaji wa magari ya umeme 10mln kwa mwaka

    Nchi ya China imekuwa nchi ya kwanza duniani kufanya uzalishaji wa magari ya umeme 10mln kwa mwaka.
  16. Suley2019

    KWELI Mbwa Laika ni kiumbe hai wa kwanza kusafiri nje ya dunia

    Nimekutana na stori inadaiwa kuna Mbwa wa Urusi anayeitwa Laika ndiye kiumbe hai wa kwanza kusafiri nje ya dunia? Kuna ukweli kuhusu historia hii?
  17. Man Middo tz

    STORY FUPI: Fikiria kwanza Kabla ya kujaji

    SOMA ILI UJIFUNZE KITU, AMINI HUWEZI KUTOKA BURE Siku moja Dokta aliingia haraka sana hospitalini mara baada ya kupigiwa simu iliyomtaka akafanye upasuaji. Baada ya kufika hospitalini alibadilisha nguo zake haraka na kuelekea moja kwa moja katika jingo upasuaji. Kufika katika lile jingo la...
  18. T

    Oman imerusha satelite yake ya kwanza

    Oman yazindua satelaiti yake ya kwanza yenye teknolojia ya hali ya juu ya kuhisi kwa mbali na AI Sultanate ya Oman, ikiwakilishwa na kampuni ya ‘Oman Lens’, imefanikiwa kuzindua satelaiti yake ya kwanza iliyosajiliwa na Umoja wa Mawasiliano wa Kimataifa (ITU). Muscat – Satelaiti hiyo imeundwa...
  19. Mohamed Said

    Al Fatah Walipotembelea Maktaba Sehemu ya Kwanza

    https://youtu.be/9LoUUlaLxFA?si=ESZUqXGFchy9-ID7
  20. MakinikiA

    Agizo la kwanza la Trump kwa Zelensky kwamba ajikite kwenye kutafuta amani siyo yale maeneo

    Habari njema hii bwana Trump ampa maelezo Zelesky ajikite kutafuta amani na siyo kurudisha maeneo Kwa hiyo Yale majimbo ya kilimo cha ngano baibai Kwa heri ya kuonana na bandari ya kimkakati Kwa heri. Best wishes Mr Trump.
Back
Top Bottom