Hili swali la kiufundi sana. Kwamba tunazuia uchaguzi kwa kuwa huko watu wanakufa, hatutaki waendelee kufa.
Lakini tunataka kuwatumia watu hao hao kupambana na majeshi ya nchi kuzuia uchaguzi. Hiyo ni akili au matope? Obvious watadhurika watu wengi.
Mbunge wa viti maalumu Mkoa wa Singida ,Mhe Jesca David Kishoa amepinga vikali kampeni ya No Reform No Election inayofanywa na Chama Cha Demokrasia na maendeleo(CHADEMA) kikishinikiza uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kutokufanyika mpaka pale serikali itakapofanya mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi...
Chama cha NCCR Mageuzi kimeeleza kuwa hakitasusia uchaguzi Mkuu wa baadae mwaka huu, wakieleza wazi pia mpango wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kutaka kuzuia uchaguzi ni suala ambalo haliwezekani.
Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa, Joseph Selasini amekiri kusema kuwa kuzuia...
Lissu amesema watatumia njia mbalimbali kuzuia uchaguzi, ameeleza pia no reform no election maana yake siyo kususia uchaguzi.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na...
Bado ccm na serikali Ina haha ni kwa namna Gani CHADEMA inaenda kudhibiti uchaguzi mkuu ingali vyombo vya ulinzi viko kwake pasipo watu. CHADEMA yenyewe Ina watu ndio maana hamasa imekuwa kubwa sana kuitikia hii kauli mbiu ya NO REFORMS NO ELECTION.
Nasisitiza viongozi wa CHADEMA kuungana kwa...
Kila ninapochemsha mayai 10 at least mawili au matatu huwa nakuta yamevunjika na yameingia maji. Wataalam naomba mnijuze sababu ni ipi inayofanya yavunjike na pia nitumie mbinu ipi ili kuepuka yasivunjike. Nawasili
Wakuu,
Binafsi naamini kabisa mfumo wa Uchaguzi wa kwenye nchi hii unapaswa kubadilishwa lakini itumike akili na busara kufanya hivyo.
Mara nyingi tumeona Tundu Lissu na CHADEMA wakisema kuwa bila mabadiliko sio kwamba CHADEMA watasusia Uchaguzi bali ni kwamba UCHAGUZI HAUTAFANYIKA.
Sasa...
Naipongeza Serikali ya Rwanda kuona mbali na kuweka utaratibu mzuri wa makanisa, Misikiti na taasisi za dini
Rwanda imefungia zaidi ya makanisa 600,
Kabla walipiga marufuku matumizi ya azana Kwa Misikiti kuwa unaleta usumbufu Kwa wasio kuwa wa Imani hiyo na kuweka ustaarabu wa kuitana Kwa...
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayehusika na Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, amewataka Watanzania kupuuza madai ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwamba uchaguzi hautafanyika bila mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi.
Akizungumza siku ya...
wana jamii ushauri wenu kwa ufupi..... baby mama wangu ameenda hospitali kubwa ya nchi... Kuangalia kwanini hashiki mimba.. Hapo nyuma alikuwa anatumia sindano za uzazi kuepusha kushika mimba.. Sasa daktari amemwambia inawezekana mayai yake yamekaushwa na hizo sindano ...Hivyo inabidi kufanya...
Poleni na hongereni na kutafuta mkate wa kila siku. Chadema mpya hongereni na harakati za kuleta mabadiliko ya kikatiba kwa Tanzania.
Tumeona nia yenu ni njema sana ktk kuleta na kupigania haki ndani ya nchi yetu." Hoja hii ya No reform No election" ipo vzr sana, lakini kwa maoni yangu , ni...
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Katika miaka ya hivi karibuni, matumizi ya vinywaji vya kuongeza nguvu (energy drinks) yameongezeka kwa kasi hapa nchini Tanzania, hasa miongoni mwa vijana. Ingawa vinywaji hivi vinatangazwa kama viongeza nguvu na msukumo wa mwili, tafiti zinaonyesha kuwa vinaweza kuwa na madhara makubwa kiafya...
Kwa mujibu wa Utafiti uliofanywa na "Indo-Pacific Center for Civil Society Resilience" jumla ya nchi 7 katika bara la Asia na Oceania (Indo - Pacific region) zilipitia changamoto ya kuzimwa kwa mtandao na kuminywa kwa Uhuru wa kujieleza Mtandaoni kwa mujibu wa ripoti ya "Freedom of the Net"...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeweka masharti yanayowazuia wanachama wake wanaotaka kugombea nafasi za uongozi kuanza kampeni mapema kwenye majimbo yao. Hatua hii imeibua mjadala mpana kuhusu mustakabali wa demokrasia ndani ya chama na haki ya msingi ya kugombea nafasi za uongozi.
Kwa mujibu wa...
Habari wadau!
Moja kwa moja kwenye mada.
Ile mikokoneni imeishia wapi?
Tuliambiwa kuwa kuna jitihada zinafanywa na serikali za kuzuia ajali zinatokana na bodaboda kwa kuwatengenezea mikokoteni.
Hivi karibuni tumesikia takwimu za vifo vilivyosababishwa na bodaboda zilizotolewa Bungeni, hii...
Serikali kupitia taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Mwanza katika kipindi cha Oktoba hadi Disemba 2024 imefanikiwa kufuatilia utekelezaji wa miradi ya maendeleo 13 yenye thamani ya zaidi ya sh. Bil 4.4 kwenye sekta ya Elimu, Barabara na Biashara ambapo kati ya hiyo...
Wabunge wa Democratic wanasema AID iliwekwa na Bunge kwa hiyo Elon Musk hana mamlaka ya kuiondoa AID.
Kama Trump anataka kuifuta AID alete muswada Congress atuombe ruhusa.
Lakini AID haiwezi kufutwa na Elon Musk bilionea ambaye hakachaguliwa na mtu yeyote.
Hili ni shirika linawasidia watu...
Mwili kikawaida huwa una njianzake pekee za kujilinda dhidi ya vitu mbalimbali(defense mechamism).
Mtu akipaliwa na punje ya wali atakohoa na hakuna anayezuia kwamba usikohoe kwa sababu kukohoa ni njianya mwili kujilinda na baada ya hapo mtu anapata afadhali.
Sasa kwenye mafua, yale mafua ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.