kuzaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    JamiiForums Tanzania Baba ahukumiwa miaka 40 jela kwa kuzaa na binti yake

    Kibaha. Hakimu Mwandamizi Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Kibaha mkoani Pwani, Yudith Lyimo amemhukumu kifungo cha miaka 40 jela, na viboko 12 mkazi wa ‘Kwa Mfipa’ Kibaha, Fadhiri Msham kwa kosa la kufanya mapenzi na mwanawe wa kumzaa na kumpa ujauzito. Mbali na adhabu hiyo pia Msham ambaye...
  2. Ramsy Dalai Lama

    JamiiForums Tanzania Sababu ya kwanini kupigwa teke kwenye korodani inauma zaidi ya kuzaa

    Hatimaye nilitafakari swali la zamani: Je, kuzaa ni uchungu zaidi kuliko kupigwa teke kwenye korodani?. Wanawake daima hushikilia kwamba kuzaa ni uchungu zaidi kuliko mwanaume anayepigwa kwenye korodani, lakini wamewezaje kujua hili wakati hawana korodani (balls)? Naam, nimekuja na jibu la...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kina Dada mnajua madhara na matokeo ya kupata watoto katika umri mkubwa kwa mara ya kwanza?

    Kati ya wadada 10 wenye umri zaidi ya miaka 35 wanaotafuta wachumba basi wadada 7 wanatoka mikoa ya kanda ya kaskazini. Kikubwa zaidi wadada wa ukanda huu mpaka miaka 38 anakuwa hajazaa.Tofauti na nyanda nyingine ndani ya Tanzania pamoja na kuwa hajaolewa na anatafuta mchumba lakini ameshawahi...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Wanaume acheni kuzaa watoto Nje ya Ndoa mnawatesa viumbe wasio na Hatia

    Hili jambo linanihuzunisha sana. Sina cha kuwasaidia lakini angalau nina mdomo na mikono ya kusema na kuandika. Kila ninapona watoto wadogo wasio na mwelekeo kwemye maisha, hawana pa kulala, kula kwa tabu, kuvaa mtihani na shule ndio kabisa wamepoteza mwelekeo. Kipindi kama hiki cha mvua...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kuzaa mapema sio kupata msaada/ suluhu za uzeeni

    KUZAA MAPEMA SIO KUPATA MSAADA/SULUHU ZA UZEENI Anaandika Robert Heriel, Kionambali. "Nazaa mapema ili nipate wakunisaidia uzeeni" Hapo ataanza kupiga hesabu, "nikifikisha miaka 35 mtoto atakuwa na miaka 10, nikifikisha 45, mtoto wangu atakuwa na 20, hapo nguvu zitakuwa zinaanza kuyoyoma...
  6. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Tuache lawama za kurogwa: Kama ukoo wenu kuna ugonjwa/ulemavu wa kurithishwa epuka kuzaa na mtu mnaefanana. Ualbino, Uziwi, Kifafa, n.k vinaepukika

    Na uzuri ni kwamba sayansi imekuwa kwa sasa, tunaweza kupima dna kujua kama watoto ni wetu lakini pia tunaweza kupima dna kutambua kama tumebeba genes zenye magonjwa ya kurithi kama vile ualbino, uziwi, ububu, ulemavu wa akili, n.k. Mangonjwa yanayoweza kurithika hutokea pale ambapo watu wawili...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kumbe tatizo kubwa la waafrika weusi kubaguliwa Tunisia ni kasi ya kuzaa na wanawake wao

    Uhusiano kati ya wanaume weusi na wanawake wa Tunisia kufikia hadi kuzaa imeshika kasi hadi kuwashtua. Mahusiano kama hayo hayakuwepo zamani. Kwa miaka ya karibuni hali imekuwa tofauti na kuleta wivu na chuki. Wahamiaji kutoka sub Saharan wako elfu 21 moja tu kati ya idadi ya watunisia million...
  8. system hacker

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Zipi Faida au Hasara za kuzaa watoto wengi?

    Faida ni ipi na hasara ni ipi? Karibu kwa mjadala kwa ajili ya kuwasaidia vijana wanaotegemea kujenga familia.
  9. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania NADHARIA Matumizi ya Muda mrefu ya Dawa za uzazi wa Mpango husababisha kuzaa watoto wa Kiume wenye homoni za Kike

    Miaka ya hivi karibuni, matumizi ya dawa za uzazi wa mpango (Vidonge na Sindano) yameongezeka sana, hali inayozua wasiwasi wa usalama wake miongoni mwa watumiaji. Baadhi wameonesha wasiwasi wao kuwa dawa hizi husababisha kupata watoto wa kiume wenye homoni nyingi za kike, au hata kupata watoto...
  10. funluverx

    JamiiForums Tanzania KUZAA NAE ISIWE TIKETI YA NDOA. MAMAMKWE NAE 'DJINGAH' TU.

    Kwenye harakati za kuiridhisha nafsi kupitia 'kiburudisho' ikatokea kamtundika mimba na kuzaa binti ambae tayari anae mtoto. Mshikaji hakuwahi kumuweka huyu binti kwenye fikra zake kwamba siku moja angeweza kuwa mke kwake. Na hilo aliliweka wazi ambapo pamoja na vigezo vingine lile swala la...
  11. Kalpana

    JamiiForums Tanzania Faiza Ally amjia juu mzazi mwenzie Sugu na anajuta kuzaa nae

    Wana jukwaa hivi hapa anaejuta kuzaa na mwenzie ni nani kati ya Faiza na Sugu? Faiza ana mtusi matusi makubwa sijui kama anajenga kwakweli, pia mwanaume kama ni kweli hamjali mtoto kwa lolote anafanya vibaya sanaa.
  12. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza ajiepushe na upindifu wa kimantiki unaoweza kuzaa taharuki ya kijamii bila uhalali

    Bagonza akiwa amemkumbatia Lissu Kwenye Uwanja wa Kayanga, Karagwe, 2020. Kuhusu sababu mojawapo ya uzushi angalia tofauti kati ya urefu wa kidole cha pili na kidole cha nne, ambapo duara A ni vidole vya Mlinzi wa Lissu vikionyesha kidole cha pili kikiwa kifupi kuliko kidole cha nne na duara B...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania UKWELI MCHUNGU: Wazazi wengi hawana upendo wa kweli

    Anaandika, Robert Heriel Wazazi msiwape watoto wenu mzigo wa kununua upendo wenu kwa kuhangaika ili kuwapa pesa na mali. Upendo haununuliwi. Tabia ya kudai malipo kisa mliwasomesha au kuwazaa na kuwatunza huo ni uhuni. Kuwapenda watoto wenye vipato au wanaowapa vijizawadi ni dalili moja wapo...
  14. tawakkul

    JamiiForums Tanzania Tatizo siyo kuzaa kwa wingi, ila kuweza kuwahudumia unaowazaa

    Uwingi wa watu ukitumika vizuri ni mtaji tosha. Watu wakiwa wengi ni tija kwa nchi ikiwa watakuwa wazalishaji, walipa kodi na wenye uzalendo na nchi yao. Hapa tatizo siyo kuwa na watu wengi au kuzaa sana. Tatizo wanaozaliwa wanaandaliwa vipi kukabiliana na changamoto za kimaisha? Nchi ikiwa na...
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ampinga Shaka kuhusu kuzaa zaa

    Hilo limetokea wakati Rais Samia Hassan akizungumza na Wananchi wa Runzewe, leo Oktoba 16, 2022 Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Shaka Hamdu Shaka aliwasisitiza Wananchi kuzaa zaidi kwa kuwa madarasa na vituo vya afya vinajengwa na wawekezaji wanaongezeka Nchini Rais Samia akajibu “Hilo...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wa kunipa mtoto tu

    Amani iwe kwenu wapendwa. Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 40 BILA MTOTO WALA MKE (ni member wa muda humu, sema nimeamua kutumia id tofauti ili kutunza heshima). Ni mtumishi kwenye kampuni binafsi inayoendesha shughuli zake Dar es Salaam. Kwa nyakati tofauti nimekuwa na mahusiano na...
  17. mama D

    JamiiForums Tanzania Kuhani Musa Richard Mwacha - Malezi mabovu, kujamiiana hovyo kunakopelekea kukataa mimba/kutelekeza watoto ni moja ya vyanzo vya panyaroad

    Kujamiiana hovyo kunapelekea kukataa mimba au kutelekeza watoto, pamoja na malezi mabovu kwenye jamii vyanzo vya panyaroad Wengi wa hawa tunaowaita panya wana baba zao na mama zao
  18. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Dada zetu wanatamani kuzaa. Wanaume wenzangu mnasubiri nini?

    Kijana wa kiume mwenye zaidi ya miaka 25 na una geto lako mwenyewe acha kuishi mwenyewe kama Jini, tafuta binti anzeni maisha na mpate watoto dunia ipate vijana wapya. Ukiangalia sababu kubwa ya vijana kutokuoa ni kudai kuwa wasichana wanataka kuhongwa na hamna pesa. Ngoja ni wambie kitu...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ajabu: Wanawake wanapenda wanaume weusi lakini hawataki kuzaa watoto weusi

    Kwema Wakuu?! Moja ya mambo yanayowafanya wanawake wawe viumbe wa ajabu, labda tuite kuwa vivutio katika ulimwengu huu ni pamoja na hii tabia. Wanawake wengi duniani sio tuu Afrika bali hata uzunguni kila walipoulizwa wanapendelea wanaume wa dizaini ipi katika mahusiano ya mapenzi, majibu yao...
  20. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Royal Tour Tanzania inavyozidi kuzaa matunda

    Kundi la Watalii zaidi ya 60 linalojumuisha Madaktari na Wanasheria kutoka Nchini Marekani leo tarehe 26 Julai 2022,wamewasili eneo la Hifadhi ya Ngorongoro kwa ajili ya kutembelea Vivutio mbalimbali vilivyoko katika hifadhi hiyo. Wageni hao ambao wanaendelea kutembelea vivutio mbalimbali vya...
Back
Top Bottom