Nina mchumba wangu huyo amekuwa akinishawishi tuzae mtoto upande wangu kiukweli kimaisha bado sijasimama hapa nilipo ninawaza hiyo mimba nitaileaje mtoto nitamleaje wakati kipato changu chenyewe hakieleweki lakini pia kwao sijulikani na yeye kwetu hatambuliki.
Lakini binti amekomaa tuzae mtoto...
Case study iwe ya Majani, P funk na mwanae Paula aliyezaa na Kajala.
1. Usizae na mwanamke mwanaharakati maarufu kama Feminist, yeye hajua kushindwa wala kukosa, kichwani mwao hawa wanawake kumejaa fikra za kuonewa na kukandamizwa na kufight kutoka kweny hali hiyo.
2. Usizae na mwanamke msomi...
Ushauri wenu ni muhimu sana.
Umri wangu ni miaka 50, nimeoa mke kanisani huu ni mwaka wa 25 naishi naye na tumejaliwa watoto wanne, wa kwanza na wapili wamemaliza tayari chuo kikuu na wa tatu yupo chuo kikuu mwaka wa pili. Wa nne kamaliza kidato cha 4 mwaka jana, katikati hapo miaka 18...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.