kuvaa

Karen Margrethe Kuvaas (born June 14, 1947) is a Norwegian politician for the Norwegian Labour Party and since 2007 mayor of Narvik.
Kuvaas took over as mayor succeeding her party colleague Olav Sigurd Alstad following the 2007 election. In November she was one of the four Nordland mayors who fronted the municipalities case in the Terra Securities scandal.

View More On Wikipedia.org
  1. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu iliyonifanya niache kuvaa nguo za ndani (vest na boxer)

    Maisha ni fumbo kubwa lililojaa somo kubwa iwapo tu utasimama thabiti na ukiwa na msimamo chanya na kuwa mtu unayependa kujifunza kupitia na magumu unayoyapitia. Nilipoingia kwenye biashara na kuanza kushika vijihela ambavyo nilikuwa sijawahi kuvishika kabla, basi na tabia mpya zikaanza...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Umuhimu wa mazoezi kwa akina dada. Wanawake wa Dar wajifunze sio kunenepa hovyo na kuvaa madela uswazi

  3. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Kazi si kuvaa Dela bali kazi ni kulishikilia

    Bila Shaka baadhi yetu tumeshawahi kusikia msemo huu huko mtaani, naam msemo huu ninaweza kuutumia kama ushauri Kwa vijana wenzangu ambao wanafunga ndoa na hasa hasa katika msimu huu WA mfungo mtukufu ambao tunatarajia hivi karibuni. Kwanza Kwa wale ambao hawajui Dela ni nini? Ni nguo ambayo...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Wanafunzi wa Shule za Msingi za Umma waruhusiwa kuvaa Suruali

    WAZAZI na walezi jijini Mbeya, wamepokea kwa mikono miwili, maamuzi yaliyotolewa na serikali, kwamba wanafunzi wa shule za umma, wasichana na wavulana waanze kuvaa suruali, kutokana na mazingira ya Mkoa huo uliopo nyanda za juu Kusini, kuwa na baridi kali. Hayo yameelezwa na baadhi ya wazazi na...
  5. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ilivyowachuuza Chawa wakauvaa Mkenge

    Tundu Lissu alirejea nyumbani 25 January na kuelekea moja kwa moja Bulyaga, Temeke mkutanoni. Hii ikiwa 21 January walikuwa Furahisha, Mwanza kwenye uzinduzi, 22 January Musoma na 23 January Tarime. Tokea 25 Jan hadi Feb 3 kukawa kumepiga kimyaaa! Chawa walikuwa wameshategemea bandika bandua...
  6. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Aibu: Waumini wanawake KKKT wanaenda kanisani na suruali / jeans zilizobana, kanisa linachukulia poa tu

    Kumbukumbu la Torati 22:5 >> Mwanamke asivae mavazi yampasayo mwanamume, wala mwanamume asivae mavazi ya mwanamke; kwa maana kila afanyaye mambo hayo ni machukizo kwa Bwana, Mungu wako. Tukiachana na kanisa hili la kilutheri kupasuka kila kukicha kwa migomo na vurugu kama ile vuta nikuvute ya...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kung'ang'ana kuvaa jezi nyeusi wakiamini ndio ushindi lamba lamba wamepasuka

    Kuna kaujinga fulani kanaenezwa na wajingawajinga fulani hivi kuwa yanga akivaa jezi nyeusi ndio anashinda na asipovaa basi ashindi. Azam leo wamekataa katakata kuvaa jezi zao za nyumbani wakavaa jezi za ugenini wakiamini yanga inapata magoli kupitia jezi nyeusi ni upuuzi wa hali ya juu kabisa...
  8. zitto junior

    JamiiForums Tanzania John Heche anastahili kuvaa viatu vya Freeman Mbowe

    Nimefuatilia michango yake tokea akiwa diwani huko Tarime mpaka kuwa Mbunge 2015, unaweza kubaliana na Mimi kuwa huyu ni msomi anayejitambua, anajua kujenga hoja, mzalendo haswaa, mtiifu, na misimamo isiyoyumba Alipokuwa mwenyekiti BAVICHA ndipo tulishuhudia taasisi imara ya vijana iliyozaa...
  9. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Kama Wanakwaya wanavaa hivi basi si ajabu Wengine kuvaa pia!

    Around saa mbili na ushee asubuhi ya Leo, Nimeshuka zangu Chanika kituo kinaitwa Kwa Ngwale. Natembea zangu mdogo mdogo naelekea eneo husika. Kwa mbali nasikia sauti za ibada hasa ulichukulia Leo ni siku ya ibada Kwa ndugu zetu Wakristo. Mara paap nakaribia katika kanisa moja na huko ndani...
  10. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kuvaa jeans na raba Kanisani?

    Habarini. Ni sahihi kuvaa kofia, yaani cap church? wengi tunafahamu kuwa si sawa. Sasa vipi kuvaa jinsi na raba na tisheti church, ni sawa?
  11. cold water

    JamiiForums Tanzania Napenda kuvaa

    Mimi ni ke mwenye umri wa miaka 25 ,ni mrefu wastani,maji ya kunde/chocolate colour mwembamba wastani ,napenda kuvaa jamani,lakini nikinunua nguo nikianza tu kuivaa sikawii kuichoka,nguo zangu ni za mtumba najua nikienda mtumbani na elfu 50 narudi na nguo nyingi kwa sh 4000_6000 lakini dukani...
  12. Boqin

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Muigizaji Jackie Chan avaa fulana yenye picha ya Muhoozi Kainerugaba, mtoto wa Rais Museveni

    Muigizaji Jackie Chan ameonekana akiwa amevaa fulana yenye picha ya Muhoozi kainerugaba, Mtoto wa Rais Museveni.
  13. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kuvaa Hijab ni dini au udhaifu wa wanaume?

    Binadamu wote wake kwa waume wanazaliwa wakiwa uchi kabisa, kuvaa nguo ipi na ivaliwe wapi na nani kwa sababu gani ni utashi tu wa wanajamii wenyewe. Bahati mbaya au nzuri Mwenyezi kuna maeneo na viungo vya mwili ambavyo alishavifunika yeye mwenyewe kwa sababu zake kwa kutumia nywele ndefu na...
  14. MK254

    JamiiForums Tanzania Iran: Wanawake wavua hijab kulalamika mauaji ya mwenzao kisa sheria ya dini

    Wanawake wanaendelea kujitoa mhanga kama wafe basi wafe wote, mwenzao aliuawa kisa hakua amesitiri kichwa kama inavyotakiwa kwa dini ya waislamu, wameamua kuvua hijab na kuacha vichwa wazi liwalo na liwe. ============ A massive anti-hijab revolution has broken out in Iran after women came out...
  15. Superbug

    JamiiForums Tanzania Star tv na tangazo lenu la corona na kuvaa barakoa leo hii siwaelewi.

    Star tv ina mambo ya kishamba sana sasa lile tangazo lenu la kuvaa barakoa leo hii linamaana gani?
  16. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mtoko mpya wa Simba: Unaweza kuvaa ofisini

  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wizara ya Afya ituambie tuendelee kuvaa barakoa au tupumzike

    Rais ameiagiza wizara hiyo kufanya tathmini ya hali ya ugonjwa wa UVIKO-19 nchini na kutoa utaratibu kama bado kuna haja ya wananchi kuendelea kutumia barakoa. Amesema “Inaonyesha watu wamechoka nazo, niwaombe sasa Wizara ya Afya waangalie mwenendo huu tunaokwenda nao, lakini watathmini hali...
  18. Diversity

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Kuvaa nguo nyekundu kunasababisha kupigwa na radi

    Madai: Yapo madai kutoka katika jamii mbalimbali yakihusisha rangi nyekundu na radi. Baadhi ya jamii zinaamini kwamba kuvaa mavazi yenye rangi nyekundu wakati wa mvua ni hatari kwa sababu yanaweza kusababisha ukapigwa na radi. Sambamba na hilo jamii nyingine zinaamini Mjusi kafiri na Kondoo wana...
  19. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Unaweza kuvaa viatu vya aina hii?

    Kwangu mimi ni big no...sijui kwann?
  20. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Rwanda: Mwanamke akabiliwa na kifungo cha Miaka 2 kwa kuvaa nguo za Utupu

    Mwanamke mwenye umri wa miaka 24 ambaye alikamatwa kwa kuvaa mavazi ya "aibu" anakabiliwa na kifungo cha miaka miwili jela kwa kuvaa “uchafu hadharani” Wendesha mashtaka wameomba azuiwe rumande kwa siku 30 Liliane Mugabekazi alikamatwa Agosti 7 baada ya kuhudhuria tamasha la mwanamuziki maarufu...
Back
Top Bottom