Kwanini Marubani hupenda kuvaa miwani ya jua?

TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

JF-Expert Member
Dec 1, 2010
5,708
10,204
Miwani ya Jua hupunguza athari za mwanga mkali wa jua, uchovu wa macho, na kulinda tishu za macho dhidi ya mionzi hatari ya jua.

Captain Brian.jpg

Kwa Rubani (kama jadi) pia humlinda dhidi ya miale mikali ya Jua anapokuwa angani na zaidi ya hayo, kuepuka kuathiriwa na uchafu unaoweza kuruka kutokana na mgongano wa ndege hai, mitikisiko au mtengano wa ghafla wa hewa 'Rapid decompression'.

Lakini pia hulinda marubani kwenye ndege za michezo 'aerobatics' kwasababu kama hizo n.k

Miwani halisi ya Jua ambayo huvaa marubani "Original Aviators Sunglasses" kwa kawaida bei huanzia kati ya Tzs 290,000/= hadi Tzs 4,200,000/= (ukivunja kuja Tzs)

Baadhi ya Miwani maarufu ni:
Ray-Ban
Carrera
St. Laurent
Gucci
Linda Farrow
Dita
Chopard
Jimmy Choo
Dolce & Gabbana
Cartier
Prada
Versace
Dior
Valentino
Bottega Veneta
Matsuda n.k

Kati ya miwani hizi, unaweza kupata Ray-Ban nafuu hadi Tsh. 285,000/= na ya kati kwa Tsh 500,000/=
Miwani ya #Dita kwa Tsh. 2,700,000/= na ya gharama zaidi #Cartier hadi Tsh. 4,200,000/=

Miwani hii unaweza kupata karibu maduka yote makubwa kwenye viwanja vya ndege vya kimataifa, Maduka ya vifaa vya Marubani au Mtandaoni.

📷
Captain Brian
Kwa msaada wa Aviation Media Tanzania

Vyanzo:
Farfetch
Federal Aviation Administration/Sunglasses
 
KWANINI MARUBANI HUPENDA KUVAA MIWANI YA JUA?

Miwani ya Jua hupunguza athari za mwanga mkali wa jua, uchovu wa macho, na kulinda tishu za macho dhidi ya mionzi hatari ya jua.

View attachment 2593378
Kwa Rubani (kama jadi) pia humlinda dhidi ya miale mikali ya Jua anapokuwa angani na zaidi ya hayo, kuepuka kuathiriwa na uchafu unaoweza kuruka kutokana na mgongano wa ndege hai, mitikisiko au mtengano wa ghafla wa hewa 'Rapid decompression'.
Lakini pia hulinda marubani kwenye ndege za michezo 'aerobatics' kwasababu kama hizo n.k

Miwani halisi ya Jua ambayo huvaa marubani "Original Aviators Sunglasses" kwa kawaida bei huanzia kati ya Tzs 290,000/= hadi Tzs 4,200,000/= (ukivunja kuja Tzs)

Baadhi ya Miwani maarufu ni:
Ray-Ban
Carrera
St. Laurent
Gucci
Linda Farrow
Dita
Chopard
Jimmy Choo
Dolce & Gabbana
Cartier
Prada
Versace
Dior
Valentino
Bottega Veneta
Matsuda n.k

Kati ya miwani hizi, unaweza kupata Ray-Ban nafuu hadi Tsh. 285,000/= na ya kati kwa Tsh 500,000/=
Miwani ya #Dita kwa Tsh. 2,700,000/= na ya gharama zaidi #Cartier hadi Tsh. 4,200,000/=

Miwani hii unaweza kupata karibu maduka yote makubwa kwenye viwanja vya ndege vya kimataifa, Maduka ya vifaa vya Marubani au Mtandaoni.

📷
Captain Brian
Kwa msaada wa Aviation Media Tanzania

Vyanzo:
Federal Aviation Administration/Sunglasses
Hivi rubani kuvaa miwani ni takwa la kisheria za udereva wa vyombo vya anga au ni uamuzi binafsi? Maana unaposema kwanini wanapenda ni kama vile personal decision ya rubani.
Cc; barafu
 
There are several reasons why pilots like to wear sunglasses:

Glare reduction: The sun's glare can be blinding, especially at high altitudes. Sunglasses with polarized lenses can help reduce the glare, making it easier for pilots to see and navigate.

UV protection: Sunglasses with UV protection can help protect pilots' eyes from harmful UV rays that can cause eye damage.

Comfort: Wearing sunglasses can help reduce eye strain and fatigue by blocking out bright sunlight and reducing the need to squint.

Style: Many pilots also wear sunglasses for aesthetic reasons, as they can add a professional and stylish touch to their uniform.

Overall, wearing sunglasses can help pilots maintain good visual acuity and reduce eye strain, which is important for their safety and performance.

ChatGPT
 
Asante ChatGPT
 
Je kuvaa boxer ni takwa la kisheria au ni uamuzi binafsi?
Hata ukitaka kutembea mapumbu yakining'inia ndani ya suriali bila boxer Ni uamuzi wako. Bujibuji kumbuka tunaongelea kitu ambacho ni cha kiprofessional na hatujawahi kuona rubani muda wa mchana angani akiwa hajavaa sunglasses. Swali je Ni uamuzi binafsi ama ni sheria ya urubani kulinda afya zao?
 
Ni kwa usalama wako, sometimes ndege inaelekea kwenye uelekeo wa jua na miaonzi ni mikali, unafikiri utafanyeje?
Sawa sijakataa ni kwaajili ya usalama wa rubani. Mbona swalj langu linatafsiriwa as kama napinga? Mimi nauliza Ni sheria ama mapenzi binafsi ya rubani kuvaa ama asivae? Nini ambacho hakieleweki hapo?
 
Back
Top Bottom