kuuza

  1. JamiiForums Tanzania Waziri Jerry Silaa: Tumeanza kuuza Internet nje ya nchi

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa amesema Tanzania imeanza kuuza intaneti nje ya nchi baada ya mkongo wa taifa kuongezewa uwezo.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi Mbeya Mjini kama kuuza duka, ufundi mitambo na n.k.

    Natafuta kazi Mbeya Mjini kama kuuza duka, ufundi mitambo na n.k. Nina stashahada ya ufundi mitambo (Mechanical Engineering) 0756704145
  3. JamiiForums Tanzania JINSI YA KUUZA EBOOKS ONLINE NA KUTENGENEZA MPAKA MILIONI KILA MWEZI

    Katika dunia ya leo ya kidijitali, kuuza ebooks (vitabu vya mtandaoni) imekuwa moja ya njia rahisi na faida kubwa ya kutengeneza pesa — hata ukiwa nyumbani tu. Haijalishi kama wewe ni mwandishi, mjasiriamali, au mtu mwenye maarifa ya kipekee — unaweza kugeuza maarifa yako kuwa chanzo cha mapato...
  4. JamiiForums Tanzania Mamlaka za Saudia zimekanusha taarifa za Pombe kuruhusiwa kuanzia 2026 nchini humo

    === Afisa mmoja wa Saudi Arabia alikanusha Jumatatu taarifa za vyombo vya habari zilizodai kuwa ufalme huo, ambao ni mahali palipozaliwa Uislamu, ungeondoa marufuku ya miaka 73 dhidi ya pombe, ambayo imekatazwa kwa Waislamu. Taarifa hiyo, ambayo iliripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari vya...
  5. JamiiForums Tanzania Uwanja wa maonyesho ya nanenane jijini Mwanza wajengwa baa za kuuza pombe.

    Uwanja wa nanenane uliopo jijini mwanza nyamhongolo umejengwa baa za kuuza pombe, Kuna huduma zote nyama choma, malaya kibao na sehemu za kucheza watoto. Ikumbukwe kuwa huu ni uwanja uliotengwa na serikali kwaajili ya maonyesho ya nanenane inakuaje ujengwe baa??
  6. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuuza Bidhaa ya Aina Yoyote Mtandaoni (Mwongozo wa 2025)

    Katika dunia ya sasa ya kidigitali, kuuza bidhaa si lazima uwe na duka la kupanga — simu yako na intaneti inatosha kabisa kuendesha biashara yenye mafanikio. Haijalishi unauza nini: iwe ni bidhaa za mikononi, ebooks, huduma, nguo, vyakula, au kozi — kanuni hizi hapa zitakusaidia kuuza kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Mifumo ya SGR na N-Card iboreshwe ili kuwezesha mtu binafsi kuuza tiketi yake aliyokwisha nunua

    Kutokana na changamoto za mechi kadhaa tulizozishuhudia mpaka sasa ambazo zimeleta ugumu kurudisha pesa kwa watu, ningeshauri mfumo wa N-Card uwe na uwezo wa kuruhusu watu kuuziana tiketi ndani ya mfumo. Inahitaji tu App ya N-Card iwe na kipengele cha "Resell Ticket". Mtu anaingia, anauza...
  8. JamiiForums Tanzania Biashara ya kuuza mayai bei ya jumla

    Habari wakuu! Nimeanzisha biashara yangu nje na biashara zangu kuu , nauza mayai ya kisasa kwa bei ya Jumla bei zangu ni rahisi sana yaani "ONLY MAYAI SHOP" Trei 1 nauza 8,500 Napatikana Mbezi Luis Simu : 0744 767 175 whatsap pia
  9. JamiiForums Tanzania Kuruhusu wachina kuuza bidhaa kutoka China kunaweza kusababisha matumizi ya dolla kuongezeka (Import itakuwa kubwa)

    Kuruhusu Wachina au makampuni ya kigeni kuuza bidhaa kutoka nchini mwao moja kwa moja katika soko la Tanzania, kunaweza kuwa na athari kadhaa kiuchumi mojawapo ikiwa ni kuongezeka kwa matumizi ya dola za Kimarekani (USD). Hii hutokana na mambo haya: 1. Kuongezeka kwa uagizaji (imports); Bidhaa...
  10. JamiiForums Tanzania Chimbo gani zuri kununulia vifaa vya umeme kwa ajili ya kuuza

    Chimbo gani zuri kununulia vifaa vya umeme kwa ajili ya kuuza
  11. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuuza Bidhaa Kupitia Value-Based Marketing

    Jinsi ya Kuuza Bidhaa Kupitia Value-Based Marketing Katika dunia ya sasa ya ushindani wa kibiashara, njia bora ya kuuza bidhaa si kwa kushinikiza watu kununua, bali kwa kuwapa thamani kwanza. Hii ndio maana halisi ya Value-Based Marketing — mbinu ya kuuza kwa kutoa elimu, maarifa, na suluhisho...
  12. JamiiForums Tanzania "Demokrasia ni kuuza nchi?"

    https://www.youtube.com/shorts/no982OoARYw Tunaambiwa "tuelimike tusiwe wasomi"
  13. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kutengeneza Pesa na Crypto (Mwaka 2025 - Mwongozo kwa Watanzania)

    Katika ulimwengu wa leo wa kidigitali, njia za kutengeneza pesa zimepanuka sana — na mojawapo ya njia zinazokua kwa kasi zaidi ni kupitia Cryptocurrency. Kama umeona watu wakizungumza kuhusu Bitcoin, Ethereum, au USDT lakini hujui waanzie wapi, basi blogpost hii ni kwa ajili yako. ✅ Crypto ni...
  14. JamiiForums Tanzania Tunabadilisha na kuuza Housing za Laptop. 0767953873

    Kama una Laptop imevunjika au housing limechoka unahitaji kubadilisha njoo tukubadilishie. Ilala - Dsm 0767953873
  15. JamiiForums Tanzania Sheikh adai dini iko kinyume dhidi ya biashara ya kuuza maji.

  16. R

    JamiiForums Tanzania Huku mitaani mnapotoshana kwamba mishe ya kuuza bangi kitaa zinalipa, wapi wewe uliwahi kuona pusha aliyetajirika ? mapusha wengi wanakufa masikini

    Na hii sizungumzii kwa hear say kwamba nilisikia, NO ! nimeishi mitaa yenye mapusha wa kijiti. Miaka nenda rudi hadi nimehama hio mitaa na kurudi kusalimia nimewakuta wapo vile vile tu hakuna maendeleo kilichobadilika umri umeenda au wengine wapo jela. System ya mapusha wa bangi hapa bongo...
  17. M

    JamiiForums Tanzania TANGAZO LA KUUZA KIWANJA – IHUNGO, BUKOBA MJINI

    TANGAZO LA KUUZA KIWANJA – IHUNGO, BUKOBA MJINI Nauza kiwanja changu kilichopo Ihungo, Bukoba Mjini. Kiwanja ni tambarare, kina ukubwa wa 20m x 40m, na barabara inapitika vizuri hadi kiwanjani. 📍 Mahali pazuri kwa makazi 🏫 Shule, hospitali na maduka vipo karibu 📄 Miliki halali, salama...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kununua mashamba na kukata viwanja kisha kuuza

    Habari. Hii ni biashara nzuri sana hasi ukiwa na mtaji. Mtaji wake unapaswa uwe na pesa ya kununua kuanzia heka 1. Mfano ukinunua heka 1 kwa shilingi million 22, eneo hilo(Kibaha) viwanja vinauzwa kuanzia million 3.5 vya mbele na vya nyuma ni million 3.3, kwenye heka 1 unaweza toa viwanja 10...
  19. JamiiForums Tanzania Marekani: Meta Yaweza Kulazimika Kuuza Instagram na WhatsApp

    Kampuni ya teknolojia ya Meta, inayomilikiwa na bilionea Mark Zuckerberg, huenda ikalazimika kuuza Instagram na WhatsApp kufuatia kesi ya ukiritimba (antitrust) inayosikilizwa nchini Marekani. Meta, ambayo pia inamiliki Facebook, ilinunua Instagram mwaka 2012 na WhatsApp mwaka 2014. Serikali ya...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Kuuza bidhaa online (Ebay,alibaba nk)

    Habari zenu, naomba mwenye kujua anisaidie nipo na bidhaa yangu nataka kuuza siku nyingi ila kila nikijaribu naona nakwama toka kikuu ifungwe natamani kuuza kwenye hizi online shops kama hizo, amazoni,alibaba na alibaba and so. Asanteni
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…