Sheikh adai dini iko kinyume dhidi ya biashara ya kuuza maji.

Sheikh adai dini iko kinyume dhidi ya biashara ya kuuza maji.

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
62,739
Reaction score
105,424
 
nina uhakika hiyo video itakuwa inaendelea,pengine umeipata nusu ama unayo yote ila umeikata kwa sababu zako binafsi..!
uislamu hauruhusu kuuza maji hasa ya matumizi yanayo husiana na kula, kinachotokea kutokana na mazingira lazima utalipia huduma,kuna gharama za muda,vitendea kazi,umeme,nguvu na kadhalika! ila mashaallaah sehemu nyingi tu watu wametoa mabomba nje unapita unajichotea tu,tena wengine wameenda mbali wanachota hapo bure wanaenda kuuza...unaeza kuta GSM anauza chupa la maji na sio maji ya chupa😝😜
 
Back
Top Bottom