Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,243
- 18,072
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa amesema Tanzania imeanza kuuza intaneti nje ya nchi baada ya mkongo wa taifa kuongezewa uwezo.
Tuna hiyo ziada ya kuuza nje ya nchi? Yasije yakawa yale ya umemeWaziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa amesema Tanzania imeanza kuuza intaneti nje ya nchi baada ya mkongo wa taifa kuongezewa uwezo.
View attachment 3380603
Heheheh ukiona mtu presentation yake imejaa Samia Samia Samia Samia, Ujue UONGO ni mwingi kuliko uhalisia.Jerry Silaa amesema Tanzania imeanza kuuza intaneti nje ya nchi baada ya mkongo wa taifa kuongezewa uwezo.
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa amesema Tanzania imeanza kuuza intaneti nje ya nchi baada ya mkongo wa taifa kuongezewa uwezo.
View attachment 3380603
Hivi Serikali huwa inafanya nini kama kila kitu kinachofanyika kinakuwa credited kwa huyo daktari wa wapumbavu?Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa amesema Tanzania imeanza kuuza intaneti nje ya nchi baada ya mkongo wa taifa kuongezewa uwezo.
View attachment 3380603
Ila hiii nchi hii!!Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa amesema Tanzania imeanza kuuza intaneti nje ya nchi baada ya mkongo wa taifa kuongezewa uwezo.
View attachment 3380603