kuuza

  1. Kifaurongo

    JamiiForums Tanzania "Demokrasia ni kuuza nchi?"

    https://www.youtube.com/shorts/no982OoARYw Tunaambiwa "tuelimike tusiwe wasomi"
  2. Heritage123

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kutengeneza Pesa na Crypto (Mwaka 2025 - Mwongozo kwa Watanzania)

    Katika ulimwengu wa leo wa kidigitali, njia za kutengeneza pesa zimepanuka sana — na mojawapo ya njia zinazokua kwa kasi zaidi ni kupitia Cryptocurrency. Kama umeona watu wakizungumza kuhusu Bitcoin, Ethereum, au USDT lakini hujui waanzie wapi, basi blogpost hii ni kwa ajili yako. ✅ Crypto ni...
  3. jT0078

    JamiiForums Tanzania Tunabadilisha na kuuza Housing za Laptop. 0767953873

    Kama una Laptop imevunjika au housing limechoka unahitaji kubadilisha njoo tukubadilishie. Ilala - Dsm 0767953873
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania Sheikh adai dini iko kinyume dhidi ya biashara ya kuuza maji.

  5. R

    JamiiForums Tanzania Huku mitaani mnapotoshana kwamba mishe ya kuuza bangi kitaa zinalipa, wapi wewe uliwahi kuona pusha aliyetajirika ? mapusha wengi wanakufa masikini

    Na hii sizungumzii kwa hear say kwamba nilisikia, NO ! nimeishi mitaa yenye mapusha wa kijiti. Miaka nenda rudi hadi nimehama hio mitaa na kurudi kusalimia nimewakuta wapo vile vile tu hakuna maendeleo kilichobadilika umri umeenda au wengine wapo jela. System ya mapusha wa bangi hapa bongo...
  6. M

    JamiiForums Tanzania TANGAZO LA KUUZA KIWANJA – IHUNGO, BUKOBA MJINI

    TANGAZO LA KUUZA KIWANJA – IHUNGO, BUKOBA MJINI Nauza kiwanja changu kilichopo Ihungo, Bukoba Mjini. Kiwanja ni tambarare, kina ukubwa wa 20m x 40m, na barabara inapitika vizuri hadi kiwanjani. 📍 Mahali pazuri kwa makazi 🏫 Shule, hospitali na maduka vipo karibu 📄 Miliki halali, salama...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kununua mashamba na kukata viwanja kisha kuuza

    Habari. Hii ni biashara nzuri sana hasi ukiwa na mtaji. Mtaji wake unapaswa uwe na pesa ya kununua kuanzia heka 1. Mfano ukinunua heka 1 kwa shilingi million 22, eneo hilo(Kibaha) viwanja vinauzwa kuanzia million 3.5 vya mbele na vya nyuma ni million 3.3, kwenye heka 1 unaweza toa viwanja 10...
  8. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Marekani: Meta Yaweza Kulazimika Kuuza Instagram na WhatsApp

    Kampuni ya teknolojia ya Meta, inayomilikiwa na bilionea Mark Zuckerberg, huenda ikalazimika kuuza Instagram na WhatsApp kufuatia kesi ya ukiritimba (antitrust) inayosikilizwa nchini Marekani. Meta, ambayo pia inamiliki Facebook, ilinunua Instagram mwaka 2012 na WhatsApp mwaka 2014. Serikali ya...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Kuuza bidhaa online (Ebay,alibaba nk)

    Habari zenu, naomba mwenye kujua anisaidie nipo na bidhaa yangu nataka kuuza siku nyingi ila kila nikijaribu naona nakwama toka kikuu ifungwe natamani kuuza kwenye hizi online shops kama hizo, amazoni,alibaba na alibaba and so. Asanteni
  10. HaMachiach

    JamiiForums Tanzania NAHITAJI KUUZA MAYAI NAOMBA MWONGOZO.

    Wanajukwaa habari ya jumamosi. Naombeni wenye uzoefu wa KUUZA MAYAI mnipe uzoefu nataka kuanza na mtaji wa 2M niwe na flem naombeni changamoto zake pia bei ya kununua sokoni na KUUZA
  11. H

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuku wa kienyeji mwanza

    Habar Wana jukwaa , Nina taka kuanza biashara ya kuuza kuku wa kienyeji Kwa sasa Nina mtaji WA kuku 40 wenye uzito kuanzia kilo moja Hadi mbili ... Npo bunda vijinini ... nahtaj niwe nawauzia Mwanza mjini lkn sina uzoefu na soko la huko Mwanza .... Kwa anaejua nianzie wapi au anipe au...
  12. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Unavyoweza kuuza siri zako/za taasisi yako kwa mifumo iliyomo kwenye simu yako.

    Dondoo chache muhimu unazopaswa kuzielewa; Utafutaji Mtandaoni: Software za AI zinatumia bots maalumu zinazopitia tovuti mbalimbali duniani ili kukusanya taarifa zinazohitajika. Bots hizi huchambua maandishi, picha, video na sauti zilizopo kwenye tovuti hizi. Mitandao ya Kijamii: AI hukusanya...
  13. godiusngunda

    JamiiForums Tanzania Anaitajika mfanyakazi wa kuuza duka la nguo:

    Naitaji mfanyakazi wa kuuza duka la nguo za kike kariakoo. Vigezo:
  14. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Habari wana JAMII FORUM je nikitaka kuuza madini lazima niwe na kibali ?

    Habari wana JAMII FORUM naomba kujua nikiwa na madini naweza kuuza bila kua na vibali vya uchimbaji ?
  15. Fbn

    JamiiForums Tanzania Biashara yenye pesa nyingi na faida kubwa kama kuuza majeneza na marashi yake.

    Uwezi kupewa siri sababu inataka watu waliozoea misiba sana. Bei ya chini jeneza sikosei ni laki na kitu mpaka milioni. Linapotokea swala la msiba wengi huwa hawataki kuuliza mara mbili kuhusu bajeti ya mazishi sababu wapo kwenye majonzi. Kwa haraka haraka wauza majeneza hawakadiliwi kodi na...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Hii ndio mbinu bora ya kuuza bidhaa zenye bei kubwa.

    Moja ya kazi ngumu kwa mfanyabiashara/mtu wa mauzo. Ni kuuza bidhaa/huduma za bei kubwa kubwa. …..Kuna sababu nyingi tu ambazo huchagiza hali hiyo Ikiwemo kupoteza pesa nyingi kwa wakati mmoja (financial risk) Au hicho kitafanya kazi iliyokusudiwa ? (functional risk) Au watu watanicheka...
  17. Entim

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada: Nahitaji frame Kariakoo, mtaa wa kuuza pochi za kike

    Wakuu, nawasalimu kwa jina la JMT. Nimeingia Dar, takribani miezi 3 iliopita nikitokea Mtwara baada ya kufunga biashara yangu Mtwara MC Uchumi umeshuka kwa kasi na ninaelekea kupoteza mtaji, hadi natamani kujinyonga. Nimejaribu biashara mtandaoni nimeishia kuchata na watu, eg mtu anauliza bei...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Mnafanyaje kuuza madeni ya mkopo wa bank moja kwenda nyingine kwa mtumishi?

    Tunaombeni hizo mbinu wakuu Hali ni Tete nilichukua mkopo wa Bayport baada ya huu mfumo wa ESS kuja saivi imekuwa ngumu kuuza deni Mnatumia mbinu gani jamani. Balance ya mkopo ni 1,800,000 na Makato Kila mwezi ni 62000 nifanyaje hapa wakuu, Nina uhitaji sana na hela kwa muda huu na njia pekee...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Mashine za kuuza maji kwa coin zinauzwa

    Zipo mashine tatu za kuchakata maji kuwa safi. Kila mashine ina uwezo wa kuzalisha lita 250 kwa saa na inatumia mfumo wa coin katika uendeshaji. Mashine zote zipo katika hali nzuri (used) na zinapatikana Dar es Salaam. Bei ni TZS 6,000,000 kwa kila moja. Kwa wateja wa mikoani, tunatuma...
  20. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Usiogope Unaweza kuanzisha Kituo cha Kujaza gesi (CNG) kwenye magari na bajaji

    Matumizi ya Gesi Asilia Iliyoshindiliwa (CNG) yameanza kushika kasi Tanzania kutokana na gharama zake nafuu ikilinganishwa na mafuta ya petroli na dizeli. Tanzania ina akiba kubwa ya gesi asilia, hasa katika maeneo kama Mnazi Bay (Mtwara) na Songo Songo (Lindi), ambayo yanaweza kusaidia kuongeza...
Back
Top Bottom