Timu iko nafasi ya 5 sijui ya 6 kwa orodha za CAF, Orodha za dunia haikosi ya 100 bora
Kuna vitimu havijulikani hata CAF na hata ukilazimisha Rank zitaangukia 1000+
Ila ukisikia tambo zao mwezi mmoja kabla ya mechi unaogipa na unaweza kupata stroke.
Simba wao kimyaaa wanadai wanajenga timu...
Sina mali nyingi ila nashukuru Nina nyumba kadha wa kadha, viwanja , mashamba na mifugo kijijini kwetu.
Watoto wangu wanasoma na watamaliza bila shaka. Nimetafakari haya maisha hayana garantii naweza kufa saa yeyote je kwanini nisianze kula mali zangu taratibu kabla sijafa? Naombeni ushauri.
Good morning wadau,
Happy New Year, Mimi nina wazo la kuuza viungo( spices) Nairobi na nimeshafuatilia soko kuwa ipo vizuri.
Sasa, sijui nianzie wapi kuhusu utaratibu wa kufuata. Sitaki kufanya hii biashara kiholela but nifanye kwa ustadi mkubwa and in a professional manner.
Hivyo, naombeni...
Biashara ya nguo ni moja ya njia maarufu na rahisi ya kuanza kufanya biashara online. Katika makala hii, tutachambua jinsi unavyoweza kuanza kuuza nguo mtandaoni kwa kutumia mbinu rahisi na ambazo hazihitaji mtaji mkubwa sana.
1. Chagua Aina ya Nguo Unazotaka Kuuza
Kabla ya kuanza, lazima uamue...
HABARI,
NAKIWANJA CHANGU ZINGA(BAGAMOYO ROAD)UKUBWA 2780 SQM NATAKA MTEJA WA UHAKIKA NAJAMBO LANGU BEI SASA NATAKA OFFER NZURI TU KINA HATI FIKA SITE TUZUNGUMZE JANUARY HII,FRAME 5 NA UKUTA NI NYUMA YA SOKO.MTEJA SERIOUS TUWASILIANE TAFADHALI killuminatejr@gmail.com
Watoto wa Manispaa ya Songea ambao ni Wanafunzi wa Shule za Msingi wenye umri kuanzia Miaka 8 wamekuwa wauzaji wa mifuko (vifungashio) mpaka muda wa usiku.
Kipindi hiki ambacho wamefunga shule, wamekuwa wanaanza biashara hiyo asubuhi hadi usiku wa saa tatu hadi nne katika soko la jioni maarufu...
Jeshi la Polisi linamtafuta kwa kuendesha msako nchi nzima mtu ambaye anaonekana kushoto mwa taarifa hii ambaye ametengeneza na kusambaza picha mjongeo (video clip) akitangaza jongeo kuwa anamuuza mtoto al aliyembeba kwa shilingi milioni moja na laki sita. Msako huo utahakikisha anakamatwa ili...
Habari wana jamii wenzangu. Kama kichwa cha habari kilivyojieleza hapo juu. Nimekaa nakutafakari namna na jinsi ambavyo ninaweza, au tunaweza kama vijana kutafuta masoko ya mazao yatokanayo na kilimo nje ya nchi. Mfano wa uchache wao ni kahawa, korosho, pamba karafuu na mengineyo
Kwenye...
Wakuu habari, ni muda gani naweza kuuza vipande kwenye mfuko wa UTT liquid Fund au mfuko wa Ukwasi, je naweza kuuza hata baada ya mwezi mmoja au miwili baada ya kununua ama ni mpaka meiezi mitatu au mwaka labda?
Nisipoteze muda naomba niingie ndani ya lengo .
Ndugu zangu nina mpango wa kumfungulia shemeji yangu wakike biashara ili na yeye awe anajipatia mahitaji yake madogo madogo kuliko kuwa anashindia ndani akifatilia tamthilia na kunipiga vizinga vya hapa na pale.
Na biashara nilio iona haitampa...
Habari za Kazi ndugu wadau..?
Niko mbele zenu kuomba ujuzi wa namna ya kuendesha biashara ya Kuuza Daftari Kwa bei za jumla..
Naomba nisaidie kujua hatua za kufanya ili kufanya kazi hiyo. Pia naomba kujua Nini changamoto kubwa hasa katika biashara hiyo.
Hivi kitimoto ni kwa ajili ya walevi na wenye kipato kikubwa tu? Kwa nini hii nyama inauziwa baa na hotel kubwa tu halafu iliyoiva pia inapimwa kuanzia nusu kilo tu?
Kwa nini hakuna mama ntilie wanaouza kitimoto kama mboga ya ugali na wali?? Hatuoni huu ni unyanyapaa kwa watu wasioweza kuagiza...
Nimewahi kuandika hapa kwamba mbantu hawezi kufanya biashara kwa sababu huwa anashindwa kujitofautisha yeye na biashara yake. He think he is his business.
Kwa mfano akiwa anauza bidhaa fulani halafu watu wakawa wanaigombania sana yeye atadhani kwamba hao wateja wana mshobokea yeye na sio...
Kenya kila kikao cha mawazili kikiisha huwa inatolewa taarifa kwa umma kile walicho azimia hii ni ili Raia wajue nini kinazungumzwa na kupitishwa
Hio ni Jana, na hio ni Taarifa tena Breaking News kabisa.
Tanzanua vikao vya mawaziri ni siri nzito mno, waoiga Kura hawapaswi kujua hizo siri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.