Habari wadau.
Nahitaji kuwa na mashine ya kusaga sembe mkoani Ruvuma kisha niwe nasafirisha na kuuza maeneo ya Tunduru, Masasi hadi Mtwara.
Naomba mwenye uzoefu anipatie.
Ruvuma nimeishi ila Tunduru kuelekea Mtwara si mwenyeji
Kama una Laptop/Desktop mbovu na unahitaji fundi nichek. Pia nauza Accesdories za computer kama..
Battery za Laptop/Mac
Keyboard za Laptop/Mac
Chargers za Laptop/Mac
Vioo vya Laptop/Mac
Ssd/Hdd & Ram memory
Housing za Laptop
Softwares mbalimbali
Tupo ilala - Dsm
0767953873
Ile pesa uliyopokea kwenda shangilia CCM na kujaza idadi nikukumbushe ile 5000, na 10000 ndio imeruhusu ardhi inywe damu za ndugu zako,ardhi na mbingu zimeshuhudia ,umekubali kuvaa kijani , na uifunike uchi wa ardhi kwa damu za ndugu zako ,UMELAANIWA,,,,UMELAANIWA ,,,,UMELAANIWA....kwa kafara...
Ngazi za Biashara ya Mazao
Ngazi ya Kaya
Hapa ndipo wakulima wadogowadogo huzalisha kwa ajili ya familia na ziada kidogo kuuza sokoni.
Ngazi ya Wakulima Wakubwa na Makampuni
Wao hulima kwa wingi kwa ajili ya biashara, kuuza ndani na hata nje ya nchi.
Ngazi ya Usindikaji na Uuzaji
Baadhi...
Habari za weekend wanajamvi.
Nipo katika mchakato wa kufungua biashara ya Stationery,nipo mkoani ila nataka kuwa nalangulia Bidhaa Mkoani Dar.
Naombeni mnitajie machimbo nitakayolangua Bidhaa kwa bei rafiki ya chimbo.
Bidhaa kama madaftari,counter book,gundi,marker pen,ribon za mapambo kwenye...
Hospitali ya Taifa Muhimbili imesema ni kweli Watanzania zaidi ya 30 wamewafata Madaktari wa figo na kutaka kuuza figo zao kwa Wagonjwa wenye matatizo ya figo ili pesa hizo ziwasaidie kupunguza ukali wa maisha.
"Ni kweli kuna Watu wamekua wakiwafata Madaktari wa figo wakiwaambia sisi tunataka...
Mtu mzima akianza kuishi gheto au kwake ananunua shuka mara moja Tu hizo labda mpaka Miaka mitatu ndo aongeze nyingine hio biashara kichaa sasa yaani mpaka usubiri mtu aje kuanza kazi mkoani kwako
Ukitaka kununua nyumba, kiwanja, shamba, gari na hata kupata ajira au elimu ya juu ni lazima uwe na vitambulisho ikiwemo kadi na namba ya NIDA. Maana yake ni kwamba ukishakua na kadi ya NIDA wewe ni mpiga kura wa CCM utake usitake.
Ninakumbuka Ufunuo wa Yohana kuwa siku za mwisho hutaweza...
Je, una biashara ya tofali za block?
Unapata changamoto hizi?
Kupoteza kumbukumbu za uzalishaji
Kutojua stock zilizopo
Ugumu wa kuhesabu gharama na faida
Kukosa ripoti za haraka na sahihi
Suluhisho ni TOFALISMART System
Mfumo huu unakusaidia:
Kusajili na kufuatilia aina zote za tofali...
Shalom
WanaJF, tuwe wakweli!! Kauli ya Sugu kwamba “tume wasamehe Gwajima na Polepole” ni usaliti mkubwa kwa wanachama wa CHADEMA na wazalendo wa taifa hili.
Makosa ya Humphrey Polepole yapo wazi:
Alikuwa kinara wa kubana demokrasia nchini, akitumia nafasi yake ndani ya CCM kuua sauti za...
Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) imetoa ufafanuzi kuhusiana na malalamiko yaliyoibuliwa na Mdau wa JamiiForums.com alidai kuwa wakati wa Siku za Jumamosi na Jumapili wahusika hawauzi kadi zinazowezesha abiria kupanda usafiri wa Mwendokasi.
Kusoma hoja ya Mdau kuhusu tiketi, bofya hapa ~...
Wiki ya mwisho wa mwezi wa Saba nilikua namsaidia mteja wangu kufanya process za kuuza Kampuni yake, haya ni mambo ya kuzingatia ukitaka Kuuza Kampuni;
1. Elewa unauza Nini
Kuna mambo kadhaa yanawezwa kuuzwa kwenye Kampuni
1.1 hisa za Kampuni
1.2 Assets au Mali za Kampuni
1.3 Kampuni yote...
Salaam!
Hili swali naomba liulizwe majukwaani kwa wabunge wanaomaliza muda wao na hapo hapo wanaomba ridhaa kuendelea.
1. Waulizwe kwamba, ikiwa mlinyamazia vitendo vya utekaji visijadiliwe na kukemewa bungeni, mnaomba ridhaa Ili vitendo vya utekaji viendelee?
2. Ikiwa mllishiriki kugawa...
Habari wakuu .
Kama unahitaji kufanya biashara ya viatu kariakoo Kuna fremu inaachiwa Kwa sh 500,000 Kwa mwezi imebaki miezi Saba. Mwenyewe anahamia Dodoma hakuna kilemba.
Ni kariakoo Mtaa wa muhonda (Msimbazi na muhundo opposite jengo la DDC) karibu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.