kutumika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. didy muhenga

    Mwanaume kutumika kingono

    Swali wakuu, Je, mwanaume anaweza kutumiwa kingono na msichana? Kuna msichana mmoja ambaye kila mawasiliano ni kuhusu mambo ya ngono tu, hana mada nyingine. Kila nikijaribu kubadilisha mazungumzo, anakataa, akisisitiza kwamba anataka kuzungumza tu kuhusu mambo ya ngono. Huyu ni mtu mwenye...
  2. L

    Baada ya Maandamano ya CHADEMA Kushindikana,Maria Sarungi Aanza Kutumika na kutumikishwa kupika Uzushi na uongo usio na Ushahidi Kuchafua watu.

    Ndugu zangu Watanzania, Ikumbukwe ya kuwa huyu Mama Maria Sarungi kazi yake kubwa ni kutumika,kutumikishwa , kutumiwa kwa njia zote chafu na mbaya kupika Majungu,umbea,uzushi,uongo,ufitini na uchonganishi.Maisha yake yanategemea atumikishwe kama mtumwa na watu wenye ajenda zao za siri kuchafua...
  3. Roving Journalist

    TMDA yatoa tahadhari kuhusu taarifa ya Dawa za ARV'S kutumika kunenepesha mifugo

    TAHADHARI YA MATUMIZI HATARI YA DAWA ZA KUFUBAZA MAKALI YA VIRUSI VYA UKIMWI (ARV'S) KUNENEPESHA MIFUGO 1. Mamlaka imepata taarifa juu ya uwepo wa baadhi ya wafugaji wanaotumia vibaya dawa za kufubaza makali ya Virusi vya UKIMWI (ARV's) ili kunenepesha mifugo yao. 2. TMDA inapenda kukemea...
  4. Roving Journalist

    Serikali yasaini Mkataba Ujenzi wa Barabara ya Iringa - Msembe, Shilingi Bilioni 142.5 kutumika

    Serikali imesaini mkataba wa ujenzi wa barabara ya Iringa - Msembe inayoelekea kwenye Hifadhi ya Taifa ya Ruaha (km 104) kwa kiwango cha lami utakaogharimu kiasi cha shilingi Bilioni 142.56 ili kufungua fursa za kiutalii, kiuchumi na kibiashara kwa mikoa ya Nyanda za Juu Kusini. Utiaji saini...
  5. OMOYOGWANE

    TFF mnalitufanyia utapeli wa VAR wapenzi wa soka mnasingizia vibali wakati huko Mauritania VAR imeanza kutumika

    Wakuu, Leo VAR imeanza kutumika huko Mauritania kwenye ligi yao Sisi huku licha ya uzinduzi kufanyika na ligi kuanza TFF wanasingizia vibali kutoka CAF na FIFA. Huu ni utapeli wa mchana kweupe. Tutegemee maumivu zaidi mpaka msimu unaisha ================== UPDATES Tumepigwa...
  6. Lady Whistledown

    Sumu kutumika kuwaua kunguru kwa Usumbufu na Uharibifu

    Kenya imeanzisha mpango wa kutumia sumu kuua Kunguru Milioni moja katika Miji ya Watamu na Malindi, ili kuzuia wasisambae Jijini Nairobi Kunguru wamekuwa wakishambulia Wanyamapori, kuvamia maeneo ya Watalii, na kuvamia na kushambulia kuku katika Mashamba yao Inaaminika Kunguru waliletwa kwa...
  7. Kipenzi Changu

    Kwanini Yanga inatumia nguvu kuaminisha vitenge vinaweza kutumika kwenye mpira?

    Kitu kizuri ni kizuri tu. Lakini sio kwa hii jezi. Weka ushabiki pembeni ugundue hizi sio jezi za mpira bali ni vitenge. Kwa nini Yanga inatumia nguvu kuaminisha vitenge vinaweza kutumika kwenye mpira? Mara Daimond, mara Manara. Hii ni soka, sio sawa kuwavisha watu vitenge kwenye soka
  8. T

    PreGE2025 Kuelekea Uchaguzi, Polisi na Serikali fanyeni wajibu wenu

    Ninafahamu Uchaguzi unapofanyika wenye wajibu wa kutenda haki ni Tume Serikali na vyombo vya dola na wala siyo CCM yakulaumiwa. Ebu safari hii fuateni maelekezo ya Amir Jeshi Mkuu wenu Samia Hassan aliyoyatoa na yamejificha kwenye 4R. Pia zingatieni maoni ya Kikwete kwenye Hotuba yake Ya...
  9. M

    Helicopter ya CHADEMA Imeisha muda wake kutumika

    Katika pita pita zangu mtandaoni nimeona comments ya mdau katika post ya Lema inasomeka hivi. Mangi naomba kukumbusha usajili wa hii chopa umeshaexpire. Fanyeni renewal yasije kutokea majanga mkalaumu watu. Halafu hii chopa ilipata usajili kubeba wagonjwa. Mmebadili? Then kwa nini kila biashara...
  10. Stephano Mgendanyi

    Bashungwa: Wataalam Waliostaafu Kuendelea Kutumika Katika Ujenzi na Matengenezo ya Barabara

    Wizara ya Ujenzi kupitia taasisi zake ERB na TANROADS inaandaa utaratibu wa kutumia wataalam wa ndani waliostaafu katika ujenzi na matengenezo ya barabara. Haya yamebainishwa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa wakati wa kuwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka 2024/25...
  11. J

    Bashungwa: Wataalam waliostaafu kuendelea kutumika katika ujenzi na matengenzo ya barabara

    Wizara ya Ujenzi kupitia taasisi zake ERB na TANROADS inaandaa utaratibu wa kutumia wataalam wa ndani waliostaafu katika ujenzi na matengenezo ya barabara. Haya yamebainishwa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa wakati wa kuwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka 2024/25...
  12. Pfizer

    PreGE2025 Dkt. Ananilea Nkya: Nafasi za ubunge wa Viti Maalum zifutwe kwa sababu zimeanza kutumika isivyostahili. Zilianzishwa ziwe za Mpito sio za kudumu

    Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba Tanzania, Dk Ananilea Nkya amesema nafasi za ubunge wa Viti Maalum zilianzishwa kwa kipindi cha mpito kutokana na uwakilishi mdogo wa wanawake. Dkt Nkya amesema hali imebadilika tangu kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992 (miaka 42), wanawake wametumia...
  13. J

    Bil 97.178 kutumika ujenzi barabara ya Ifakara-Mbingu

    BIL 97.178 KUTUMIKA UJENZI BARABARA YA IFAKARA-MBINGU Imeelezwa kuwa mradi wa ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami kutoka Ifakara hadi Mbingu yenye urefu wa kilomita 62.5 utatumia Bilioni 97.178 Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imebainisha kuwa Mkandarasi wa Kampuni...
  14. Shujaa Mwendazake

    Ni wakati sasa wa kubadili Falsafa za Mwalimu Nyerere na kuchunguza na kuhoji mienendo yake

    Enzi za ‘zidumu fikra za mwenyekiti ‘ hazipo tena. Tunapaswa kuacha kuvhukua Nukuu zake ili zitumike kama reference huko Bungeni. Socialism, Poor Education, Setup mbovu ya muungano, lack of transparency, lack freedom of speech nk ni katika failures kubwa sana chini ya uongozi wake. Kuna...
  15. JanguKamaJangu

    Katavi: Barabara iliyofungwa kutokana na athari za mafuriko kuanza kutumika

    Meneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS) mkoani Katavi, Mhandisi Martin Mwakabende ameifungua barabara hiyo baada ya kufanyiwa ukaguzi na ukarabati wa Daraja la Stalike kuelekea Mkoani Rukwa. Barabara hiyo ilifungwa na Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko baada ya kujaa maji...
  16. Mkalukungone Mwamba

    TFF umakini uongezeke kukagua viwanja na vigezo vyote hadi nyakati za mvua

    TFF umakini uongezeke kukagua viwanja na vigezo vyote na kutumika hadi nyakati za mvua Ukiangalia huu uwanja wa Meja Jen. Isamuhyo ulipo Mbweni Dar es salaam uwanja wa nyumbani wa JKT Tanzania bado kwa kiasi kikubwa hakuwa na vigezo vyote na athari yake sasa ndiyo hii kusababisha mechi...
  17. ndege JOHN

    Pampers na boxer zimeanza kutumika miaka gani hapa Bongo?

    Kichwa cha Habari kinajitosheleza. Miaka ipi tumeanza kuvalisha watoto pempas je ni 90' au 2000'. Na vipi kuhusu chupi na vipi kuhusu boxer naombeni ufafanuzi.
  18. 2 of Amerikaz most wanted

    Umeme ulianza kutumika Tanzania mwaka 1908 walishindwa vipi kuboresha mitambo madhubuti miaka yote hiyo?

    Years African Countries Started Using Electricity⚡ South Africa 🇿🇦 - 1860 Kenya 🇰🇪 - 1875 Egypt 🇪🇬 - 1893 Nigeria 🇳🇬 - 1896 Zimbabwe 🇿🇼 - 1897 Ethiopia 🇪🇹 - 1898 Mauritius 🇲🇺 - 1899 Tunisia 🇹🇳 - 1902 Zambia 🇿🇲 - 1906 Uganda 🇺🇬 - 1906 Tanzania 🇹🇿 - 1908 Morocco 🇲🇦 - 1914 Ghana 🇬🇭 -...
  19. Suley2019

    Prof. Lipumba: Napata wasiwasi kanuni zipi kutumika Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania(TCD), Profesa Ibrahim Lipumba amesema kuwa anapata wasiwasi kwamba uchaguzi wa serikali za mitaa, unaweza kuwa kama wa mwaka 2019 au utakua tofauti, kwa kuwa haijulikani utatumia kanuni zipi. Lipumba ametoa kauli hiyo leo Machi 11, 2024 wakati wa...
  20. GENTAMYCINE

    Wapeni Milioni 600 yao mliyowaahidi Wakimfunga 'Juaeni Juaneni' halafu Kipa 'Manua Manua' aache kutumika mno na MSG Kuiumiza Timu

    Halafu mnaficha nini kuwa jana baada ya Mechi Kocha kamtukana Tusi Tukuka Jaribu Baadae kwa Upuuzi wa kutowapa Fedha zao Wachezaji walizoahidiwa na zilizowavunja Moyo na kwa Makusudi wakaamua Kutuumiza? Bosi Magugu Magugu safari hii wala hausiki na Kipigo hiki kwani anaangushwa na Mnafiki...
Back
Top Bottom