kutumika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Shilingi Bilioni 45.6 kutumika kukamilisha Miradi ya Dharura Mkoani Kagera

    Imeelezwa kuwa Serikali ya Awamu ya sita, inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa ushirikiano wa ufadhili wa Benki ya Dunia kupitia mpango dharura ( CERC PROJECTS), imetoa kiasi cha Shilingi Bilioni 45.6 kutekeleza miradi mitano (5). Miradi hiyo ni pamoja na Daraja la Kyanyabasa...
  2. A

    DOKEZO Barabara ya Ntyuka Dodoma kutelekezwa, kodi za wananchi kutumika vibaya

    Hapa Dodoma mjini kuna ujenzi wa barabara ya Lami kutoka mjini kati kwenda Ntyuka [Dampo] kama kilometres 9, barabara ilifika hatua ya kumwaga changarawe, barabara imesimama toka mwezi wa tano [Mei 2024 ] wananchi wanapita kwenye barabara ya muda ambayo ni mbovu sana Serikali mpaka Leo...
  3. Waufukweni

    Mbinu gani zinaweza kutumika kubaini watu wasiojulikana wanaotekeleza uhalifu wa utekaji na uuaji wa raia?

    Matukio ya utekaji bado tishio nchini Utekaji na mauaji yanayoendelea nchini yameendelea kuwa changamoto kubwa, huku vyombo vya usalama vikionekana kushindwa kubaini kwa haraka wahusika wa uhalifu huu. Maswali mengi yanazuka ni teknolojia gani za kisasa zinazoweza kutumika kufuatilia na...
  4. Stephano Mgendanyi

    Bashungwa Akabidhi Wakandarasi Ujenzi Madaraja Manne - Ushetu, Bilioni 18 Kutumika

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametambulisha na kuwakabidhi Wakandarasi Wazawa kutoka Kampuni ya Salum Motors na Jonta Investment kwa Wananchi watakaoanza ujenzi wa madaraja makubwa manne ya Ubagwe, Kasenga, Ng’hwande na Mwabomba yaliyoathiriwa na mvua za El Nino katika Halmashauri ya...
  5. J

    Prof. Kabudi ataka Elimu ya Biblia itolewe shuleni kuanzia Chekechea hadi Sekondari na Biblia zigawiwe Bure ili kulinda Maadili

    Waziri wa Katiba na Sheria Prof Kabudi ametaka Elimu ya Biblia iingizwe Kwenye mitaala ya kuanzia Chekechea hadi Sekondari Prof Kabudi amesema zitengwe fedha za kuchapisha Biblia Ili zigawiwe Bure Kwa wanafunzi Katika Jitihada za kulinda Maadili yanayoporomoka Kabudi amesema hayo kwenye...
  6. Waufukweni

    LGE2024 Msimamizi wa Uchaguzi Njombe: Hakuna kijana atakayeweza kutumika kuvuruga zoezi la uchaguzi

    Msimamizi wa uchaguzi halmashauri ya mji wa Njombe, Kuruthum Sadick amesema kuwa kuelekea kwenye kampeni za uchaguzi mpaka siku ya uchaguzi hakuna kijana atakayeweza kutumika kuvuruga zoezi la uchaguzi kwa kuwa vijana wa Njombe wanaelewa maana ya uchaguzi. Kuruthum ametoa kauli hiyo wakati...
  7. emmarki

    Mwani kutumika kama tiba, kuna utafiti wowote kuthibisha hilo?

    Mwani (sea moss) ni mojawapo ya mimea inayoota baharini na inalimwa sana zanzibar na mafia. Nimeona kutoka sehemu mbalimbali wauza dawa mbadala wakiusifia mwani kutibu magonjwa mengi na kuwa chanzo kizuri cha madini joto. Napata kigugumizi akilini kuamini bila kuwepo kwa tafiti kuthibitisha...
  8. Cecil J

    Gaming PCs zunaweza kutumika kwa matumizi mengine kama kutumia software ya Photoshop?

    Swali langu lipo juu ya kichwa cha thread.
  9. HIMARS

    Rasmi: Marekani yaruhusu Silaha zake kutumika ndani ya Urusi popote pale

    Serikali za Marekani, Ufaransa na Uingeleza zimeruhusu silaha zake zitumike ndani ya Urusi, hapo mwanzo zilizuiwa kutumika ila baada ya mashambulizi ya jana kutoka Urusi wameona wairuhusu Ukraine ifanye ionacho ni sawa
  10. Desierto

    Je, Maamuzi yangu mabaya yanaweza kutumika kumwemka mwingine katika hali nzuri?

    Nasema tu huu mwaka uishe tu maana umekuwa na mambo mengi magumu hasa mimi na wife wangu Katika kipindi Cha nyuma nilikubali kunyanyasika hasa katika tendo hata kutoheshimika kwani nilipotishia kuchepuka niliambiwa niende tu ingawa mimi kwa wakati huo sikutaka kabisa kufanya hivo nilikaa nae...
  11. A

    Je TIN(tax identication number) iliyosajiliwa kawaid inaweza kutumika kutoa mzigo bandarini?

    Habari wakuu, husika na kichwa Cha habari tajwa. Mfano nimesajili TIN kwa ajili ya duka la kawaida na inaonekana Ina mtaji mdogo mfano 1M lakini itumike bandarini kuto mzigo unaozidi hio 1m mfano 5-10M , je hii haitaleta shida?
  12. Roving Journalist

    Mradi wa Tsh. Bilioni 8 wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kutumika kupeleka umeme katika Visiwa 118

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imeanza rasmi safari ya kupeleka umeme katika visiwa vyote Tanzania Bara huku ikiwahakikishia wananchi hao kuwa wote watafikiwa. Akizungumza wakati wa ziara ya Wabia wa Maendeleo walipotembelea miradi...
  13. Logikos

    Mfumo wa USA Dollar ulivyoanza kutumika Duniani, na Kupelekea Dunia Kuchezeshwa DECI (Ponzi Scheme)

    Utangulizi: Baada ya vita vya Pili vya dunia mataifa mengi ya Ulaya yalikuwa katika hali mbaya ya Uchumi, Wawakilishi wengi wa Mataifa haya ya Ulaya na dunia (Jumla Mataifa 44) walikutana Bretton Woods, mwaka 1944 kuangalia ni jinsi gani wanaweza kuwa na Uchumi bora na wa Uhakika, Mataifa haya...
  14. G

    Nahisi niliuziwa machungwa yaliyoivishwa kwa kekimikali zilizoanza kutumika Mbeya kuivisha matunda, Mungu atusaidie lakini Idara zetu zimelala mno

    N:B: Sina uhakika wa asilimia 100 kama niliuziwa chungwa lililoivishwa kikemikali ila kwa dokezo >> hili << nimepata wasiwasi Nipo Mbeya kwa wiki kadhaa, Nilikuja na mashine yangu ya kusagia juisi ya machungwa, Napenda sana kunywa juisi hii. Wiki iliyopita nilizinguka soko la soweto nilikuta...
  15. Roving Journalist

    Serikali yasaini mkataba ujenzi Daraja la Jangwani, Sh Bilioni 97.1 kutumika

    Serikali imesaini mkataba wa ujenzi wa Daraja la Jangwani lenye urefu wa mita 390 na barabara za maungio zenye urefu wa mita 700 katika barabara ya Fire - Ubungo kwa gharama ya Shilingi Bilioni 97.1 ambapo kazi ya ujenzi itatekelezwa kwa miezi 24. Mkataba huo umesainiwa leo Oktoba 22, 2024...
  16. Forest Hill

    Je, Apple wanadanganya kuwa stolen iPhone haiwezi kutumika tena?

    Mimi shabiki sana wa bidhaa za Apple hasa iMac,simu yao ya Kwanza kumiliki ni iPhone 3Gs mwaka 2010,tulikua tunapata changamoto ya kudownload apps ambazo hazipo Appstore kutokana na utundu nikajua ku jailbreak iPhone na ku install Cydia (3rd part store). Ilipotoka iPhone 5s ulinzi wa Apple...
  17. M

    PreGE2025 CCM pigeni marufuku pikipiki zilizosambazwa kwa Jina 'Samia 2025' kutumika kama 'bodaboda'

    Viongozi wa CCM pigeni marufuku pikipiki za 'Samia 2025' kutumika kama 'bodaboda' Ila kama hawa viongozi wa huku kwenye mashina mmewapa ziwe za kwao basi tujue. Hali ikiendelea hivi 2025 zitafika zimechoka. Ni hayo tu
  18. Ze Heby

    TETESI: Mchakato wa Ajira za Ualimu kufanywa na TAMISEMI, utaratibu wa zamani kutumika

    Wanajukwaa, muda mfupi uliopita Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma wametoa tangazo la kusitishwa kwa mchakato wa usaili wa ajira za ualimu hadi hapo itakapoarifiwa tofauti. Aidha, tetesi zilizopo ni kwamba, kelele zimekua nyingi na hivyo imeamriwa mchakato urudi TAMISEMI na usihusihe...
  19. E

    Natafuta gari ambayo ni ya zamani ila haijachoka au kutumika sana

    Popote ulipo mrembo mwenye miaka 26-30 , isiwe single mother Nimechoka kuishi peke yangu karibu tusaidiane maisha uwe mke wangu Uwe wewe au una mdogo wako au rafiki yako mjulishe taarifa hii
  20. Stephano Mgendanyi

    Serikali Yasaini Mikataba Ujenzi wa Madaraja 13 Yaliyoathiriwa na Mvua - Lindi, Bilioni 140 Kutumika

    Serikali imesaini mikataba mitano itakayowezesha kuanza ujenzi wa madaraja 13 katika sehemu za barabara zilizoathiriwa na Mvua za El-Nino na Kimbunga Hidaya katika Mkoa wa Lindi ambapo jumla ya Shilingi Bilioni 140 zitatumika katika utekelezaji huo. Akizungumza mara baada ya kushuhudia utiaji...
Back
Top Bottom